Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Kiranga and his follower at work..ok guys sitawaweza mpo wengi ngoja mimi niingie barabarani kuendesha boda boda langu lakini miskomplikate mambo. And take it easy mimi nimeleta tu habari so mambo ya maadili mtajuana wenyewe huko na serikali yenu ndio ina makosa

Hahaha...haya mkuu ..i"nawezekana" una uelewa mkubwa sana tu, lakini katika hili....HAPANA! yapaswa uzingatie mambo ya msingi.
 
Last edited by a moderator:
Elungata bora umwambie Kiranga manake huyu jamaa ana followers kibao humu ndani akiongea tu hata kama ni pumba watu wanampigia makofi.kisa yeye ni mtu mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...haya mkuu ..i"nawezekana" una uelewa mkubwa sana tu, lakini katika hili....HAPANA! yapaswa uzingatie mambo ya msingi.

Mambo ya msingi kama yapi? Wewe na akili zako hujui maana ya forum' hapa sifanyi dissertation.. Hii ni forum kaka . Hhahaa halafu acha kum follow Kiranga atakupoteza simama wewe kama wewe, huyu jamaa anaweza kubishana na JF nzima na akashinda
 
Last edited by a moderator:
ngono zilizopo shule za kata hazina mfano

Umeona ndugu yangu na unaweza kukuta hao watoto wanajua tu ukimwi upo na wanatake easy kwa sababu wana lack information na takwimu kuhusu hili'gonjwa, vitu vyote hivi kina Kiranga wamevikalia maofisini wanangoja tufe wote ili wale nchi wanasingizia eti ethic...
 
Last edited by a moderator:
Kumbuka hapa ni JF ni kama mtandao ule wa Assange ..tunaweka vitu confidential. Kwa hio pole sana mama , najua Invisible yupo pamoja nami kwa sababu anajua kuwa tunaipa jamii taarifa ambazo kweli ni shocking news and every body is supposed to know this.

Naona unaanza kutafuta support kwa Invisible. Stand on your own foot mkuu. Yaani kama Invisible ataiona hii ni "shocking news and [that] every body is supposed to know this", then atakuwa anaishi Afghanistan. Kweli kuna Mtanzania ambaye hajui kuwa ukimwi ni janga la kitaifa? Kuna Mtanzania ambaye hajawahi kufiwa na ndugu au rafiki wa karibu kutokana na ugonjwa wa ukimwi?

Kama unamuunga mkono King Kong III anaposema madaktari huwa wanakuwa shocked wakikupima na kukuta hauna HIV, how come then unakuwa so shocked na wajawazito wanne kati ya sita kupimwa na kukutwa na HIV? Nilidhani utakuwa so shocked kwa hao wawili kutokutwa na Ukimwi?

Nimeshakuambia hujui hata maana ya confidentiality. Umedhihirisha hili kwa kusema kuwa hapa JF tunaweka vitu ambavyo ni confidential. Umeshindwa kuelewa kuwa information nyingi ambazo zinawekwa hapa JF wala siyo confidential in the first place. Kwa vile tuu wanasiasa wana-regard hizo information confidential for their own interests basi na wewe unaamini ni confidential.
 
halafu huyu Kiranga =jmakamba huyu eti ndiye naibu waziri. Hawa jamaa wamezoea sana kuficha ficha vitu hata mikataba wanaisaini kimya kimya ndio maana mambo kama haya wanajifanya eti ni siri yao wanakalia data i compare them with mohamed ali.. Nchi inateketea ila bado wamenyamaza tu wanadai eti ni privacy..this is STUPIDITY.
Pamoja kwamba bado naunga mkono hoja yako kimsingi lakini hapo kwenye RED si kweli. Hivi huyo jamaa mbona huwa anafananishwa sana na watu ambao naamini upstairs wako vizuri ni kwa nini? nilishasikia ndio Jmashaka. What is secret behind?
 
Kiranga, kuna wakati zilitoka taarifa za kuwa katika damu zilizotolewa kwa njia ya msaada asilimia kadhaa ilikuwa na matatizo na zilimwaga. Kilichofuata ni kukauka kwa damu katika mahospitali hasa Muhimbi na kulazimu viongozi kukanusha habari hizo. Hata hivyo bado utoaji wa damu umekumbwa na vikwazo. Sijui kama implication kama hizi kwanini hatuzifikirii.

Kuna namna ya kutoa takwimu, kuna ethics n.k. ambavyo ni muhimu sana katika taaluma yoyote.

Hebu waulize, hivi wakiwa kijiweni akatokea Daktari na kuanza kueleza aina za matiti ya akina mama/dada zetu au maeneo mengine impression ya kwanza wanayoipata ni nini!

Kwa taarifa kama hii ni watu wangapi wanaoweza kuwakaribia majirani zao ambao ni Lab Tech hata kupima malaria au typhoid. Hapa ina maana imani imeshatoka na wanahisi hata sample ya malaria Lab tech anaweza kuifanyia kazi ili apate habari za mtaani! Pro wanatakiwa kuwa sehemu ya solution na si rumour mongers n.k

Unajua nafikiria sana na naanza kuhoji kwamba mambo haya ambayo tunayaona madogo na kuyadharau ndiyo haya haya yanayoweza kuchangia sana kutufanya tuwe maskini.

Halafu tunaingia katika a vicious cycle of poverty kwa sababu tuna embrace wanton simplification na hatuwezi ku focus kwenye big picture (magazeti ya udaku ni mazuri kwa sababu yanawashame malaya, ma Lab Tech wanao discuss kazi zao majumbani ni wazuri kwa sababu wanaonyesha ukubwa wa tatizo, Rais anayekutana na wananchi Lumumba kutatua mirathi ni mzuri kwa sababu anajali etc)

Chumps like these deserve a trashing, even though sometimes I feel like I go overboard. At least the warrant lies in the fact that they almost always demonstrate a degree of not being able to understand a reasonable argument that is backed by informed scholarship.

Sasa we unaenda kuongea scholarship na numskull hata kujieleza mzozo?

The more you look at these issues the more you find interesting and delicate questions other (like this chump) would easily discard.

Yaani his non-argument is so wrong on so many levels hujui hata uanzie wapi, unataka kumtolea declarations za human rights za kimataifa lakini unajiuliza hivi mtu ambaye haelewi a professional code of conduct na umuhimu wake ataelewa hizo declarations za human rights? Na sababu zilizopelekea?

Huyu kweli anafahamu maana ya kuwa binadamu?

Au ndo kama nilivyosema anaishi huko katika existence ambayo wenzetu wameipita in the pre 30 years war period?

Halafu huyu bahati mbaya si peke yake, wako kibao hawa.

Elimu? Utashi? Exposure? Majivuno?
 
Pamoja kwamba bado naunga mkono hoja yako kimsingi lakini hapo kwenye RED si kweli. Hivi huyo jamaa mbona huwa anafananishwa sana na watu ambao naamini upstairs wako vizuri ni kwa nini? nilishasikia ndio Jmashaka. What is secret behind?

Hata mie sielewi ndugu yangu.

Ukizingatia mie ni nutcase mmoja ambaye siwezi kuwafikia hao wakuu hata kwa ngazi ya kuwapigia Kiwi viatu vyao tu!

Labda nitaelezwa hapa leo.
 
sababu wazungu waliweka hio confidentiality ndo umeona ushikilie hapo hapo.
Ukweli ni kwamba pamoja na vipimo vya ukimwi kutoaminika sana.idadi ya wagonjwa wa hii gonjwa ni kubwa sana.vipimo haviaminiki waweza ukawa negative vikakupa majibu ya positive ama kinyume chake.

Huyu hapa hata Imhotep hajawahi kumsikia bila shaka.
 
Pamoja kwamba bado naunga mkono hoja yako kimsingi lakini hapo kwenye RED si kweli. Hivi huyo jamaa mbona huwa anafananishwa sana na watu ambao naamini upstairs wako vizuri ni kwa nini? nilishasikia ndio Jmashaka. What is secret behind?

OMG!!!! Ina maana wewe unaamini kuwa january yupo poa upstairs?
 
Huyu hapa hata Imhotep hajawahi kumsikia bila shaka.

Acha kujifanya unajua sana.. Wewe umeshawahi kumsikia Homer?Asclepios?Hippocrates? Wewe jamaa unajifanya unajua sana ee.usifikiri hapa JF kila mtu ni kilaza kama lushoto jimboni kwako. This is JF
 
Mambo ya msingi kama yapi? Wewe na akili zako hujui maana ya forum' hapa sifanyi dissertation.. Hii ni forum kaka . Hhahaa halafu acha kum follow Kiranga atakupoteza simama wewe kama wewe, huyu jamaa anaweza kubishana na JF nzima na akashinda

Asante kwa kuacha kutumia lugha usiyoifahamu, wengine ilikuwa bado kidogo tutapike hapa.
 
Acha kujifanya unajua sana.. Wewe umeshawahi kumsikia Homer?Asclepios?Hippocrates? Wewe jamaa unajifanya unajua sana ee.

This is soo 1989 and earlier.

The difference between myself and you is that you are talking - really fronting- Hellenic mythology, while I am talking the African roots of Hellenic mythology.

Ungemjua Hippocrates ungejua Hippocratic Oath.

Which include

All that may come to my knowledge in the exercise of my profession or in daily commerce with men, which ought not to be spread abroad, I will keep secret and will never reveal.
If I keep this oath faithfully, may I enjoy my life and practice my art, respected by all humanity and in all times; but if I swerve from it or violate it, may the reverse be my life.

Ungejua Hippocratic Oath ungejua concept nzima ya professional ethics in medicine.

Clearly unathrow around names bila kujua substance.
 
Asante kwa kuacha kutumia lugha usiyoifahamu, wengine ilikuwa bado kidogo tutapike hapa.

Tatizo lako wewe unajifanya kuwa unajua kila kitu na 2015 angalia wasije wakakutosa kuna kijana mmoja lazima akupe ushindani sana ama lazima akupige chini so watch out acha kubishana bishana hapa JF nenda kawatumikie waliokupa kula
 
Kiranga and his follower at work..ok guys sitawaweza mpo wengi ngoja mimi niingie barabarani kuendesha boda boda langu lakini miskomplikate mambo. And take it easy mimi nimeleta tu habari so mambo ya maadili mtajuana wenyewe huko na serikali yenu ndio ina makosa

Boda boda is better for you mkuu.
Fani za watu huziwezi
Na unapoelimishwa unajifanya kujua.
Stick with bodaboda. Its better for you.
Siku njema and say hey to your lab technician.
 
This is soo 1989 and earlier.

The difference between myself and you is that you are talking Hellenic mythology, while I am talking the African roots of Hellenic mythology.

The African Origin of Philosophy has nothing to do with our hard life and people like you who use thre money na madaraka yao kuchukua watoto wa shule na mabinti wadogo. So dont go offpoint
 
Kuna jamaa anafanya kazi kama lab technician. Kaniambia kuwa watu wanaokuja kupima damu % kubwa wana ngoma. Nikamwambia toa mfano.

Akaniambia leo kapima wadada wajawazito sita. Na wanne kati yao wana virus vya UKIMWI na umri wao ni kuanzia miaka 18-23.. So guys watch out. Na hao wadada wote wameolewa.

So jiulizeni mko wangapi? It really shocked me. Jamani tuache haya mambo tutaisha hasa kwenye ndoa huko mmmh!!! Haya

Bro, ubishi mwingi utakukosesha maarifa, kushindwa kukubali unapokosolewa ni ulegevu wa akili!

Nilitoa maelezo kuhusu upimaji wa wajawazito

Naomba elewa taratibu za upimaji wa VVU

Sikuhizi hatutegemei sana lab technicians kufanya tests za VVU, kuna hizi rapid tests ambazo kuna watoa huduma wengine (Consellors) wamefundishwa kufanya hizo tests katika huduma ya ushauri nasaha na upimaji wa hiari (VCT), Huduma shawishi za upimaji na ushauri nasaha (Provider Initiated Testing and Counselling-PITC), katika hizo nafasi ya lab tech ni ndogo sana. Yeye atahusika pale tu ambapo majibu ya rapid test yanaleta mashaka na pia katika huduma ya uchangiaji damu.

Bado nasisitiza kwa lab tech aliyepitia medical system na akaiva si rahisi kutoa habari kama hiyo! Ila kuna uwezekano mkubwa huyo nduguyo ni lab techician wa VETA au wa Magumashi sababu wao medical ethics hawana.

samahani kama nimekukera kwa kuwa na msimamo tofauti na wewe, najua nivigumu kukubali kuwa umepewa taarifa na mtu ambaye hatambui wajibu wake na wewe kwa kutokujua kama jamaa yako ni wa VETA ukaona uje utuletee hii habari hapa!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nimekujaje fastaaa! Mada kama hizi nazikwepaga kwepaga! Mambo haya ukifikiria sana utakuwa HUTOKI NJE YA NYUMBA!!! Na hivi huwezi kumjua kwa KUMTIZAMA!!!!!! Eee Mola Utusaidie!

Dah na hicho kinguo chako kwenye avatar mie nshasimamisha mguu wa tatu tutapona kweli mmmh ...............:A S embarassed:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom