Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

ninyi gombaneni,bishaneni lakini ukimwi utawamaliza,mimi ninachojali ni kwamba anachosema ni cha kweli au kinakaribiana na ukweli basi,haya mengine malimbano tu.
 
There is such a thing as stating the obvious.

Hilo linajulikana, ukitaka ku simplify mambo sana mwishowe utakuja hapa na kusema unachojua ni a,e,i,o,u.
 
Hiyo hapo hata si takwimu, ni sexism tu, hao wasichana wa miaka 18-23 wanakuwa moto peke yao?

Au ndo maswala ya Watalibani, msichana hata kama kabakwa, anapigwa mawe kwa kuondolewa bikira?

Sasa mwishowe hata speculations, generalizations na truisms kama mtu kusema "Tanzania kuna UKIMWI sana" tutaita takwimu.

Ivi wewe ni kitu gani ambacho hujui hapa duniani.

Make hata topic za mbinguni na motoni unazijua kabla ya mwanzisha mada, mambo ya space usiseme!!!

Inawezekana kweli?
 
Mie sijui chochote, sijui hata kama sijui (chochote).

Mwanagenzi dawamu.

Licha yalo kudurusi kama mujilis tashrii.
 
Ivi wewe ni kitu gani ambacho hujui hapa duniani.

Make hata topic za mbinguni na motoni unazijua kabla ya mwanzisha mada, mambo ya space usiseme!!!

Inawezekana kweli?

huyu mchizi Kiranga huwa ananifurahisha sana anaweza akabishana jambo lolote lile na akashinda hata kama ni la uongo linaweza likaonekana la kweli kwa mfano anaweza akabishana havuti hewa na akashinda!
 
Last edited by a moderator:

Tatizo ni wewe unaposhindwa kuweka evidence ya ku yeye anavuta hewa na unakuja na majibu ya jumla jumla lazima akushinde. Ukiangalia hii thread mtoa mada anashindwa kuelewa kua watu hawabishi utoaji wa taarifa ila kinachobishiwa hapa ni kwenda kinyume na kutoa hizo taarifa, Ethics za kazi zipo na huyo lab tech amezivunja
 
Hapo kwenye majibu ya jumla umepiga ugoko mkuu.

Yaani unakuta mtu kaja na preconceived simplifications huko. Anaona "kutoa habari za kuhusu HIV/AIDS = kitu kizuri katika vita dhidi ya HIV/AIDS".

Ukianza kumueleza kuna taratibu na ethics anaona unamletea usiku.

Kupenda majibu rahisi kwa maswali mazito kunatuangamiza.
 
Halafu wakielimishwa wanaanza kuleta kashfa
 
Kiranga ni mbishi atakuwa wa mwisho wa reli nini coz wanaweza panda na mzigo kichwani kuanzia dar hadi kgm bado ajautua
 
Last edited by a moderator:
Kiranga ni mbishi atakuwa wa mwisho wa reli nini coz wanaweza panda na mzigo kichwani kuanzia dar hadi kgm bado ajautua

Mi wa mwisho wa reli, Mchafukoge ambapo hata marashi yote ya Arabia hayapasafishi.

This is bigger than Kiranga, if you think this is about Kiranga you are gravely mistaken.

Kiranga triumphs only through first principles.
 
Hii thread ilisababisha mods wakanipiga ban. sitachangia kitu tena huku . asanteni mods kwa ban yenu.
 
Kuna jamaa anafanya kazi kama lab technician. Kaniambia kuwa watu wanaokuja kupima damu % kubwa wana ngoma. Nikamwambia toa mfano.

Akaniambia leo kapima wadada wajawazito sita. Na wanne kati yao wana virus vya UKIMWI na umri wao ni kuanzia miaka 18-23.. So guys watch out. Na hao wadada wote wameolewa.

So jiulizeni mko wangapi? It really shocked me. Jamani tuache haya mambo tutaisha hasa kwenye ndoa huko mmmh!!! Haya

Ayaaa!! Sipimi ng'oo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom