Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

Mkuu wangu asante sana bora uwaeleze hawa jamaa manake walinishambulia sana sema mimi nilikataa ku give up hadi wote wamekimbia
ukiamini kitu na ukahakikisha kina ukweli simama hata wakitishia kukukata shingo,tatizo wengi ni wanafiki na wengine wanataka iwe siri ili waeneze makusudi kulipa visasi na kukomoa wengine hili nalo ni tatizo lingine la ufichifichi.
 
Philip is serios and not joke at all. Haiwezekani wewe unyamaze usiambie ndugu zako ama wananchi wako usiwape takwim za hili gonjwa . Lazima kuna sababu either wameathirika etc.
kkweli kabisa mimi nampenda mwanamke fulani halafu wakati namvizia nimtokee anatokea jamaa ambae ni muhudumu wa afya aliyewahi kumpima huyo demu na kumkuta anao,bila kujali uhusiano wangu na huyo muhudumu akanihurumia na kunitonya.we huoni hii imeniokoa hivyo uwazi ungeongezeka wala ukimwi usingekuwa na nguvu hivi.ukweli ni mzuri japo unauma.
 
ukiamini kitu na ukahakikisha kina ukweli simama hata wakitishia kukukata shingo,tatizo wengi ni wanafiki na wengine wanataka iwe siri ili waeneze makusudi kulipa visasi na kukomoa wengine hili nalo ni tatizo lingine la ufichifichi.

Huyu mtoto wa makamba(kiranga) nlimchana live hapa sasa hivi kakimbia akawa ananidanganya eti yupo tokyo..nikamtajia eneo moja la tokyo na kumpigia maneno mawili matatu ya kijapan akakimbia. Eti anadai hoja zangu haziendani na mtu ambaye ameshafika japaN nikaona huyu keshaishiwa hoja akaanza kukopi maneno magumu huko google na kuyatupia hapa nkajua huyu tayari .. Now i dont see him here but he will come with his childish concept Wana lao jambo halafu usishangae hawa ndio walioshikilia madaraka na ndio watunga sheria ..... Definetly ndugu yangu hatutofika
 
Mkuu nyumba kubwa, utakuwa umenielewa vibaya,

Kujibu swali, lako ndiyo utapata takwimu zote unazohitaji ili mradi tu, umezingatia hizo ethics..na hata katika research si ndiyo kuna ethical clearance mkuu??

TUTAKUWA ni wananchi wa ajabu kukataa kuongelea UKIMWI na ni kila leo watu wanapoteza maisha(watoto kwa watu wazima).

TAKWIMU:
Takwimu zinatoka kila leo, na mfano mzuri ni ule aliotoa Mkuu KakaJambazi.

Sasa nilichokisema katika comment ni kwamba, hata takwimu hizi huwekwa kwa njia fulani(kama kwa mwaka fulani..mkoa fulani .nk)

LAKINI,

Katika mfano aliotoa Black bat, ni kuwa katika kituo fulani idadi ya wajawazito 6 waliopima wana UKIMWI, ndiyo nikasema

Inawezekana kwa mtu yule anayemfahamu nduguye Black bat, au hicho kituo na kulingana na maelezo kuwa asilimia kubwa ya walioenda kupima siku hiyo 4 kati ya 6 wana UKIMWI.

Je,hakuna uwezekano wa mtu kutambua ni nani mwenye UKIMWI katika idadi ndogo hiyo(hata kama hana)?

-Katika sehemu zenye wakazi wachache, ni ngumu watu kupima kwasababu tu "takwimu" kama hiyo ikitoka wanatambua ni nani alikwenda kupima, na wengine kuogopa kupima si kwa kuhofia UKIMWI, ila kwa kuhofia atajulikana,kwani ndiyo matarajio yao makubwa!

-Lakini mkuu, kumbuka huwa tunapima zaidi ya mara moja kwa sababu kadhaa, wakati mwingine utasikia "alipima akaambiwa hana ingawa mwanzoni aliambiwa anao"..na hapo katika jamii yetu unyanyapaa ukishika kasi.

Hivyo SIJAPINGANA na SITAPINGANA kabisa na mkuu Black bat katika kuongelea swala hili, lakini hata yeye nafahamu alikubali kuna maadili yanapaswa kufuatwa.

LENGO LA THREAD:
Kulingana na maelezo ya mwanzisha uzi, alidhamiria tuone na tujikumbushe kuwa UKIMWI upo na nizaidi ya tunavyofikiri, na NINAKUBALIANA naye...mengine kama ethics yalikuwa ni kukumbushana TU.
 
hippocratessocrates wewe ndugu yangu naona sasa tumeanza kuelewana. Usiwe una mu worship Kiranga ana laana yupo haamini if God exist

Nilikuwa nashindwa kuelewa unachoshindwa kuelewa ni nini kwasababu tuliongea kitu KILE KILE!!

lakini BADO nina shangaa unaposema ninam-worship mkuu Kiranga!! Nilipokuuliza how? hutaki kusema sasa sijui ni kwa nini bado unang'ang'ania hii kitu?

Besides nilikuwa wa kwanza katika kucomment katika thread yako kabla ya huyo Kiranga, and i specifically concluded my stand on the topic(MWANZONI KABISA)...kama hukumbuki tazama the first comment of your this thread mistari mitatu ya mwisho ya comment yangu!!

Hayo ya Kiranga na wewe, naomba muendelee wenyewe mkuu, TAFADHALI.
 
Last edited by a moderator:
Kuna jamaa anafanya kazi kama lab technician. Kaniambia kuwa watu wanaokuja kupima damu % kubwa wana ngoma. Nikamwambia toa mfano.

Akaniambia leo kapima wadada wajawazito sita. Na wanne kati yao wana virus vya UKIMWI na umri wao ni kuanzia miaka 18-23.. So guys watch out. Na hao wadada wote wameolewa.

So jiulizeni mko wangapi? It really shocked me. Jamani tuache haya mambo tutaisha hasa kwenye ndoa huko mmmh!!! Haya

huyo lab tech.Iko toa siri ya gonjwa wake?
 
Nilikuwa nashindwa kuelewa unachoshindwa kuelewa ni nini kwasababu tuliongea kitu KILE KILE!!

lakini BADO nina shangaa unaposema ninam-worship mkuu Kiranga!! Nilipokuuliza how? hutaki kusema sasa sijui ni kwa nini bado unang'ang'ania hii kitu?

Besides nilikuwa wa kwanza katika kucomment katika thread yako kabla ya huyo Kiranga, and i specifically concluded my stand on the topic(MWANZONI KABISA)...kama hukumbuki tazama the first comment of your this thread mistari mitatu ya mwisho ya comment yangu!!

Hayo ya Kiranga na wewe, naomba muendelee wenyewe mkuu, TAFADHALI.

Nimekuelewa DR.
 
Kuna jamaa anafanya kazi kama lab technician. Kaniambia kuwa watu wanaokuja kupima damu % kubwa wana ngoma. Nikamwambia toa mfano.

Akaniambia leo kapima wadada wajawazito sita. Na wanne kati yao wana virus vya UKIMWI na umri wao ni kuanzia miaka 18-23.. So guys watch out. Na hao wadada wote wameolewa.

So jiulizeni mko wangapi? It really shocked me. Jamani tuache haya mambo tutaisha hasa kwenye ndoa huko mmmh!!! Haya

Bora umetukumbusha manake mtu akikubaliwa mchezo basi anajisifu hasa wanaume,,anajiona kudume kumbe ndo tunajikomoa..
 
Hajavunja rule of confidentiality! Haja-identify the person identity hapo! Hiyo ni kama statistical data tu... Otherwise, hali ni mbaya hasa kwa walio kwenye ndoa. Na kundi la umri kati ya 15 - 45 is the leading.

Juu hapo nimeonyesha kwamba kuvunja confidentiality si lazima kutaja jina.

Akishasema tu kwamba watu waliokuja kwenye kliniki yetu leo kati ya 6 wanne wana HIV, tayari kashatoa probability ya yeyote anayejulikana kuwa alienda siku hiyo kuwa na HIV. Hilo moja.

Pili, kwa wanaojua maadili ya kazi, kuzungumzia tu habari za ndani ya ofisi yako zinazohusu wagonjwa, hata kama ni kwa statistics tu, ni kuvunja maadili. Ndio maana wenzetu walioendelea kabla hawajatumia data zako katika statistics hata za kitaifa, kunakuwa na full disclosure kwamba data zako zitatumika katika national statistics, una opt in. Kama hutaki unaanza. Sasa I am sure Lab Technician hakupata ruhusa ya ofisi wala wagonjwa kutoa statistics za kituo cha kazi na zao wagonjwa.
 
Huyu mtoto wa makamba(kiranga) nlimchana live hapa sasa hivi kakimbia akawa ananidanganya eti yupo tokyo..nikamtajia eneo moja la tokyo na kumpigia maneno mawili matatu ya kijapan akakimbia. Eti anadai hoja zangu haziendani na mtu ambaye ameshafika japaN nikaona huyu keshaishiwa hoja akaanza kukopi maneno magumu huko google na kuyatupia hapa nkajua huyu tayari .. Now i dont see him here but he will come with his childish concept Wana lao jambo halafu usishangae hawa ndio walioshikilia madaraka na ndio watunga sheria ..... Definetly ndugu yangu hatutofika

halafu sijaona alipokosea huyo technician katoa takwimu na sio majina hili ni janga usiri unatuangamiza
 
sijaleta hii thread ili mfurahi nimeileta ili mjue hali halisi ..mjue siri ambazo madaktari wanazikazlia na hii ndio maana ya JF hii ni forum msifikiri kuwa kila siku mtaamka na kuja kusoma taarifa za kuwafurahisha hapa na za kina wema sepetu na diamond

Black Bat, wengi humu wamepata shock ya mwaka. hiyo ni sawa na 67%. wamezoea kupata statistics za 1% au 2% baaaaasi!!!
Ningeomba uwaridhishe tu kwa kuwaambia ulikuwa unatania tu.

kweli nimeamini wengi wetu tunavaa condom kidoleni.
 
Hahahaha
Kimbia kabisa

Nimekujaje fastaaa! Mada kama hizi nazikwepaga kwepaga! Mambo haya ukifikiria sana utakuwa HUTOKI NJE YA NYUMBA!!! Na hivi huwezi kumjua kwa KUMTIZAMA!!!!!! Eee Mola Utusaidie!
 
Kwa takwimu hizo ni hatari sana ni bora kujiadhari sana!

Ni vyema tukajadili takwimu n mustakabali wa afya zetu!

Hakuna kosa lolote hapo la kimaadili.
Kusema watu6 kati ya 20 wameathirika? Hii ina fanyika kila leo tena hizi takwimu wakati mwingine zina taja hata jina la kituo!
 
halafu sijaona alipokosea huyo technician katoa takwimu na sio majina hili ni janga usiri unatuangamiza

Takwimu zina ethics zake, habari ya kuchukua data za wagonjwa kazini na kwenda kui discuss nyumbani haijafikia kiwango cha kuitwa takwimu kwa sababu takwimu zina methodology yake mpaka kuitwa takwimu.

Huu ni uvunjaji wa maadili ya kazi tu.

Kuna mtu alisema hapa siku hizi madaktari hata bar utawasikia wanaropoka kuhusu wagonjwa wao. Ndio haya haya.

Mie nishasema mwanzo zitolewe takwimu formally kwa watu wote, kwa sababu wengine tunaweza kusema hapa hata kama hizi data ni za kweli Lab tech kakosa fairness, kwa nini awapendelee ndugu zake kuwapa habari hii nyeti na asiiweke wazi kwa watu wote?

Kama angekuwa anafanya kazi katika financial industry kwa watu wanaofuata sheria angeweza kupata kesi ya insider trading.

Ndo maana kuna profesional ethics na njia za kutoa takwimu. Nimeongelea kuhusu consent hapo juu. I doubt you appreciate that.
 
Mkuu Black Bat, think you mean Lab Technician,

Duh?! Sidhani kama ni sahihi sana yeye(ndugu yako/Lab Technician) kukueleza matatizo ya clients wake, inapunguza usiri(confidentiality),

Pili inawezekana isiwe sahihi sana(False positive results) hutokea, na hovyo kuhitajika kupima tena.

Mkuu mbona wasema, "JIULIZENI mko wangapi?" Hii kitu yetu sote!!

ILA ukweli utabaki pale pale mkuu, tujihadhari(ambao hatujapata) ili tusiambukizwe, na wenye VVU kuzingatia ushauri na tiba.

binafsi sadhani km amekosea, alichokifanya mwanzisha thread ametoa takwimu tu km ambavyo ANGAZA au taasisi nyingine km TACAIDS ambavyo wangetoa takwimu zao....
 
Black Bat, wengi humu wamepata shock ya mwaka. hiyo ni sawa na 67%. wamezoea kupata statistics za 1% au 2% baaaaasi!!!
Ningeomba uwaridhishe tu kwa kuwaambia ulikuwa unatania tu.

kweli nimeamini wengi wetu tunavaa condom kidoleni.

Sio siku moja tu ni daily na kuna siku anasema walipima mtu mmoja tu ndiye akawa hajaathirika.
 
binafsi sadhani km amekosea, alichokifanya mwanzisha thread ametoa takwimu tu km ambavyo ANGAZA au taasisi nyingine km TACAIDS ambavyo wangetoa takwimu zao....

Tofauti ya takwimu rasmi na huyu Lab Technician ni zifuatazo.

Takwimu rasmi zinapata baraka za wahusika ikiwa ni pamoja na waathirika kutumika kwa umma. Huyu Lab Tech hakupata baraka ya kutumia habari za kazini kwenye stories za dinner table.

Takwimu rasmi zinatolewa kwa umma. Huyu Lab Technician katoa habari kwa ndugu yake tu.

Takwimu rasmi zinapitiwa maradufu kuhakikisha ubora umefikiwa, mambo ya margin of error na sample space yameangaliwa, false positives zimekuwa verified etc. Huyu Lab Tech anaweza kupima watu sita akaona wanne wako positives na ku conclude rate ni 66% kwa population, kumbe kaanza na high risk sample space halafu ana false positives mbili, the actual percentage is closer to 6.6 than 66!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom