Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

haki ya nani bora wamejitokeza wanaoniunga mkono manake nilishangaa sana nikajua kuwa watanzania wame under go evolution nini.. Sema basi imani imerudi kumbe wenye akili na wenye uwezo wa kuchanganua mambo bado wapo japo hawapewi nafasi
 
We umejuaje lab tech sio mleta thread?

Unajuaje pengine alijua maadili na viapo haviruhusu akaja na gia hiyo, lawama za nini?

Nimejua kwa kuwa mwanzoni mwa thread alisema "ana ndugu yake ambaye ni Lab Tech. na ndiye aliyemueleza" Hukusoma haya??

Kujibu swali lako, ninajua cyuoni wanafundishwa njia mvali mbali za kufikisha ujumbe in a less HARSH, INTIMIDATING, and other ways might be incorrect, na hii haikuwa njia moja wapo, mkuu.
 
nasikitika sana kwa hao watto wanaozaliwa na hayo mazingira ya ukimwi.

Hata mimi nasikitika ila cha kujifunza hapa ni kwamba tusifanye ngono zembe halafu mkitaka kuoana nendeni kwanza mkapime afya zenu.
 
Nimejua kwa kuwa mwanzoni mwa thread alisema "ana ndugu yake ambaye ni Lab Tech. na ndiye aliyemueleza" Hukusoma haya??

Kujibu swali lako, ninajua cyuoni wanafundishwa njia mvali mbali za kufikisha ujumbe in a less HARSH, INTIMIDATING, and other ways might be incorrect, na hii haikuwa njia moja wapo, mkuu.

Hapo ndo alipotumia ethic yake.
 
Ni kweli nivea na sasa hivi hakuna kitu cha kuficha tukificha wote tutaangamia
vitu hivi lazima viwepo ili dunia izunguke kwenye mhimili wake,sitaki kusikia maana huwa nasikitika sana kuona mtoto mdogo ana ukimwi najikuta nalia sana maana taama za wazazi zimezima nyota za watoto wengi
 
Nimejua kwa kuwa mwanzoni mwa thread alisema "ana ndugu yake ambaye ni Lab Tech. na ndiye aliyemueleza" Hukusoma haya??

Kujibu swali lako, ninajua cyuoni wanafundishwa njia mvali mbali za kufikisha ujumbe in a less HARSH, INTIMIDATING, and other ways might be incorrect, na hii haikuwa njia moja wapo, mkuu.

Si bure labda kama kuna ndugu yako ambaye katoka kupima siku za karibuni hlafu una wasi wasi.. Siona kwa nn unashindwa kuelewa concept ya thread yangu.
 
vitu hivi lazima viwepo ili dunia izunguke kwenye mhimili wake,sitaki kusikia maana huwa nasikitika sana kuona mtoto mdogo ana ukimwi najikuta nalia sana maana taama za wazazi zimezima nyota za watoto wengi

Siku hizi kama mama ana ukimwi akiwahi hospitala mttoto anazaliwa bila kuathirika i mean anazaliwa akiwa mzima kabisa
 
Ok . Basi kumbe tatizo ni lenu nyie madaktari hapo nakubaliana na nyie ila ujumbe umeshawafikia walenga na makosa ni yenu mmeweka mitumbo yenu huko wizarani na mnashindwa kuwafundisha madaktari jinsi ya ku behave.

Na hiyo ndiyo tunayoisema, sasa sijui una uhakika gani "tunaweka mitumbo yetu wizarani"..punguza hasira na maneno ya ajabu ajabu,mkuu ukiongea kwa point (just Points) sounds mature than the offensive way.


Ok . Mimi wakinihadithia tena naipeleka kwenye jamii.

Ni vizuri, kujua kuwa UMEKUBALI na UMEELEWA kuwa kuna makosa katika hili, lakini ingawaje hii bado utafanya vile vile(kurudia makosa) ..now that lies in you, and i cant change it if you decide so i say Goodluck with that.
 
Hapo ndo alipotumia ethic yake.

Hahaha mkuu labda hukupitia maelezo ya mwanzoni,

JUST BECAUDE IT IS DONE SO, haimaanishi ndivyo inapaswa kuwa!!

-it is beyond kuelezea..unamueleza nani, kwanini, wakati gani, unamuelezaje vinapaswa kufuatwa...lakini katika one of the comments za Mkuu Black Bat, alisema vilikuwa ignored!!
 
Walioweka confidentiality si wajinga.

Kitendo chako wewe kuja JF kusema mnaongea na nduguyo Lab Techcician kuhusu afya za watu tayari kinaondoa confidence miongoni mwa watu kwamba habari zao zinawekwa kwa faragha inayotakiwa.

Wengine watasema umesema tu kwamba hajataja majina kwa sababu kusema kataja majina ni soo, ila majina kataja, na wao wataogopa kwenda kupima.

Kukataa kwao kwenda kupima kutaongeza maambukizi.

Unaposema "tutaangamia wote" kwa simplistic approach ya kufikiri kuvunja faragha ndiyo jibu, unaweza kujikuta unapalilia kuangamia wote kwa sababu ya kuondoa imani ya watu juu ya uwezo wa system ku keep mambo ya afya zao confidential.
OFFENCES AND PENALTIES: SHERIA YA UKIMWI NA VIRUSI VYA UKIMWI TANZANIA 2008: Any health practioner or any person referred under this section 16 and 17 who-
a) breaches medical confidentiality; or
b)unlawfully discloses information regarding HIV and AIDS status of any person,
Commits an offence, and onconviction shall be liable to a fine of not less than 500,000/= Tshs and not exceeding 1,000,000/= Tshs OR imprisonment for a term not less than six months and not exceeding twelve months or both.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
badala ya kudiscuss hoja, kuwa the rate of infection is very high and scery, mnaleta za kujua na kuanza ku-argue about confidentiality! kazi ipo! reality ni kwamba watu TUJIRUDI NA KUACHA KUZINI! period!
 
Siku hizi kama mama ana ukimwi akiwahi hospitala mttoto anazaliwa bila kuathirika i mean anazaliwa akiwa mzima kabisa
acha kabisa ndugu hivi hujui kuna watu wanajifungulia nyumbani mpaka leo hasa vijijini?na ukitaka kujua hili ni pigo lililotoka kwa mungu huwa nawaza is it possible mtoto azaliwe mzima yaani ni mungu tu jamani ndio sababu nampenda sana huyu mungu wangu.
 
OFFENCES AND PENALTIES: SHERIA YA UKIMWI NA VIRUSI VYA UKIMWI TANZANIA 2008: Any health practioner or any person referred under this section 16 and 17 who-
a) breaches medical confidentiality; or
b)unlawfully discloses information regarding HIV and AIDS status of any person,
Commits an offence, and onconviction shall be liable to a fine of not less than 500,000/= Tshs and not exceeding 1,000,000/= Tshs OR imprisonment for a term not less than six months and not exceeding twelve months or both.

Hali ya Sasa ya VVU/UKIMWI
[TABLE="class: contentpaneopen, width: 1184"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Hali ya Sasa ya VVU/UKIMWI[/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen, width: 1184"]
[TR]
[TD]Hali ya UKIMWI Nchini

Utafiri wa kiashirio cha VVU/UKIMWI na malaria Tanzania 2007-2008 umejuisha kwa kupima zaidi ya wanawake na wanaume 15,000. Kwa mujibu wa utafiti huo asilimia 5.7 ya watanzania wenye umri wa miaka 15-49 wanamaambukizo ya VVU/UKIMWI.

Maambukizo ya VVU/UKIMWI ni ya kiwango cha juu miongoni mwa wanawake kuliko wanaume katika maeneo ya mijini na vijijini. Wakazi wa mijini ni mara mbili zaidi ya wakazi wa vijijini.

Wanawake wanaambukizwa mapema zaidi kuliko wanaume. Kwa wanawake maambukizo yanaongezeka na umri mpaka inafikia umri wa miaka 30-34 (16.4%). Maambukizo ya kiwango cha juu kwa wanaume yanatokea kati ya miaka 35-39 (10.6%).

Maambukizo ya VVU/UKIMWI Tanzania yamepungua katika miaka ya hivi karibuni. Kiwango cha hivi karibuni cha maambukizo ya VVU/UKIMWI ni 5.7% ambapo 6.6% ni wanawake na 4.6.% ni wanaume. Kwa kulinganisha na utafiti wa kiashirio cha VVU/UKIMWI Tanzania mwaka 2003-2004 (THIS) umebaini maambukizo ya jumla ya VVU/UKIMWI kuwa ni 7%, huku wanawake ikawa 7.7% (6,000) waliopimwa na wanaume 6.3% (4,900) waliopimwa. Matokeo haya yanaonesha kitakimu kushuka kwa maambukizo ya VVU/UKIMWI miongoni mwa wanaume lakini si kwa wanawake.

Maambukizo ya VVU/UKIMWI ni ya juu zaidi katika mkoa wa Iringa (16%), Dar es Salaa na Morogoro (9%) kila mkoa. Kiwango cha maambukizo ni cha chini zaidi Zanzibar ambayo ni chini ya (1%).

Nchini Tanzania maambukizo ya UKIMWI ni ya chini zaidi miongoni mwa wanawake na wanaume wenye elimu ya sekondari au elimu ya juu.

Kwa wanawake na wanaume viwango vya maambukizo ni vya juu zaidi miongoni mwa wajane au walio talikiwa (walioachwa) kuliko wajane au wasio oa au kuolewa au walio oana hivi karibuni. Kati ya wanawake wajane wanne, mmoja ana virusi.

Maambukizo ya VVU/UKIMWI ni ya kiwango cha juu zaidi ni miongoni mwa wanawake na wanaume kwenye kaya zenye kipato kikubwa. Maambukizo ya VVU/UIKIMWI huongezeka kadri ya idadi ya wenza wa ngono inavyoongezeka. Wanawake wenye zaidi ya wenza 10 au zaidi wa ngono wanauwezekano wa mara 7 zaidi wa kuambukizwa VVU/UKIMWI kuliko wanawake wenye mwenza mmoja wa ngono.


Visababishi vya VVU/UKIMWI
Mwenendo na vibainishi vya janga la UKIMWI nchini ni vingi na vinaongozwa na uhusiano wa kingono wa watu wa vipengele vingi vya kijamii, kiutamaduni na kiuchumi. Kwa ujumla, vibainishi vya janga la UKIMWI nchini huenda visitofautiane sana na vile vya sehemu nyingine za Afrika zenye maambukizo ya UKIMWI yaliyoenea nchi nzima. Miongoni mwa vipengele muhimu ni pamoja na vifuatavyo:
  • Uasherati
  • Matumizi madogo na yasiyo endelevu ya kondomu
  • Ngono za marika yanayotofautiana sana
  • Kuwa na wapenzi wengi.
  • Ukosefu wa elimu ya maambukizo ya UKIMWI
  • Kuwepo kwa maradhi mengi ya ngono kama vile tutuko, homa,
  • Jando kwa wanaume
Sababu za mahali husika, za kushamiri kwa janga nchini ni:
  • Umaskini na biashara ya ngono pamoja na ongezeko la wafanyabiashara wa ngono
  • Tabia mbaya za ngono za wanaume kutokana na kuruhusiwa kimila kuwa na nguvu
  • Kukosekana usawa wa kijamii, kiuchumi, kisiasa na kijinsia pamoja na unyanyaswaji wa wanawake na wasichana walio ndani na nje ya mahusiano.
  • Matumizi ya pombe na dawa za kulevya.
  • Tabia za kimila (kama vile utakasaji wajane na jando na unyago)
  • Safari za aina zote zinazosababisha kuwa mbali kwa wanandoa na ongezeko la mahawara
  • Kutokutahiriwa
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

HIZO TAKWIMU ZIMEPATIKANAJE.

KAM ISHU NI KUWEKA PUBLIC, NA MUANZISHA MADA SI AMEWEKA DUNIA NZIMA IONE TAKWIMU ZA KITUO KIMOJA?
 
Kaka jambazi ume wa spin kweli ndugu yangu. Asante sana kwa sababu hawa jamaa wabishi sana bora uwape elimu.
 
Last edited by a moderator:
Nimekujaje fastaaa! Mada kama hizi nazikwepaga kwepaga! Mambo haya ukifikiria sana utakuwa HUTOKI NJE YA NYUMBA!!! Na hivi huwezi kumjua kwa KUMTIZAMA!!!!!! Eee Mola Utusaidie!

AAAAH!Lara 1.leo umeongea kama sterling sio kubwa la maadui!nimekukubali
 
Wewe huwezi kuelewa haya mambo kwa sababu maisha yako yote hujawahi hata kufanya interview kufanya kazi katika mazingira yanayotaka ku uphold any hint of a meaningful professional ethics.

I doubt you even have a profession.

Ndio maana unakumbatia simplification.

Halafu kesho mtalalamika "Wakenya wanachukua kazi kwetu"

Tatizo la waathirika kama nyie mna dharau na ubishi usio na mwisho.La pili threat ya kifo inawatoa akili mnapenda watu wote mfanane nanyi.UKIMWI UPO NA UNAUA HATA UKIBISHA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom