Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Na sit down fikiria vizuri utajua concept ya mimi kuleta uzi kama huu. Janga la ukimwi is not about secret again utapoteza ndugu zako wote and ate the end na wewe utapotea. Hizo siri za mgonjwa unazozisema hapa ni zipi? Mgonjwa yupi? Na wapi? Unamjua jina lake?

Kwa hiyo unachotaka wewe majina ya wenye VVU yawekwe wazi ili jamii iokoke? Hicho ndicho unachokitaka?

Umeshaelezwa kuwa kutoa detailed information kama "leo walikuja wajawazito sita na wanne wana VVU" tayari kunaweza kupelekea watu kuwajua hao wenye VVU. Kwa hiyo hoja haiwezi kuwa "majina hayakutajwa"

Pia, tuna hofu kuwa Lab Technician wa aina hii ya nduguyo, hashindwi kututajia kwa jina Fulani ana Ukimwi iwapo wewe ndugu yake, au washkaji wengine wataonekana kujikurubisha kwa huyo Fulani.

Hili ndilo linalotutiza. Kuwa taarifa zetu za faragha zinachezewa ovyo ovyo na watu wenye mamlaka juu yetu kinyume na taratibu za kisheria
 
sijaleta hii thread ili mfurahi nimeileta ili mjue hali halisi ..mjue siri ambazo madaktari wanazikazlia na hii ndio maana ya JF hii ni forum msifikiri kuwa kila siku mtaamka na kuja kusoma taarifa za kuwafurahisha hapa na za kina wema sepetu na diamond
 
Kwa hiyo unachotaka wewe majina ya wenye VVU yawekwe wazi ili jamii iokoke? Hicho ndicho unachokitaka?

Umeshaelezwa kuwa kutoa detailed information kama "leo walikuja wajawazito sita na wanne wana VVU" tayari kunaweza kupelekea watu kuwajua hao wenye VVU. Kwa hiyo hoja haiwezi kuwa "majina hayakutajwa"

Pia, tuna hofu kuwa Lab Technician wa aina hii ya nduguyo, hashindwi kututajia kwa jina Fulani ana Ukimwi iwapo wewe ndugu yake, au washkaji wengine wataonekana kujikurubisha kwa huyo Fulani.

Hili ndilo linalotutiza. Kuwa taarifa zetu za faragha zinachezewa ovyo ovyo na watu wenye mamlaka juu yetu kinyume na taratibu za kisheria

Wewe ni small minded brain. Nimesema sita ndio sasa ina maana wewe kama leo umeenda hospitali unajua kuwa mlienda wangapi? Wtf ? acha ubishi labda kama umeathirika uniambie niache usije ukadhani nakunyanyapaa but attack zako zinaonyesha kabisa kuwa your brain is chicken brain i mean is so small.

Mimi sitaki wenye VVU wataje kwa majina ila mimi nataka kabisa watengwe na kupewa sehemu yao ya kuisho sema basi tu its too late right now kwani wengi wenu mmeshaathirika. Na hapo mimi sijaandika kuwa watajwe kwa majina. Hapa mimi nimeanika wazi na kuweka bayana mambo ambayo mnatuficha sasa mimi nimeyaweka wazi.

Kumbuka hapa ni JF ni kama mtandao ule wa Assange ..tunaweka vitu confidential. Kwa hio pole sana mama , najua Invisible yupo pamoja nami kwa sababu anajua kuwa tunaipa jamii taarifa ambazo kweli ni shocking news and every body is supposed to know this.
 
Wewe ni small minded brain. Nimesema sita ndio sasa ina maana wewe kama leo umeenda hospitali unajua kuwa mlienda wangapi? Wtf acha ubishi labda kama umeathirika uniambie niache usije ukadhani nakunyanyapaa but attack zako zinaonyesha kabisa kuwa your brain is chicken brain i mean is so small.
:lol:

Mimisitaki wenye vvu wataje kwa majina ila mimi nataka kabisa watengwe na kupewa sehemu yao ya kuisho sema basi tu its too late right now kwani wengi wenu mmeshaathirika. Na hapo mimi sijaandika kuwa watajwe kwa majina.

Kwa mtu anaetaka wenye VVU watengwe, sishangai kwa nini unaona hapa hakuna uvunjaji wa faragha ya wagonjwa. Kwa sababu kutaja jina kunaweza kuwa bora kuliko wawataka wawepo kwenye mji wao.

Hapa mimi nimeanika wazi na kuweka bayana mambo ambayo mnatuficha sasa mimi nimeyaweka wazi. Kumbuka hapa ni JF ni kama mtandao uke wa Assange ..tunaweka vitu confidential. Kwa hio pole sana mama , najua Invisible yupo pamoja nami kwa sababu anajua kuwa tunaipa jamii taarifa ambazo kweli ni shocking news and every body is supposed to know this.

:lol:
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kuna ndugu yangu anafanya kazi kama lab technician. Kaniambia kuwa watu wanaokuja kupima damu % kubwa wana ngoma. Nikamwambia toa mfano. Akaniambia leo kapima wadada wajawazito sita. Na wanne kati yao wana virus vya ukimwi na umri wao ni kuanzia miaka 18-23.. So guyd watch out. Na hao wadada wote wameolewa . So jiulizeni mko wangapi? Its really shocked me. Jamani tuache haya mambo tutaisha hasa kwenye ndoa huko mmmh!!! Haya
Huna habari kuna vifaa feki vya kupimia virus na vinatoa majibu tofauti
 
Huwezi kuelewa watu wanachopinga kwa sababu Wabongo tunapenda umbea na kujua habari za watu.

In essence hakuna mtu anaepinga kuwa VVU na UKIMWI upo sana Tanzania, tunachopinga ni njia iliyotumika kukufikishia wewe taarifa hiyo.

Njia iliyotumika si sahihi, kwa sababu inaweza kuchochea kunyanyapaliwa kwa baadhi ya wagonjwa, kwa sababu tu taarifa zao za faragha zimewekwa wazi kwenye jamii kinyume na taratibu.

Kwa hiyo hii thread yako inaweza kuwa imekuwa shocking kwa watu sio kwa sababu habari ya kuwepo kwa VVU kwa wingi Tanzania ni habari ngeni, laa, ni kwa sababu ya kushangazwa na kuvunjwa kwa miiko na maadili ya kazi hasa kwenye suala sensitive kama hili.

Gossip ni part ya life la mwanadamu unaweza usipende gossip kama mimi ila kuna mambo na mambo. Hapa kwa nini wewe unapinga sisi kujua taarifa kama hizi? Unataka tufe wote ? Ilimubaki wenyewe nyi watoto wa mafisadi mutafune nchi?
 
Wewe mwenyewe umesaidia nini?

Mie hata kama sijasaidia chochote, siwezi kuja kupost vitu reckless hapa vitakavyofanya watu waache kwenda kupima. Kanuni ya kwanza ya tiba ni "do no harm". Mie hata kama sijafanya kitu, sijafanya harm. Wewe na nduguyo mnachangia watu kutopima na kuendeleza janga hili.

Bora mimi hapa nimeleta news ambayo watu walikuwa hawaijui

Don't flatter yourself. News gani ambayo watu hawaijui? Ya kwamba Lab technicians wanaropoka au kwamba Tanzania kuna high rates za HIV/AIDS? Hiyo unaita news?

na ndio maana kimewauma/kimekuuma hasa nyie viongozi vijana vijana

You must really believe that I am January Makamba right? Hivi nikija kukutolea posts nilizomchana huyo January hapa utasemaje? Kwamba mimi January Makamba nilikuwa najilipua mwenyewe? Don't flatter your garden variety orthodoxy laden hanger on due to your lazy delivery and vacuous content. I don't leech.

ndio viwembe sana. I knew before that this news is gonna touch you severly

Severly ndo nini? Wewe hujui ethics, hujui policy, hujui professionalism, basi hata spelling?

direct in the bottom of your heart and thats what i wanted.

What are you now? Shylock going for my heart?

Huu uzi sikuuleta ili mnipigie makofi kaka , nimeuleta hata kama sijafuata ethics ili muelewa kuwa hali si shwari na muache umalaya

Jumping Jehosaphats utawajua tu.

Kutupa maadili ya kazi na kufuja faragha za wagonjwa si umalaya? Kati yangu mie ninayetetea faragha za wagonjwa na wewe unayeendekeza umbeya nani malaya?

Wewe huna maadili ya kujua kwamba faragha ni haki ya mgonjwa, mie najua hilo.
 
Gossip ni part ya life la mwanadamu unaweza usipende gossip kama mimi ila kuna mambo na mambo. Hapa kwa nini wewe unapinga sisi kujua taarifa kama hizi? Unataka tufe wote ? Ilimubaki wenyewe nyi watoto wa mafisadi mutafune nchi?

Wewe kama unapenda sana gossip nenda kapime kwa huyo Lab Technician wako halafu scan vipimo vyako uweke hapa, na jina lako na kila kitu, tukujue wee gossip bingwa unajigossip mpaka mwenyewe.

Kama umeshindwa hilo funga bakuli lako.
 
Mie hata kama sijasaidia chochote, siwezi kuja kupost vitu reckless hapa vitakavyofanya watu waache kwenda kupima. Kanuni ya kwanza ya tiba ni "do no harm". Mie hata kama sijafanya kitu, sijafanya harm. Wewe na nduguyo mnachangia watu kutopima na kuendeleza janga hili.

Don't flatter yourself. News gani ambayo watu hawaijui? Ya kwamba Lab technicians wanaropoka au kwamba Tanzania kuna high rates za HIV/AIDS? Hiyo unaita news?

You must really believe that I am January Makamba right? Hivi nikija kukutolea posts nilizomchana huyo January hapa utasemaje? Kwamba mimi January Makamba nilikuwa najilipua mwenyewe? Don't flatter your garden variety orthodoxy laden hanger on due to your lazy delivery and vacuous content. I don't leech.

Severly ndo nini? Wewe hujui ethics, hujui policy, hujui professionalism, basi hata spelling?

What are you now? Shylock going for my heart?

Jumping Jehosaphats utawajua tu.

Kutupa maadili ya kazi na kufuja faragha za wagonjwa si umalaya? Kati yangu mie ninayetetea faragha za wagonjwa na wewe unayeendekeza umbeya nani malaya?

Wewe huna maadili ya kujua kwamba faragha ni haki ya mgonjwa, mie najua hilo.

Nina uhakika wewe ndiyo yeye na zile thread za kumchana ni kama kutupoteza tu. Wewe Kiranga hujitambui.. Naona una ni attack mimi na huyo lab tech and umekuja na kugenerelise as if niliambiwa na ma lab tech wote wa Tanzania which means wote wana makosa according to you. January go back to work ..huna cha kubishana na mimi hapa zaidi ya kwenda offpoint but kuna mamluki kibao wanaokusupport na sishangai kwani ni kawaida ya watanzania kuwa nyuma na mkubwa wao na kumpigia makofi hata kama anongea pumba
 
Last edited by a moderator:
ok mods msije mkafuta huu uzi naona waathirika wananishambulia kila kona but ukweli ndio huyo acheni kuendekeza umalaya.

Duh?! mkuu saying above words, that's is serious accusation mkuu!!

Kumbuka hili, POINT ya wewe kuleta thread ni kwamba watu watambue(kama hawajui bado) na kama wabatambua( basi wakumbuke)kuwa UKIMWI upo.

KUKUSOLEWA:
-Kama umeleta thread usidhani utapata only supporters"HATA KAMA THREAD INA UMAANA SANA", kuna watu watakao pinga pia...hii haimaanishi eti mawazo yao hayafai.

-Nimependa mkuu Nyaltosi, Gaijin nk jinsi walivyokumbusha...
Je, unadhani hakuna malaria, kifua kikuu n.k?
Je, wagonjwa hawa si wengi?...wewe unadhani kwanini hakuongelea haya?
Issue ni kwamba UKIMWI umehusishwa sana na uyanyapaa, na hivyo inapokuja kwenye suala la kupima inakuwa ni ngumu kwabi mtu anawaza nikipima nitajulikana,nitatengwa, nitasemwa!

So, nadhani nia ya thread ni nzuri lakini ETHICS/MAADILI hayakufuatwa na ndugu yetu Lab Tech, mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wewe kama unapenda sana gossip nenda kapime kwa huyo Lab Technician wako halafu scan vipimo vyako uweke hapa, na jina lako na kila kitu, tukujue wee gossip bingwa unajigossip mpaka mwenyewe.

Kama umeshindwa hilo funga bakuli lako.

Mimi kila mwaka napima and iam safe najua wewe hujawahi kupima na inawezekana umeathirika na ndio maana kimekuuma sana and iam so sorry for you mr naibu. Hapa sifungi bakuli wewe ndio funga bakuli lako na mimi siwezi kuweka jina langu hapa kwani unaniambia hivyo ili uje kunipoteza nyie mafisadi wa bongo mna vitisho sana na mambo ya ajabu najua kwa vile upo ngazi ya juu unataka kujua jina langu ili uje kuniwekea vikwazo kila sehemu H.E.L.L NO hapa umenoa huwezi kumjua mtu nenda kawaonee huko huko Lushoto. Hapa tunaongea ukweli na hatufichi mambo ambayo badae ama yanaiangamiza jamii pole pole kisa eti tunaogopa
 
Nina uhakika wewe ndiyo yeye na zile thread za kumchana ni kama kutupoteza tu. Wewe Kiranga hujitambui.. Naona una ni attack mimi na huyo lab tech and umekuja na kugenerelise as if niliambiwa na ma lab tech wote wa Tanzania which means wote wana makosa according to you. January go back to work ..huna cha kubishana na mimi hapa zaidi ya kwenda offpoint but kuna mamluki kibao wanaokusupport na sishangai kwani ni kawaida ya watanzania kuwa nyuma na mkubwa wao na kumpigia makofi hata kama anongea pumba

The burlesk buffoonery befits a boisterous baboon bursting billowing bouts of bile.

Do you really expect anyone to take you seriously?
 
Duh?! mkuu saying above words, that's is serious accusation mkuu!!

Kumbuka hili, POINT ya wewe kuleta thread ni kwamba watu watambue(kama hawajui bado) na kama wabatambua( basi wakumbuke)kuwa UKIMWI upo.

KUKUSOLEWA:
-Kama umeleta thread usidhani utapata only supporters"HATA KAMA THREAD INA UMAANA SANA", kuna watu watakao pinga pia...hii haimaanishi eti mawazo yao hayafai.

-Nimependa mkuu Nyaltosi, Gaijin nk jinsi walivyokumbusha...
Je, unadhani hakuna malaria, kifua kikuu n.k?
Je, wagonjwa hawa si wengi?...wewe unadhani kwanini hakuongelea haya?
Issue ni kwamba UKIMWI umehusishwa sana na uyanyapaa, na hivyo inapokuja kwenye suala la kupima inakuwa ni ngumu kwabi mtu anawaza nikipima nitajulikana,nitatengwa, nitasemwa!

So, nadhani nia ya thread ni nzuri lakini ETHICS/MAADILI hayakufuatwa na ndugu yetu Lab Tech, mkuu.

mwanao akinasa ndani ya gari yako unayoipenda na gari ianze kuungua utaacha kuvunja mlango ili kumuokoa mwanao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom