Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Boda boda is better for you mkuu.
Fani za watu huziwezi
Na unapoelimishwa unajifanya kujua.
Stick with bodaboda. Its better for you.
Siku njema and say hey to your lab technician.

Wewe dr ulimboka vipi na wewe??? Is this wht you can say? Hahaha jk ni kiboko kweli sasa hivi kimyaaaa sisikii kelele tena japo mlitumia human shield ndugu zetu wakafa inshallah Mungu amewasemehe na msirudie tena. Hapa hakuna anayeendehs boda boda wala bada bada nlikuwa nawaangalia tu jinsi mnavyofurahia kuona wengine wanafanya kazi ngumu ambazo sio za ofisini..wewe na mwenzako kiranga mmefurahi kweli hahahaha
 
  • Thanks
Reactions: EMT
The African Origin of Philosophy has nothing to do with our hard life and people like you who use thre money na madaraka yao kuchukua watoto wa shule na mabinti wadogo. So dont go offpoint

Taja binti gani huyo?

Nani anataka maambukizi usawa huu?

Watu tuko ma Tokyo huko several years unatubambika tu!
 
This is soo 1989 and earlier.

The difference between myself and you is that you are talking - really fronting- Hellenic mythology, while I am talking the African roots of Hellenic mythology.

Ungemjua Hippocrates ungejua Hippocratic Oath.

Which include

Ungejua Hippocratic Oath ungejua concept nzima ya professional ethics in medicine.

Clearly unathrow around names bila kujua substance.

Umenena vema ila uko offpoint kwani this has nothing to do with watoto wa shula za kata ama watu wa Lushoto au Tanga' dsm etc ambao kila siku wanaendeleza ngono zembe. Hizo ni concept unabaki nazo kwenye osifi yako na itakuwa bora kama mngezi apply kidogo ili muwasaidie wananchi badala ya kupoteza muda wako kubishana na mtu mmoja ili hali unatakiwa kuwatumikia wananchi wote
 
Bro, ubishi mwingi utakukosesha maarifa, kushindwa kukubali unapokosolewa ni ulegevu wa akili!

Nilitoa maelezo kuhusu upimaji wa wajawazito

Naomba elewa taratibu za upimaji wa VVU

Sikuhizi hatutegemei sana lab technicians kufanya tests za VVU, kuna hizi rapid tests ambazo kuna watoa huduma wengine (Consellors) wamefundishwa kufanya hizo tests katika huduma ya ushauri nasaha na upimaji wa hiari (VCT), Huduma shawishi za upimaji na ushauri nasaha (Provider Initiated Testing and Counselling-PITC), katika hizo nafasi ya lab tech ni ndogo sana. Yeye atahusika pale tu ambapo majibu ya rapid test yanaleta mashaka na pia katika huduma ya uchangiaji damu.

Bado nasisitiza kwa lab tech aliyepitia medical system na akaiva si rahisi kutoa habari kama hiyo! Ila kuna uwezekano mkubwa huyo nduguyo ni lab techician wa VETA au wa Magumashi sababu wao medical ethics hawana.

samahani kama nimekukera kwa kuwa na msimamo tofauti na wewe, najua nivigumu kukubali kuwa umepewa taarifa na mtu ambaye hatambui wajibu wake na wewe kwa kutokujua kama jamaa yako ni wa VETA ukaona uje utuletee hii habari hapa!!

Wewe uko mbali sana na huyu chump I don't even expect him to understand.
 
Mambo ya msingi kama yapi? Wewe na akili zako hujui maana ya forum' hapa sifanyi dissertation.. Hii ni forum kaka . Hhahaa halafu acha kum follow Kiranga atakupoteza simama wewe kama wewe, huyu jamaa anaweza kubishana na JF nzima na akashinda

Haha..kama haya

KUJIFUNZA:
1. Kubali kukosolewa(constructively) , ili hata kama next time ukileta "habari" waru wasii-discredit kupitia tu uzoefu wa nyuma.
-Kuanzisha thread haimaanishi ndiyo uelewa wako uko mwisho.

2. KUWA THABITI: katika post fulani ulisema ninamuiga mkuu Kiranga, nikakujibu hebu nionyeshe hapo "nilipomuiga"..HUJAFANYA HAYA!

3. (INGAWA SIKUTAKA KUINGILIA HILI)
-Ulimtaja kama mkuu Kiranga=Jmakamba...tuchukulie ndiye yeye, kuna ubaya aki-comment?? hana haki??

let's say siyo huyo Mh. J.Makamba, huoni unamchafus jina kwa assumption?? if not assumption unaweza ku-prove??

4. SHOCKING NEWS:
Shocking news ni nini? unadhani ikiwa "shocking news" kwako ndiyo kwa kila mtu??..Ni nani asiyejua kuwa kuna UKIMWI??
-Yaani, kwa kupima watu 6 mtu anafanya conclusion??..Nikisimama barabarani leo na kupima wajawazito/watu kadhaa na wasiwe na VVU, na mimi nianzishe thread kusema "Shocking news-UKIMWI hakuna"?!!
-Hivi ndiyo takwimu zinavyochukuliwa?

5.ETHICS:
-Umeongelea mambo ya reseach kuwa si kazi yako, nimekuuliza maswali kwanini huyajibu? ni kazi ya nani?Nikakuuliza kazi yako ni ipi(lengo nikutaka kujua kazi gani isiyo na ethics)..hakuna!! hata kama hautaelekezwa kazini, kupitia maisha ya kila leo utajifunza.

-Ukaongelea suala la dissertation, je wakati ukifanya hiyo research hakukuwa na mambo ya ETHICAL CLEARANCE?? kama yalikuwepo unadhani ni kwanini?
-Then kwa nini ikija katika sekta ya Afya isizingatiwe?!!

6. LUGHA KALI:
Nilikuuliza definition yako ya muathirika ni ipi? hasa ulizingatia thread hii?
Umeita wale wanaokukosoa ni waathirika!!!
-Let's say ni kweli, kuna ubaya wakicomment?
-Let's say si kweli, utathibitisha hayo uliyoyasema hata wakikuomba ufanye hivyo?

-Umetumia lugha ya matusi wanaokupinga ni "Morons", unadhani hii ni sawa?..Kwa nini tusijadili kwa kuleta facts tu hapa, kuliko kuonyeshana uwezo mkubwa wa kutusi?ili iweje anyway?
 
Last edited by a moderator:
Unajua nafikiria sana na naanza kuhoji kwamba mambo haya ambayo tunayaona madogo na kuyadharau ndiyo haya haya yanayoweza kuchangia sana kutufanya tuwe maskini.

Halafu tunaingia katika a vicious cycle of poverty kwa sababu tuna embrace wanton simplification na hatuwezi ku focus kwenye big picture (magazeti ya udaku ni mazuri kwa sababu yanawashame malaya, ma Lab Tech wanao discuss kazi zao majumbani ni wazuri kwa sababu wanaonyesha ukubwa wa tatizo, Rais anayekutana na wananchi Lumumba kutatua mirathi ni mzuri kwa sababu anajali etc)

Chumps like these deserve a trashing, even though sometimes I feel like I go overboard. At least the warrant lies in the fact that they almost always demonstrate a degree of not being able to understand a reasonable argument that is backed by informed scholarship.

Sasa we unaenda kuongea scholarship na numskull hata kujieleza mzozo?

The more you look at these issues the more you find interesting and delicate questions other (like this chump) would easily discard.

Yaani his non-argument is so wrong on so many levels hujui hata uanzie wapi, unataka kumtolea declarations za human rights za kimataifa lakini unajiuliza hivi mtu ambaye haelewi a professional code of conduct na umuhimu wake ataelewa hizo declarations za human rights? Na sababu zilizopelekea?

Huyu kweli anafahamu maana ya kuwa binadamu?

Au ndo kama nilivyosema anaishi huko katika existence ambayo wenzetu wameipita in the pre 30 years war period?

Halafu huyu bahati mbaya si peke yake, wako kibao hawa.

Elimu? Utashi? Exposure? Majivuno?

we acha kuzungusha maneno.spinning haitusaidii hapa.wala hio confidentility,code of conduct bado haviwezi kuadress hili janga.jamaa ametuwekea hapa jinsi hali ilivo mbaya,wewe unaponda kwa misamiati ambayo wala hata haisaidii kwa lolote.
 
Wewe dr ulimboka vipi na wewe??? Is this wht you can say? Hahaha jk ni kiboko kweli sasa hivi kimyaaaa sisikii kelele tena japo mlitumia human shield ndugu zetu wakafa inshallah Mungu amewasemehe na msirudie tena. Hapa hakuna anayeendehs boda boda wala bada bada nlikuwa nawaangalia tu jinsi mnavyofurahia kuona wengine wanafanya kazi ngumu ambazo sio za ofisini..wewe na mwenzako kiranga mmefurahi kweli hahahaha

Mkuu kuwa na ustaarabu kidogo..esp with your first statmebt/qn!!

Ulianzisha thread na tukawa tunaelewana vizuri but not in this way, mkuu.
 
Taja binti gani huyo?

Nani anataka maambukizi usawa huu?

Watu tuko ma Tokyo huko several years unatubambika tu!
bwa ha ha ha ha !!! wewe muongo sana kama kweli ungehuwa hapa tokyo ungesema watu tupo ma tokyo huku na usingesema watu tupo matokyo huko.... You see mheshimiwa kuwa ukiamua kudanganya kitu ama ku hide kitu better to be carefully.
Eti tokyo kama kweli wewe upo tokyo nitafute nafanya kazi hapa Roppongi Hills Hillside 2F 6-10-1 Roppongi Minato-ku.. kama upo serious but najua huwezi kuja kwani najua upo Dsm hapo sasa hivi na upo ofisini . Mh naibu jogoo atawika mara tatu shauri yako.
 
Umenena vema ila uko offpoint kwani this has nothing to do with watoto wa shula za kata ama watu wa Lushoto au Tanga' dsm etc ambao kila siku wanaendeleza ngono zembe. Hizo ni concept unabaki nazo kwenye osifi yako na itakuwa bora kama mngezi apply kidogo ili muwasaidie wananchi badala ya kupoteza muda wako kubishana na mtu mmoja ili hali unatakiwa kuwatumikia wananchi wote

That's where you are wrong.

This has everything to do with education, which figures prominently in the central issues to do with HIV/AIDS rates. I wouldn't delve into this if it did not have anything to do with education.

Education comes with a respect for ethics and codes of conduct.

And you display a ghastly lack of education right now, yaani hata huoni haya watu wote wanakwambia quit your silly prank before you are further exposed.

Unajikuta kila unapoenda unaumbuliwa tu.

Umeenda ku Google huko umekuta uliowa Google sio tu hujui walichosema, bali pia walichosema kinakusuta.

Umeisoma vizuri na kuielewa hiyo Hippocratic Oath?

Nilitaka kukuwekea lakini nikakuhurumia kwamba hutaelewa imeatokea wapi.

Nilipoona umeweka mwenyewe jina la Hippocrates (apparently bila kujua alikuwa nani na alifanya nini) nikasema "Hamad!"

Unaelewa the essence of the Hippocratic oath?

Unafahamu kwa nini medical professionals the world over wanaapa this oath on graduation?
 
EMT umesomeka haya nenda kanywe kahawa

Kabisa mkuu ngoja nikapate kahawa, maana na wewe umeanza kuelewa kama ulivyoandika hapo chini.

tatizo wameli create wao wenyewe na wala mimi sihusiki so inabidi wizara na wanaojijua huko wenye kufundisha maadili wajue jinsi ya kufanya

Kabisa mkuu. Wewe hahusiki kabisa. Tatizo lilikuja pale ulipojaribu kujustify kitendo cha huyo lab technician kwenda kinyume na maadili ya kazi yake. Nakubaliana na wewe kabisa kuwa inabidi wahusika wamfundishe huyo lab technician maadili ili ajue jinsi ya kutunza siri za patients.

Pamoja Mkuu.
 
Kabisa mkuu ngoja nikapate kahawa, maana na wewe umeanza kuelewa kama ulivyoandika hapo chini.

Kabisa mkuu. Wewe hahusiki kabisa. Tatizo lilikuja pale ulipojaribu kujustify kitendo cha huyo lab technician kwenda kinyume na maadili ya kazi yake. Nakubaliana na wewe kabisa kuwa inabidi wahusika wamfundishe huyo lab technician maadili ili ajue jinsi ya kutunza siri za patients.

Pamoja Mkuu.

Hahaha wewe Kiranga worshiper akili zako fupi sana . Huyo lab tech watampata wapi? Hahaha
 
Last edited by a moderator:
Hizi sredi nyingine ukizisoma kama ulikuwa unaelekea loji kula mzigo lazima upitilize,..
 
That's where you are wrong.

This has everything to do with education, which figures prominently in the central issues to do with HIV/AIDS rates. I wouldn't delve into this if it did not have anything to do with education.

Education comes with a respect for ethics and codes of conduct.

And you display a ghastly lack of education right now, yaani hata huoni haya watu wote wanakwambia quit your silly prank before you are further exposed.

Unajikuta kila unapoenda unaumbuliwa tu.

Umeenda ku Google huko umekuta uliowa Google sio tu hujui walichosema, bali pia walichosema kinakusuta.

Umeisoma vizuri na kuielewa hiyo Hippocratic Oath?

Nilitaka kukuwekea lakini nikakuhurumia kwamba hutaelewa imeatokea wapi.

Nilipoona umeweka mwenyewe jina la Hippocrates (apparently bila kujua alikuwa nani na alifanya nini) nikasema "Hamad!"

Unaelewa the essence of the Hippocratic oath?

Unafahamu kwa nini medical professionals the world over wanaapa this oath on graduation?

Complicater as usually.. wewe ndio umezoea ku google ..nlikuwa nataka nikuonyeshe tu kuwa tunajua so usijione mfalme hapa. ila nimeona tu kuwa to argue with a person like you is like
administering medicine to the dead
 
Hizi sredi nyingine ukizisoma kama ulikuwa unaelekea loji kula mzigo lazima upitilize,..

Kalou definetly hii ndio maana ya mimi kuleta hii thread hapa na other factor mimi nilizi ignore ..sema hawa jamaa naona wanazilazimisha utafikiri eti mimi sijui.
 
we acha kuzungusha maneno.spinning haitusaidii hapa.wala hio confidentility,code of conduct bado haviwezi kuadress hili janga.jamaa ametuwekea hapa jinsi hali ilivo mbaya,wewe unaponda kwa misamiati ambayo wala hata haisaidii kwa lolote.

Jamaa analeta hatari ya kuitoa habari kutoka bad to worse.

Kuna vichwa viliona matatizo yatakayotokea na vichwapanzi kama hivi, vikaweka systems zitakazokulinda wewe kesho usipigiwe kelele za "mwiziiii" ukauawa kwa mob justice.

Basically anachotetea huyu ni sawa na mob justice, habari ambazo hazijapitia due process na kufuata code of conduct.

I am sure hutataka kupigiwa kelel za mwizi na kuchomwa moto kesho just because adui yako hakupendi.

Moja ya sababu hatuendelei ni hili jambo la kila mtu kufikiri in a disgustingly parochial way.

Watu hawajui hata umuhimu wa professional ethics.

kesho rais akijipendelea kinyume na maadili, watu hawa hawa watapiga kelele "fisadi, fisadi".

Wakati ufisadi wanaudekeza wenyewe, wanadekeza vihabari habari visivyofuata code of conduct na professional ethics huko.
 
Complicater as usually.. wewe ndio umezoea ku google ..nlikuwa nataka nikuonyeshe tu kuwa tunajua so usijione mfalme hapa. ila nimeona tu kuwa to argue with a person like you is like
administering medicine to the dead

Wewe huwezi kuniambia kwamba unaielewa Hippocratic oath.
 
Huyo Lab Technician anasema wengi wao wameolewa! inawezekana wakawa ndo akina dada wenye Umri Mdogo wanaolewa na watu wenye Umri mkubwa na mara nyingi bila kupima kwanza, unajua kuna watu wengi walishakuwa na ndoa kabla, na wanaamua kutafuta wenye Umri Mdogo, 1. wao wenyewe wanaweza kuwa hawana habari kama wana maambukizo, ama wanajua na wanawatumia wasichana wadogo wenye uhitaji katika maisha yao.
 
Kama heading inavyojieleza kweli hizi ni SHOKING NEWS.
 
bwa ha ha ha ha !!! wewe muongo sana kama kweli ungehuwa hapa tokyo ungesema watu tupo ma tokyo huku na usingesema watu tupo matokyo huko.... You see mheshimiwa kuwa ukiamua kudanganya kitu ama ku hide kitu better to be carefully.
Eti tokyo kama kweli wewe upo tokyo nitafute nafanya kazi hapa Roppongi Hills Hillside 2F 6-10-1 Roppongi Minato-ku.. kama upo serious but najua huwezi kuja kwani najua upo Dsm hapo sasa hivi na upo ofisini . Mh naibu jogoo atawika mara tatu shauri yako.

Sina muda mchafu wa kutafuta a high risk, deranged, diabolical, uneducable mind like yours.

Nina hakika hujawahi kufika Tokyo kwa sababu kufika Tokyo tu ni elimu ya kusoma hati tofauti, na wewe ushajionyesha huna elimu ya level hiyo hata kumsikiliza mtu mwenye maoni zaidi ya yako tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom