hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,545
Attack yenu ya ajabu sana.
Attack yetu??! mimi na nani??
Ulisoma comment za mwanzoni? pamoja na yote hiyo sikutoka nje ya mada..na ku_conclude pamoja na hayo yote bado issue ni UKIMWI na maambikizi yake sasa sijui unaposema attack una maana gani mkuu! then attack hiyo ili iweje?!