Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Kiranga kwahiyo hata taarifa tunazopewa za maambukizi mapaya au Tanzania ina wagonjwa kadhaa wa ukimwi nayo ni makosa?

Hapana,

Hizo taarifa zinatolewa officially kwa kuzingatia misingi ya faragha za wagonjwa, hazitolewi na ma Lab Technician wanapopiga soga na ndugu zao.

Lab technician akiwa anapiga story na ndugu yake kuhusu habari za kazi yake, halafu ndugu yake anataka ku test zali sehemu, ndugu mtu anauliza "pale vipi?" na Lab Technician anajua jibu positive, unafikiri ataacha kusema?

Ndiyo maana nasema suala zima la ku discuss haya matokeo one on one na ndugu zake ni makosa kwa huyu Lab Technician.

Kinachotakiwa hapo ni habari kutolewa kiujumla kwa watu wote, kiasi kwamba mtu asihitaji kuwa na ndugu Lab Technician ili kujua hali halisi.

Na Lab Technician asiingie majaribuni kuvunja miiko ya kazi yake.
 
Walioweka confidentiality si wajinga.

Kitendo chako wewe kuja JF kusema mnaongea na nduguyo Lab Techcician kuhusu afya za watu tayari kinaondoa confidence miongoni mwa watu kwamba habari zao zinawekwa kwa faragha inayotakiwa.

Wengine watasema umesema tu kwamba hajataja majina kwa sababu kusema kataja majina ni soo, ila majina kataja, na wao wataogopa kwenda kupima.

Kukataa kwao kwenda kupima kutaongeza maambukizi.

Unaposema "tutaangamia wote" kwa simplistic approach ya kufikiri kuvunja faragha ndiyo jibu, unaweza kujikuta unapalilia kuangamia wote kwa sababu ya kuondoa imani ya watu juu ya uwezo wa system ku keep mambo ya afya zao confidential.

hiyo concept yako hewa ita apply under conditions that other things remain constant.
In other way naweza kusema kuwa hii thread yangu imewafumbua watu including you kuwa ukimwi upo na inabidi tuwe makini tutumie kinga na tujilinde kwani situation is worse right now. Kwa hiyo Kiranga acha kujenga hoja finyu hapa hutoeleweka. Mimi kuleta uzi kama huu hakuna kosa lolote .kama ni kosa basi hata serikali na nchi zote wanakosea wanavyotoa idadi ya waathirika na sehemu zenye maambukizi kwa wingi.
 
Last edited by a moderator:
Kiranga kwahiyo hata taarifa tunazopewa za maambukizi mapaya au Tanzania ina wagonjwa kadhaa wa ukimwi nayo ni makosa?

Si makosa mkuu Saigon,
Tunachosema, mfano mtu akiwa anamjua Black Bat na pia akamjua huyo Lab Tech, ..anaweza akadadisi kujua hao sita ni kina nani..

na hii inawezekana kulingana na maelezo kuwa "asilimia kubwa" aliyoiona siku hiyo...which means inawezekana walikuwa sita kati ya kumi au wanane au hata 7!!

Na hapo ndipo hiyo confidentiality loss inapotokea..maana naamini Lab Tech alimwambie nduguye(mleta thread) kwa nia njema kabisa just modality tu haikuwa njema sana.
 
Last edited by a moderator:
Hapana,

Hizo taarifa zinatolewa officially kwa kuzingatia misingi ya faragha za wagonjwa, hazitolewi na ma Lab Technician wanapopiga soga na ndugu zao.

Lab technician akiwa anapiga story na ndugu yake kuhusu habari za kazi yake, halafu ndugu yake anataka ku test zali sehemu, ndugu mtu anauliza "pale vipi?" na Lab Technician anajua jibu positive, unafikiri ataacha kusema?

Ndiyo maana nasema suala zima la ku discuss haya matokeo one on one na ndugu zake ni makosa kwa huyu Lab Technician.

Kinachotakiwa hapo ni habari kutolewa kiujumla kwa watu wote, kiasi kwamba mtu asihitaji kuwa na ndugu Lab Technician ili kujua hali halisi.

well said mkuu.
 
kwanza hao walioenda kupima waliondoka na majibu yao. So tatizo hapa liko wapi? Kiranga the topic is not about existence of God here we are talking about aids with direct impact in our daily life . Lazima tujue ukweli na tusifichane tukificha tutajua kuwa watu wote ni safi kumbe percent kubwa ni waathirika
 
hiyo concept yako hewa ita apply under conditions that other things remain constant.
In other way naweza kusema kuwa hii thread yangu imewafumbua watu including you kuwa ukimwi upo na inabidi tuwe makini tutumie kinga na tujilinde kwani situation is worse right now. Kwa hiyo Kiranga acha kujenga hoja finyu hapa hutoeleweka. Mimi kuleta uzi kama huu hakuna kosa lolote .kama ni kosa basi hata serikali na nchi zote wanakosea wanavyotoa idadi ya waathirika na sehemu zenye maambukizi kwa wingi.

Wengine tutasema hii thread yako imewa expose ma Lab Technician wa kibongo kwamba si waaminifu kwa miiko ya kazi yao.

Na kwamba bongo hakuna siri kwa mujibu wa ethics za kazi, unaweza kupima kesho ukawa subject of discussion at the Lab Technician's dinner table.

Na hivyo kuwafanya watu wasitake kupima zaidi.

Na hivyo kuongeza janga, badala ya kupunguza.

Wewe hiyo theory yako ndo inategemea other things being more than constant in favor of an unimaginably non-standard level of restrain on the part of human nature.

Wajuzi washajua ukishaanza kudiscuss mambo haya na ndugu zako, hata kama huna nia ya kutaja jina, ni rahisi kuingia katika temptation ya kutoa "personal identifiers". Ndiyo maana wakaona kuondoa mzizi wa fitina sehemu yeyote inayojali privacy hutakiwi kabisa kuongelea mambo haya katika stories za nyumbani.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kuna ndugu yangu anafanya kazi kama lab technician. Kaniambia kuwa watu wanaokuja kupima damu % kubwa wana ngoma. Nikamwambia toa mfano.
Akaniambia leo kapima wadada wajawazito sita. Na wanne kati yao wana virus vya ukimwi na umri wao ni kuanzia miaka 18-23.. So guyd watch out. Na hao wadada wote wameolewa .
So jiulizeni mko wangapi? Its really shocked me. Jamani tuache haya mambo tutaisha hasa kwenye ndoa huko mmmh!!! Haya

Kila siku watu wanauuliza dawa za nguvu, mara vyakula vinavyoongeza nguvu, ndio matokeo yake, na hii ngono yetu ya sifa unataka kukomoa ndio inatumaliza kabisa!!
 
Hapana,

Hizo taarifa zinatolewa officially kwa kuzingatia misingi ya faragha za wagonjwa, hazitolewi na ma Lab Technician wanapopiga soga na ndugu zao.

Lab technician akiwa anapiga story na ndugu yake kuhusu habari za kazi yake, halafu ndugu yake anataka ku test zali sehemu, ndugu mtu anauliza "pale vipi?" na Lab Technician anajua jibu positive, unafikiri ataacha kusema?

Ndiyo maana nasema suala zima la ku discuss haya matokeo one on one na ndugu zake ni makosa kwa huyu Lab Technician.

Kinachotakiwa hapo ni habari kutolewa kiujumla kwa watu wote, kiasi kwamba mtu asihitaji kuwa na ndugu Lab Technician ili kujua hali halisi.

Na Lab Technician asiingie majaribuni kuvunja miiko ya kazi yake.

Ubishi usio na msingi. Tatizo lako wewe unaweza ukabisha kuwa huvuti hewa na ukashinda.
 
Nilitaka kuuliza hivyo hivyo...sioni umuhimu wa usiri kwenye hili as long as hajataja jina.

Mkuu nyumba kubwa,

Umuhimu upo,..si lazima utaje jina...hata viapo vyetu vinasema..utajadili/kutoa taarifa za patient/client kwa daktari/mhudumu wa sekta ya afya tu ..TENA kwa ajili ya MANUFAA ya mgonjwa!

Takwimu, hujumuisha kundi kubwa/jumuiya(population) na lengo si kwa ajili ya manufaa ya mgonjwa moja kwa moja...na hii huweza kufanywa na hata wale wasio na ubia na Sekta ya Afya moja kwa moja.
 
Ubishi usio na msingi. Tatizo lako wewe unaweza ukabisha kuwa huvuti hewa na ukashinda.

Wewe ndiye unaleta ubishi usio msingi.

Ubishi unaoingilia kanuni za kitaaluma kuhusu faragha za wagonjwa.

Halafu ukielezwa huoni utakilifu wa jambo hili.
 
Mkuu nyumba kubwa,

Umuhimu upo,..si lazima utaje jina...hata viapo vyetu vinasema..utajadili/kutoa taarifa za patient/client kwa daktari/mhudumu wa sekta ya afya tu ..TENA kwa ajili ya MANUFAA ya mgonjwa!

Takwimu, hujumuisha kundi kubwa/jumuiya(population) na lengo si kwa ajili ya manufaa ya mgonjwa moja kwa moja...na hii huweza kufanywa na hata wale wasio na ubia na Sekta ya Afya moja kwa moja.

Ahsante.

Ubovu wetu wengi hatuwezi kuangalia vitu katika level ya policy, kuangalia the big picture.

Kama unataka transparency toa takwimu kwa watu wote.

Wengine watasema hizi habari za ma Lab Technician kutoa taarifa kwa ndugu zao tu zinatoa an unfair advantage kwa wenye ndugu wafanyao hizi kazi.

Na kuwaacha wasio na ndugu matatani.

So toa taarifa officially kwa wote. Unaua ndege wawili kwa jiwe moja.

Unatoa taarifa kwa wenye ndugu Lab Technicians na wasio ndugu Lab Technicians.

Lakini pia hu compromise professional ethics on the part of Lab Technicians, as a result huwezi ku undermine the systems confidentility and anonimity.

Na watu hawatakuwa na shaka kwamba "nikienda kupima nitakuwa subject of discussion kwenye vilabu ya pombe".
 
what about other side of the coin?

and what that side might be?

all that am saying is ..HIV/AIDS is there, at times somewhat we use some ways(incorrect ways) though with good intention(s)..

CONSIDER:

If i tell my wife what happened at the clinic(Antenatal clinic, ANC) today that just few clients(let's say three,3) came by today,probably b'se of the weather-(that it was raining).. and unknowingly my wife's friend was among them, say my wife knew she wanted so bad to come to the ANC,..dont you think there's a leak of information(despite my good intentions to tell her of how "big" the problem is??

-Was that the only way i could use to tell her?
- Cant that lead to social stigmatization btn the two?
 
Tatizo watu wengi wako comfortable sana na simplification, na ukiwapa nuances zinazosababisha tuwe na professional ethics zinazokataza ku discuss kazi in this light wanakushangaa.

Ndiyo maana wanaona Lab Tech kuongelea mambo ya kazini kwake in the given light kuwa poa tu, after all si ana highlight tatizo? Hawajali methodology na implications given human nature.

Halafu hawahawa ndo kesho wepesi sana kupiga makelele ya ufisadi.

Kumbe hata kuvunja faragha za watu wanaoamini clinics na hospitali ni ufisadi pia.
 
kwanza hao walioenda kupima waliondoka na majibu yao. So tatizo hapa liko wapi? Kiranga the topic is not about existence of God here we are talking about aids with direct impact in our daily life . Lazima tujue ukweli na tusifichane tukificha tutajua kuwa watu wote ni safi kumbe percent kubwa ni waathirika

Belief in the existence of god may have more to do with AIDS rates than you care to admit. Do not make it such an abstract concept that does not touch peoples lives.

Don't derail your own thread.
 
Kiranga wewe ni useless kabisa sitaki kubishana na wewe unanipotezea muda tu hapa. umen'gan'gania point ya mimi kuongea na huyo lab tech. Ndio nimeongea naye kama imekuuma nenda kashtaki naona una maneno mengi sana siwezi kupoteza muda kubishana na wewe kwa hoja kwani naona haina maana yoyote. Huna la kufanya uko bored na thread nyingine ndio maana umeona u sticky hapa na kuanza kujenga vihoja vyako vya ajabu ajabu hapa.
 
Last edited by a moderator:
i dont know whts wrong with these m***rs who critising me where.. I dont nderstand you guys. What is my mistakes? Lab tec is x, place is x, and you re not sure about the validity of my thread.so whats ya problems? Wake zenu ndio wameenda kupima leo? Mbona kimewauna sana guys? Acheni mipasho sitaki mipasho hapa nimeleta kitu ambacho kikinyamaziwa kinaweza kuimaliza jamii
 
halafu huyu Kiranga =jmakamba huyu eti ndiye naibu waziri. Hawa jamaa wamezoea sana kuficha ficha vitu hata mikataba wanaisaini kimya kimya ndio maana mambo kama haya wanajifanya eti ni siri yao wanakalia data i compare them with mohamed ali.. Nchi inateketea ila bado wamenyamaza tu wanadai eti ni privacy..this is STUPIDITY.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom