Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Nahisi huyo ndugu yake atakuwa lab technician wa VETA coz wizara imechemka kwani kuna wengine wameajiriwa kwenye hospitali zetu, au anaweza kuwa lab tech wa magumashi!!

lab tech aliyeiva na ambaye amepitia medical system si rahisi kutoa siri za wagonjwa.

Tena ninavyofahamu akinamama wajawazito very rarely wanaenda maabara kucheck HIV satus, taratibu zinawataka wafanye rapid tests hapo hapo clinic, wanaiita comprehensive supermarket approach

Unasoma mtu kama huyu unaona kabisa huyu anafahamu taaluma ni nini na tatizo letu liko wapi.
 
Mkuu usitake kila mtu "akubaliane na wewe" eti it's shocking news b'se this is really irritating now,

-Ni mara ngapi watu wanapima wanaambiwa wana VVU, wakirudia several times wanaambiwa hawana? What if ni mmoja ya wale waliopimwa na huyo lab tech? Na ndio maana watu hushauriwa kabla na baada ya kupima! Kuna psychological torture mtu anapata kuanza kufikiria anao then baadae umwambie hana!..na ndio maana nchi nyingine unaweza kushtakiwa kwa haya!

-Kuna vitu vinachangia hiyo False positive,
Kutokana na vifaa(kama vimekwisha muda wake) ukibisha kajaribu kupima na vifaa vilivyo kwisha pita muda wake uje ulete majibu hapa!
So, yes TIQO is right...we should analyze from all angles...every angle.

Sijaelewa unachikipinga hapa... Nani kakataa mambo aliyoongea TIQO ..wote mmeongea point kila mtu kwa sehem yake..kumbuka mimi sijafanya research kwa sababu sio kazi yangu ndugu waathirika
 
Unasoma mtu kama huyu unaona kabisa huyu anafahamu taaluma ni nini na tatizo letu liko wapi.

Kiranga kuna point moja nyie mnashindwa kunielewa hapa.. na ndio maana mnaanza ku komplikate na kuanza attack za ajabu ajabu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu usitake kila mtu "akubaliane na wewe" eti it's shocking news b'se this is really irritating now,

-Ni mara ngapi watu wanapima wanaambiwa wana VVU, wakirudia several times wanaambiwa hawana? What if ni mmoja ya wale waliopimwa na huyo lab tech? Na ndio maana watu hushauriwa kabla na baada ya kupima! Kuna psychological torture mtu anapata kuanza kufikiria anao then baadae umwambie hana!..na ndio maana nchi nyingine unaweza kushtakiwa kwa haya!

-Kuna vitu vinachangia hiyo False positive,
Kutokana na vifaa(kama vimekwisha muda wake) ukibisha kajaribu kupima na vifaa vilivyo kwisha pita muda wake uje ulete majibu hapa!
So, yes TIQO is right...we should analyze from all angles...every angle.

I doubt this goon understands what a "false positive" is.
 
Wewe acha kumuiga Kiranga hamfanani.... Mimi nimeleta thread hapa JF sijakulazimisha uamini. Na unajua kabisa maana ya random inawezekana hiyo sehem aliyokuwa huyo lab tech result ndio hiyo ukaenda sehem nyingine ukakuta wote hawajaathirika. So whats is yor problem? Dont follower Kiranga hes hopeless

Mkuu Hebu nionyeshe "nilipomuiga"!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kiranga and his follower at work..ok guys sitawaweza mpo wengi ngoja mimi niingie barabarani kuendesha boda boda langu lakini miskomplikate mambo. And take it easy mimi nimeleta tu habari so mambo ya maadili mtajuana wenyewe huko na serikali yenu ndio ina makosa
 
No wonder you are all over the place, and you lack a common decorum.

Siku nyingine shikilia unalilijua, kuendesha bodaboda.

Na ukiingilia usiyoyajua, usifanye kichwa ngumu unapoelekezwa.

Utakosa mafundisho muhimu.
 
tatizo la hayo mambo ya ethic sio la ndugu yangu wala nani ni serikali na nyie na mavitambi yenu mliopo hapo Tanzania huku mmekaaofisini sasa kama hamsimamii na kuwaelekeza vitu vya kufanya na kuwafundisha jinsi ya kutunza siri zenu nani atawakumbusha? Kwa nini mnani attack? Mimi sijahusika hili bomu mmelitengeneza nyie wenyewe huko huko wizarani llimelipuka mnaanza kubana pua kama kina diamond hapa.
 
Tatizo watu wengi wako comfortable sana na simplification, na ukiwapa nuances zinazosababisha tuwe na professional ethics zinazokataza ku discuss kazi in this light wanakushangaa.

Ndiyo maana wanaona Lab Tech kuongelea mambo ya kazini kwake in the given light kuwa poa tu, after all si ana highlight tatizo? Hawajali methodology na implications given human nature.

Halafu hawahawa ndo kesho wepesi sana kupiga makelele ya ufisadi.
Kumbe hata kuvunja faragha za watu wanaoamini clinics na hospitali ni ufisadi pia.
Kiranga, kuna wakati zilitoka taarifa za kuwa katika damu zilizotolewa kwa njia ya msaada asilimia kadhaa ilikuwa na matatizo na zilimwaga. Kilichofuata ni kukauka kwa damu katika mahospitali hasa Muhimbi na kulazimu viongozi kukanusha habari hizo. Hata hivyo bado utoaji wa damu umekumbwa na vikwazo. Sijui kama implication kama hizi kwanini hatuzifikirii.

Kuna namna ya kutoa takwimu, kuna ethics n.k. ambavyo ni muhimu sana katika taaluma yoyote.

Hebu waulize, hivi wakiwa kijiweni akatokea Daktari na kuanza kueleza aina za matiti ya akina mama/dada zetu au maeneo mengine impression ya kwanza wanayoipata ni nini!

Kwa taarifa kama hii ni watu wangapi wanaoweza kuwakaribia majirani zao ambao ni Lab Tech hata kupima malaria au typhoid. Hapa ina maana imani imeshatoka na wanahisi hata sample ya malaria Lab tech anaweza kuifanyia kazi ili apate habari za mtaani! Pro wanatakiwa kuwa sehemu ya solution na si rumour mongers n.k
 
No wonder you are all over the place, and you lack a common decorum.

Siku nyingine shikilia unalilijua, kuendesha bodaboda.

Na ukiingilia usiyoyajua, usifanye kichwa ngumu unapoelekezwa.

Utakosa mafundisho muhimu.

Kwenda zako huko usijifanya unajua sana mimi nimeleta thread kama umenuna pasuka na hapa mimi najua kila kitu. So i see you like small objet negligible. Huwezi kunizuia mimi kusema ama kuwakilisha chochote hapa .
 
Kiranga, kuna wakati zilitoka taarifa za kuwa katika damu zilizotolewa kwa njia ya msaada asilimia kadhaa ilikuwa na matatizo na zilimwaga. Kilichofuata ni kukauka kwa damu katika mahospitali hasa Muhimbi na kulazimu viongozi kukanusha habari hizo. Hata hivyo bado utoaji wa damu umekumbwa na vikwazo. Sijui kama implication kama hizi kwanini hatuzifikirii.

Kuna namna ya kutoa takwimu, kuna ethics n.k. ambavyo ni muhimu sana katika taaluma yoyote.

Hebu waulize, hivi wakiwa kijiweni akatokea Daktari na kuanza kueleza aina za matiti ya akina mama/dada zetu au maeneo mengine impression ya kwanza wanayoipata ni nini!

Kwa taarifa kama hii ni watu wangapi wanaoweza kuwakaribia majirani zao ambao ni Lab Tech hata kupima malaria au typhoid. Hapa ina maana imani imeshatoka na wanahisi hata sample ya malaria Lab tech anaweza kuifanyia kazi ili apate habari za mtaani! Pro wanatakiwa kuwa sehemu ya solution na si rumour mongers n.k
tatizo wameli create wao wenyewe na wala mimi sihusiki so inabidi wizara na wanaojijua huko wenye kufundisha maadili wajue jinsi ya kufanya
 
  • Thanks
Reactions: EMT
No wonder you are all over the place, and you lack a common decorum.

Siku nyingine shikilia unalilijua, kuendesha bodaboda.

Na ukiingilia usiyoyajua, usifanye kichwa ngumu unapoelekezwa.

Utakosa mafundisho muhimu.

Hahahhaha nlijua tu wewe /nyi watoto wa mafisadi mnapenda sana kuona wengine hawana kazi nzuri ama wanafanya kazi ngumu no wonder umefurahi ulivyoona kuwa mimi naendesha boda boda. Hahah .... Hakuan cha boda boda hapa wala bajaji
 
Politics... So unataka kuniambia hakuna ukimwi? Elewa concept yangu wewe daktari uliyeiba mitihani ya o levle na a level... Poni yangu sio kuhusu mama wajawazito tu. Mimi nataka wananchi kujua yale ambayo mnayaficha na kuyakalia

Hahahahha!! Dah hongera sana kwa kujua kuwa nimeiba mitihani na pia mi ni daktari!!Hopefully mi ni mjanja
 
Anamjua Black Bat ni kiwembe kwa vibinti, ili kumbadilisha ndio maana kampa hiyo taarifa. Lab Tech naamini hakutaja majina ya wagonjwa hadharani hence hana kosa

Definetly hajataja jina la mtu na wala hajaniambia sehem anayofanya kazi /kituo chake so naona hawa wanasiasa wamepaniki wanajijua na wanajua sehem walizopita sio so wanayo haki ya kupaniki
 
Walioweka confidentiality si wajinga.

Kitendo chako wewe kuja JF kusema mnaongea na nduguyo Lab Techcician kuhusu afya za watu tayari kinaondoa confidence miongoni mwa watu kwamba habari zao zinawekwa kwa faragha inayotakiwa.

Wengine watasema umesema tu kwamba hajataja majina kwa sababu kusema kataja majina ni soo, ila majina kataja, na wao wataogopa kwenda kupima.

Kukataa kwao kwenda kupima kutaongeza maambukizi.

Unaposema "tutaangamia wote" kwa simplistic approach ya kufikiri kuvunja faragha ndiyo jibu, unaweza kujikuta unapalilia kuangamia wote kwa sababu ya kuondoa imani ya watu juu ya uwezo wa system ku keep mambo ya afya zao confidential.

sababu wazungu waliweka hio confidentiality ndo umeona ushikilie hapo hapo.
Ukweli ni kwamba pamoja na vipimo vya ukimwi kutoaminika sana.idadi ya wagonjwa wa hii gonjwa ni kubwa sana.vipimo haviaminiki waweza ukawa negative vikakupa majibu ya positive ama kinyume chake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom