Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Mimi kila mwaka napima and iam safe najua wewe hujawahi kupima na inawezekana umeathirika na ndio maana kimekuuma sana and iam so sorry for you mr naibu. Hapa sifungi bakuli wewe ndio funga bakuli lako na mimi siwezi kuweka jina langu hapa kwani unaniambia hivyo ili uje kunipoteza nyie mafisadi wa bongo mna vitisho sana na mambo ya ajabu najua kwa vile upo ngazi ya juu unataka kujua jina langu ili uje kuniwekea vikwazo kila sehemu H.E.L.L NO hapa umenoa huwezi kumjua mtu nenda kawaonee huko huko Lushoto. Hapa tunaongea ukweli na hatufichi mambo ambayo badae ama yanaiangamiza jamii pole pole kisa eti tunaogopa

Fact kwamba unapima kila mwaka ishakuweka kwenye high risk.

Unapima kila mwaka we unauza Ohio?

Kudadadeki.
 
The burlesk buffoonery befits a boisterous baboon bursting billowing bouts of bile.

Do you really expect anyone to take you seriously?

Kama umeshindwa mjadala si uondoke? Ya nini kuandika mabombastiki like this? brainwashed.
 
Fact kwamba unapima kila mwaka ishakuweka kwenye high risk.

Unapima kila mwaka we unauza Ohio?

Kudadadeki.

Mimi mwanaume nitaendaje ohio? Heeee huyu vipi wananchi mwoneni kiongozi wenu. Kwani mtu kupima na kujua hali yake ni lazima hadi awe amefanya mapenzi ? Wewe ni small minded you cant think beyong your nose always na ndio maana gharama za simu na internet zipo juu umeshindwa kusimamia upo kwenye internet kutafuta mabombastic words na kuyakopi unayaleta kuyapest huku ili tukuone wewe ni noma. Grow up mkuu.
 
mwanao akinasa ndani ya gari yako unayoipenda na gari ianze kuungua utaacha kuvunja mlango ili kumuokoa mwanao?

Hata kutoa analogy hujui.

Kama unaona janga la HIV ni emergrncy hivyo msisitizo ni kutoa takwimu kwa watu wote formally, sio ma Lab Technician kutoa siri za wagonjwa kwa ndugu zao.

Tatizo bado wengine tupo katika stages ambazo wenzetu walizipitia huko enzi za "30 Years War" (look that up).

I don't really expect you to understand, especially kwa sababu unaonekana hata uamuzi wa kujua lugha gani ya kutumia tu unakuwia mgumu, sembuse nuances za professional ethics.
 
Mimi mwanaume nitaendaje ohio? Heeee huyu vipi wananchi mwoneni kiongozi wenu. Kwani mtu kupima na kujua hali yake ni lazima hadi awe amefanya mapenzi? Wewe ni small minded you cant think beyong your nose always na ndio maana gharama za simu na internet zipo juu imeshindwa kusimamia upo kwenye internet kutafuta mabombastic words na kuyakopi unayaleta kuyapest huku ili tukuone wewe ni noma. Grow up mkuu.

Mtake radhi January kwa kumpakazia kuwa ni mimi wakati siye kwanza.

Ama sivyo JF nzima itakuona chizi wa kupuuzwa tu.

Wewe ni high risk tu, hata kukujibu naona unaweza kuniambukiza hapa ulivyokuwa unbelievably high risk.
 
this shows how watanzania hawapo tayari kujua ukweli .. Wanataka kuishi kwenye dream.

Wanataka kuujua mkuu wangu, just uzingatiwe mambo haya

-Kwanza uwe UKWELI HALISI,
-Upatikane katika njia STAHIKI
-Utolewe kwa njia za STAHIKI
- UFANYIWE KAZI(ukweli) IPASAVYO

Iwapo utataka watu wafikie hiyo ya mwisho kabla ya hayo matatu, hata huo "ukweli" UTAPUUZWA, simply b'se minajili ya upatikanaji wake.
 
The burlesk buffoonery befits a boisterous baboon bursting billowing bouts of bile.

Do you really expect anyone to take you seriously?

Acha sifa ..childish haya ni mambo ya o level kutafuta maneno magumu kwenye kamusi. Grow up!!!!!
 
thats why we call shokind news and every body is shocked right now. Poleni sana

Haha..mkuu, naona umeipenda sana hii "Shocking news hit"
-kwa watu walio katika medical field(madaktari, wafamasia, watu wa maabara, wauguzi, n.k) pamoja na wananchi makini i can bodly say IT IS NOT SHOCKING NEWS, not to them!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wewe mwenyewe umesaidia nini?

Kuwaelimisha Lab technicians and other health professional kutovunja sheria na ethics na pia huyo lab technician kuepeuka kufukuzwa kazi na kufungwa jela. Ni kinyume na ethics na sheria kwa health professional to share with third parties confidential information of his/her patients. Kama hutaki kuelimishwa, others will find this useful information na pia kulinda ajira zao. So, let me break it down for them.

First, the Constitution guarantees every person the right to privacy to his/her person. So, the right to privacy is a constitutional right.

Second, the HIV and AIDS (Prevention and Control) Act 2008 states in section 16(1) that "The results of an HIV test shall be confidential and shall be released only to the person tested."

Section 17(1) states that "All health practitioners, workers, employers, recruitment agencies, insurance companies, data recorders, sign language interpreters, legal guardians and other custodians of any medical records, files, data or tests results shall observe confidentiality in the handling of all medical information and documents, particularly the identity and status of persons living with HIV and AIDS."

Section 18 states that medical confidentiality may only be breached in order to:

(a) comply with reportorial requirements in conjunction with monitoring and evaluations programmes;

(b) to inform other health practitioners directly involved or about to be involved in the treatment or care of a person living with HIV or AIDS;

(c) to respond to a court order over legal proceedings where the main issue is HIV status of an individual; or

(d) to give information to the appointed member of the deceased's family.

Section 46 states that "Any practitioner or any person referred to under sections 16 and 17 above who (a) breaches medical confidentiality; or (b) unlawful discloses information regarding HIV and AIDS status of any person, commits an offence and on conviction, shall be liable for a fine not less than five hundred thousand shillings and not exceeding one million shillings or to imprisonment for a term not less than six months and not exceeding twelve months or both.
 
Acha sifa ..childish haya ni mambo ya o level kutafuta maneno magumu kwenye kamusi. Grow up!!!!!

Neno gumu liko wapi hapo? Read up.

Unafikiri kila mtu maimuna style "this is really shocked you guys" hapa?

Ukitaka kuleta habari inayojitia usomi na concern kwa jamii, do your homework.

And if you don't, be ready to accept genuine criticism.
 
Wanataka kuujua mkuu wangu, just uzingatiwe mamvo haya

-Kwanza uwe UKWELI HALISI,
-Upatikane katika njia STAHIKI
-Utolewe kwa njia za STAHIKI
- UFANYIWE KAZI(ukweli) IPASAVYO

Iwapo utataka watu wafikie hiyo ya mwisho kabla ya hayo matatu, hata huo "ukweli" UTAPUUZWA, simply b'se minajili ya upatikanaji wake.

Wewe acha kumuiga Kiranga hamfanani.... Mimi nimeleta thread hapa JF sijakulazimisha uamini. Na unajua kabisa maana ya random inawezekana hiyo sehem aliyokuwa huyo lab tech result ndio hiyo ukaenda sehem nyingine ukakuta wote hawajaathirika. So whats is yor problem? Dont follower Kiranga hes hopeless
 
Last edited by a moderator:
Neno gumu liko wapi hapo? Read up.

Unafikiri kila mtu maimuna style "this is really shocked you guys" hapa?

Ukitaka kuleta habari inayojitia usomi na concern kwa jamii, do your homework.

And if you don't, be ready to accept genuine criticism.

mtu akishaishiwa hoja utamjua tu. Nimekuumbua unaanza kuchambua speling na gramma hahahahaha aha ah.. Tumeshakujua.. Sasa bei za internet unazishusha lini?
 
Mkuu Black Bat, think you mean Lab Technician,

Duh?! Sidhani kama ni sahihi sana yeye(ndugu yako/Lab Technician) kukueleza matatizo ya clients wake, inapunguza usiri(confidentiality),

Pili inawezekana isiwe sahihi sana(False positive results) hutokea, na hovyo kuhitajika kupima tena.

Mkuu mbona wasema, "JIULIZENI mko wangapi?" Hii kitu yetu sote!!

ILA ukweli utabaki pale pale mkuu, tujihadhari(ambao hatujapata) ili tusiambukizwe, na wenye VVU kuzingatia ushauri na tiba.

Nahisi huyo ndugu yake atakuwa lab technician wa VETA coz wizara imechemka kwani kuna wengine wameajiriwa kwenye hospitali zetu, au anaweza kuwa lab tech wa magumashi!!

lab tech aliyeiva na ambaye amepitia medical system si rahisi kutoa siri za wagonjwa.

Tena ninavyofahamu akinamama wajawazito very rarely wanaenda maabara kucheck HIV satus, taratibu zinawataka wafanye rapid tests hapo hapo clinic, wanaiita comprehensive supermarket approach
 
Neno gumu liko wapi hapo? Read up.

Unafikiri kila mtu maimuna style "this is really shocked you guys" hapa?

Ukitaka kuleta habari inayojitia usomi na concern kwa jamii, do your homework.

And if you don't, be ready to accept genuine criticism.

I cant accept any critisim from you bse i dont see any point from you guys.you guys are trying just to talk and write to show up that thy can argue.....lakini zote ni pumba na mnaujua ukweli
 
Wanataka kuujua mkuu wangu, just uzingatiwe mamvo haya

-Kwanza uwe UKWELI HALISI,
-Upatikane katika njia STAHIKI
-Utolewe kwa njia za STAHIKI
- UFANYIWE KAZI(ukweli) IPASAVYO

Iwapo utataka watu wafikie hiyo ya mwisho kabla ya hayo matatu, hata huo "ukweli" UTAPUUZWA, simply b'se minajili ya upatikanaji wake.

Ahsante kwa shule mkuu.

But I doubt this ilk of numskulls will ever get this through their simpleton oriented heads.

Mtu kama huyu usikute ndo kwanza anayasikia leo, so sishangai kama hataelewa.
 
Kaanzishe thread nyingine inayohusu vifaa feki

Mkuu usitake kila mtu "akubaliane na wewe" eti it's shocking news b'se this is really irritating now,

-Ni mara ngapi watu wanapima wanaambiwa wana VVU, wakirudia several times wanaambiwa hawana? What if ni mmoja ya wale waliopimwa na huyo lab tech? Na ndio maana watu hushauriwa kabla na baada ya kupima! Kuna psychological torture mtu anapata kuanza kufikiria anao then baadae umwambie hana!..na ndio maana nchi nyingine unaweza kushtakiwa kwa haya!

-Kuna vitu vinachangia hiyo False positive,
Kutokana na vifaa(kama vimekwisha muda wake) ukibisha kajaribu kupima na vifaa vilivyo kwisha pita muda wake uje ulete majibu hapa!
So, yes TIQO is right...we should analyze from all angles...every angle.
 
Nahisi huyo ndugu yake atakuwa lab technician wa VETA coz wizara imechemka kwani kuna wengine wameajiriwa kwenye hospitali zetu, au anaweza kuwa lab tech wa magumashi!!

lab tech aliyeiva na ambaye amepitia medical system si rahisi kutoa siri za wagonjwa.

Tena ninavyofahamu akinamama wajawazito very rarely wanaenda maabara kucheck HIV satus, taratibu zinawataka wafanye rapid tests hapo hapo clinic, wanaiita comprehensive supermarket approach

Politics... So unataka kuniambia hakuna ukimwi? Elewa concept yangu wewe daktari uliyeiba mitihani ya o levle na a level... Poni yangu sio kuhusu mama wajawazito tu. Mimi nataka wananchi kujua yale ambayo mnayaficha na kuyakalia
 
I cant accept any critisim from you bse i dont see any point from you guys.you guys are trying just to talk and write to show up that thy can argue.....lakini zote ni pumba na mnaujua ukweli

Pumba ya kwanza kutoka kwako ni kushabikia uvunjaji wa professional ethics.

Watu kama nyie ndo mnatetea mob justice na kuua wezi kwa sababu "wezi wanajitakia wenyewe na hii itatoa fundisho"

Freakin simpleton without hte least of exposure.

Go read a book or two before trying to advise.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom