Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
Movie ndio kwanza inaanza ...Wamekasirika juzi Zitto aliwaambia waachane na mambo ya chadema kwasababu wameshajitoa.
Movie ndio kwanza inaanza ...Wamekasirika juzi Zitto aliwaambia waachane na mambo ya chadema kwasababu wameshajitoa.
The day will come...
Ben Saa nane atafunguka na kusema ukweli,
Stay tuned
inasikitisha kuona vijana wasomi kama hawa (including ben saanane and others wanaojiita ''wanasiasa'')
wanaishi kwa 'ujanja ujanja',
kuungaunga,
kulipwa posho ili watunge skendali,
hawana kazi maalumu zaidi ya kupiga domo tu ''vijiweni'' ambavyo wenyewe wanaita ''vikao'',
wanazurura tu mjini kutwa nzima kutafuta umbea uwe wa ukweli au uongo,
hawazalishi chochote kuchangia maendeleo ya taifa,
opportunists, unethical, and hypocrates!
SHAME ON YOU!
inatia kinyaa
pppttuuuuuu.!!
nashangaa kuona vyama vigogo kama CCM wanawatumia katika majukwaa yao ya siasa!
very very very poor strategy..
Bado inawauma kufukuzwa chadema .............wafanye mambo yanaowahusu na yaliyowapeleka ccm
wanamjuwa Zitto au wanamsikia?
labda kama kawatuma mwenyewe.
Sasa watazungumza nini wakati kule hakuna sera ila ufisadi tu?Si waliisha ambiwa kwamba, kwa vile hawapo CHADEMA, hawana uhalali wa kuzungumzia mambo ya CHADEMA!!??? Anyway, waacheni wabwabwanye maana hio ndiyo imekuwa kula yao. Bila hivyo, ni ngumu mkono kwenda kinywani. Kibaya zaidi ni kwamba ile MISSION ya kuiua CHADEMA imebugi, ndiyo maana kila siku wapo kwenye media ambazo nazo zinajitahidi kujiokoa kwenye tanuru la moto siku ya UHURU kamili ikifika.
wanamjuwa Zitto au wanamsikia?
labda kama kawatuma mwenyewe.
Ww kweli c.h.i.z.i.z.Mabadiliko ya M4C ni ya asili.Upende usipende.mobutu,banda,idd amin,gaddafi,mubarak,mungai.Kuelekea ukombozi wa kweli,tutalogwa,tutafungwa,tutapigwa,tutasingiziwa.lakini mungu yu mwema,tutaing'oa nyinyiemu tuThe day will come...
Ben Saa nane atafunguka na kusema ukweli,
Stay tuned
Una uhakika gani?! Pengine kuna tape Kama ya Rwakatare? Shauri yenu na tabia zenu za kufukuzana bila kutafakari, nyie mmemwaga mboga na wao sasa wanataka kumwaga ubwabwa
Vijana waliyofukuzwa CHADEMA Juliana Shonza na Mtela Mwampamba sasa hivi wapo ofisi za NEW HABARI wakiwa na mhariri wa Mtanzania Jumatano bwana CHARLES MULINDA ambaye anatumika kuwatukana viongonzi wa CHADEMA.
Inasemekana vijana hawa wameleta ushaidi ya mambo waliyokuwa wanapanga wakiwa Zitto Kabwe.
msaliti hana chake cdm kwakuwa ccm ndiyo waliokuwa wanadhamini usaliti huo ndiyo maana wakawapokea kwa mbwembwe chini ya mwenyekiti wenu.....wanachoendelea kukifanya wanazidi kukipa credit cdm kuwa maamuzi ya wao kufukuzwa yalikuwa ya haki.