Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

we jamaa nikatili sana kwa maneno yako hayo wewe unawez kuuwa kabisa.mi nkijua mtu flan ana matatizo lazma nimwambie ndugu yangu akiweka kichwa ngumu atajijua mwenyewe.ulaya TB tu unawekwa chumba special.

Katili inaweza kuwa na tafsiri nyingi.

Tafsiri moja ni "cutthroat". And with the facts I tend towards cutthroat.

Nashukuru umejua weakness ya human nature.

Hii weakness ndiyo iliyosababisha wenye kuona mbali wakaweka professional code of conduct na ethics. Elimu hiyo.

Lakini wengine fate yao hata kuhesabu kete za bao ni tabu tu, ukiwaambia habari zenye depth zaidi unawachanganya tu.
 
we jamaa nikatili sana kwa maneno yako hayo wewe unawez kuuwa kabisa.mi nkijua mtu flan ana matatizo lazma nimwambie ndugu yangu akiweka kichwa ngumu atajijua mwenyewe.ulaya TB tu unawekwa chumba special.

Huyu ni kiongozi mkubwa tu ndani ya ccm angalia post za nyuma nimeshampa makavu.. He need to grow up
 
Siku hz watu wanakufa kwa ngoma lakini utasiki ndugu yetu alikuwa na TB,mara limonia sijui maleria ohh kansa ya damu kumbe jamaa alikuwa na UKIMWI unakuta ndugu waliokuwa wakimuhudumia awakuwa wanachukua taadhari baada ya mda na wenyewe wanadevelop dalil za ukimwi. Ukiwa na Kiranga lazma akupelekee moto awez kubal kuwa alone
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni kiongozi mkubwa tu ndani ya ccm angalia post za nyuma nimeshampa makavu.. He need to grow up

Mie hata nikiona choo kimeandikwa "CCM" na hakuna kingine niko radhi kusepa majiani kuliko kuingia choo cha CCM.

Get your facts right.

Yeyote anayenifuatilia atajua hilo.

Tatizo mmekuja na mbio za Mwenge JF.
 
Nakuomba usome thread kabla ya kuuliza maswali yaliyokwishajibiwa, hili swali nishalijibu mwanzo kabisa wa thread.

Nikasema wazi kwamba tunachotakiwa kufanya ni kutoa takwimu za UKIMWI kwa watu wote na kuondoa haja ya Lab Technicians kutoa takwimu za ki quack kwa ndugu zao.

Kabla ya kuuliza soma.

Sasa mtu atoe takwimu kwa dunia nzima ijue, kivipi wakati lile swala labda lilitokea kwenye mazungumzo yao, na pengine lab tech alikua kama vile anampa tahadhari ndugu yake baada ya kujua mwenendo wake?

Huoni kama lab tech amemwokoa ndugu yake? what if ndugu yake alikua malaya? je ataendelea na tabia hiyo? wakati kwake news hiyo imemshock?

What if ndugu yake alimdanganywa ili kumtahadharisha? Huoni ujembe wa lab tech?

Ethics gani unazoziongelea wewe wakati hakumtajia majina mfano mama flani na flani?
 
bwa ha ha ha ha !!! wewe muongo sana kama kweli ungehuwa hapa tokyo ungesema watu tupo ma tokyo huku na usingesema watu tupo matokyo huko.... You see mheshimiwa kuwa ukiamua kudanganya kitu ama ku hide kitu better to be carefully.
Eti tokyo kama kweli wewe upo tokyo nitafute nafanya kazi hapa Roppongi Hills Hillside 2F 6-10-1 Roppongi Minato-ku.. kama upo serious but najua huwezi kuja kwani najua upo Dsm hapo sasa hivi na upo ofisini . Mh naibu jogoo atawika mara tatu shauri yako.

inamaana lab technician wa huko Tokyo ndio alie kueleza kuhusiana na hao watu walioathirika, basi ndio kama ndio hivyo basi watu wa Tanzania tuko safi mi nilidhani ni Tanzania kumbe ni Tokyo!
 
Nakuomba usome thread kabla ya kuuliza maswali yaliyokwishajibiwa, hili swali nishalijibu mwanzo kabisa wa thread.

Nikasema wazi kwamba tunachotakiwa kufanya ni kutoa takwimu za UKIMWI kwa watu wote na kuondoa haja ya Lab Technicians kutoa takwimu za ki quack kwa ndugu zao.

Kabla ya kuuliza soma.

Heeee .. Wtf! What wrong with this guy? Sasa kuna tofauti gani? Kwani hao wanao kusanya hizo takwim wanaanzia wapi? So sad kweli nchi yetu inaongozwa na vilaza... Who gave you our office? To write bombastic words doesnt imply that you are genius it rather imply your ignorance na ushamba
 
inamaana lab technician wa huko Tokyo ndio alie kueleza kuhusiana na hao watu walioathirika, basi ndio kama ndio hivyo basi watu wa Tanzania tuko safi mi nilidhani ni Tanzania kumbe ni Tokyo!

Ha ha ha ha another stressed guy... Kwani wewe ukiwa nje ya nchi huwezi kuwasiliana na watu walioko Tanzania? Hapo nlikuwa nataka na nadhihirisha kuwa january hayupo tokyo yuko hapo hapo dsm si unaona kakimbia . Hahaha alikosea sana anajifanya anataja mji kumbe na mimi nipo hapa hapa. Wht a shame hata kudanganya hawezi.
Note: simama na miguu yako usiwe Kiranga follower
 
Last edited by a moderator:
ndugu yako anajua maadili ya kazi yake?

Confidentiallity iko wapi?

Anyway na yeye mwenyewe kajipima au anajua kubwabwaja ya wenzie tu?Maadili ya kazi hakuna kabisa siku hizi

Hiyo ni general information,na sio siri kabisa,ndio maana hata watafiti wakifika mahospitalini huwa wanaambiwa maambukizo ya ugonjwa flani ni kwa asilimia kadhaa,sasa wasiposema kwa ujumla tutajuaje pa kukazania kupiga kelele zaidi!na mwingine bila kupata taarifa kama hizi hatabadilika akijua issue sio kubwa,chezea watu wazima wewe,kuwaongoza ni kazi.Big up Mr technician na Black Bat kwa taarifa,na ni kweli sio uongo maana na mimi nilishafanya reserch ya hiyo kitu.
 
Mleta mada hakutajiwa majina ya waathirika na Lab Tech, sasa inakuaje ethics zimevunjwa?

Sasa hilo ndilo swali lakujadili, ingawa likishajibiwa katika comment zilizopita.

Mkuu KakaJambazi, USIRI wa mgonjwa hauishii katika "jina"..it is beyond that,
-ugonjwa wenyewe,
-unamweleza nani kuhusu ugonjwa,
-kwa nini unamueleza
-kwa njia gani unaweleza.
-ruhusa ya mgonjwa n.k

BAINA WATUMISHI WA AFYA:
-Huelezana kwa faida ya mgonjwa, na hupaswa kuwa katika yale mazingira ya hospitali..ukifanya vinginevyo SI SAHIHI.

BAINA YA MTUMISHI WA AFYA NA JAMII:
Hutolewa kwa Takwimu, in a way next to impossible for someone to narrow down kujua ni nani aliyekuwepo katika kituo cha afya wakati huo.

-mfano;
-utasikia kati ya mwaka fulani na mwaka fulani, kasi ya maambukizi imeongezeka kwa kiasi tajwa.
-Au wagonjwa toka mwaka fulani hadi mwaka fulani waliothibitika ni kadhaa kwa nchi au mkoa mzima.

Sasa hakuna anayepinga maambukizi yanazidi, na hakuna anayepingana na Mkuu Black bat kuleta thread hii(MAANA ALIKUWA/ANA LENGO ZURI tu)..ila maadili na viapo havikuzingatiwa kwa yule Lab Tech na si mleta thread!
 
Kuna jamaa anafanya kazi kama lab technician. Kaniambia kuwa watu wanaokuja kupima damu % kubwa wana ngoma. Nikamwambia toa mfano.

Akaniambia leo kapima wadada wajawazito sita. Na wanne kati yao wana virus vya UKIMWI na umri wao ni kuanzia miaka 18-23.. So guys watch out. Na hao wadada wote wameolewa.

So jiulizeni mko wangapi? It really shocked me. Jamani tuache haya mambo tutaisha hasa kwenye ndoa huko mmmh!!! Haya

HAIFAI DR KUTOA SIRI ANYWAY,Lakini huo ndo ukweli na kila mtu anahaki ya kupata habar
TUJIULIZE ........... ....... ..........
TUPO WANGAPI?
 
Heeee .. Wtf! What wrong with this guy? Sasa kuna tofauti gani? Kwani hao wanao kusanya hizo takwim wanaanzia wapi? So sad kweli nchi yetu inaongozwa na vilaza... Who gave you our office? To write bombastic words doesnt imply that you are genius it rather imply your ignorance na ushamba

Abraham lincoln alishawahi sema ivi "Betterto remain silent and be thought a fool than to speak out and remove alldoubt."
 
Sasa mtu atoe takwimu kwa dunia nzima ijue, kivipi wakati lile swala labda lilitokea kwenye mazungumzo yao, na pengine lab tech alikua kama vile anampa tahadhari ndugu yake baada ya kujua mwenendo wake?

Huoni kama lab tech amemwokoa ndugu yake? what if ndugu yake alikua malaya? je ataendelea na tabia hiyo? wakati kwake news hiyo imemshock?

What if ndugu yake alimdanganywa ili kumtahadharisha? Huoni ujembe wa lab tech?

Ethics gani unazoziongelea wewe wakati hakumtajia majina mfano mama flani na flani?

Namshangaa huyu jamaa. Kwanza huyu lab tech hajaniambia kuwa anafanya kazi wapi na eneo gani hajaniambia na mimi sikumuuliza na hajanitajia majina kwani hata angeyataja (kitu ambacho hawezi kukifanya) mimi nisingekuwa na interest nayo .. I have nothing to do with those names ila yangemsaidia sana huyu kiwembe Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Sasa hilo ndilo swali lakujadili, ingawa likishajibiwa katika comment zilizopita.

Mkuu KakaJambazi, USIRI wa mgonjwa hauishii katika "jina"..it is beyond that,
-ugonjwa wenyewe,
-unamweleza nani kuhusu ugonjwa,
-kwa nini unamueleza
-kwa njia gani unaweleza.
-ruhusa ya mgonjwa n.k

BAINA WATUMISHI WA AFYA:
-Huelezana kwa faida ya mgonjwa, na hupaswa kuwa katika yale mazingira ya hospitali..ukifanya vinginevyo SI SAHIHI.

BAINA YA MTUMISHI WA AFYA NA JAMII:
Hutolewa kwa Takwimu, in a way next to impossible for someone to narrow down kujua ni nani aliyekuwepo katika kituo cha afya wakati huo.

-mfano;
-utasikia kati ya mwaka fulani na mwaka fulani, kasi ya maambukizi imeongezeka kwa kiasi tajwa.
-Au wagonjwa toka mwaka fulani hadi mwaka fulani waliothibitika ni kadhaa kwa nchi au mkoa mzima.

Sasa hakuna anayepinga maambukizi yanazidi, na hakuna anayepingana na Mkuu Black bat kuleta thread hii(MAANA ALIKUWA/ANA LENGO ZURI tu)..ila maadili na viapo havikuzingatiwa kwa yule Lab Tech na si mleta thread!

We umejuaje lab tech sio mleta thread?

Unajuaje pengine alijua maadili na viapo haviruhusu akaja na gia hiyo, lawama za nini?
 
Ok . Basi kumbe tatizo ni lenu nyie madaktari hapo nakubaliana na nyie ila ujumbe umeshawafikia walenga na makosa ni yenu mmeweka mitumbo yenu huko wizarani na mnashindwa kuwafundisha madaktari jinsi ya ku behave.its all about you and not me. Mimi wakinihadithia tena naipeleka kwenye jamii.
 
We umejuaje lab tech sio mleta thread?

Unajuaje pengine alijua maadili na viapo haviruhusu akaja na gia hiyo, lawama za nini?

Tatizo ni lao huko na ngazi zao.. Wao ndio wenye jukumu la kuwaelimisha madaktari/lab etc kuhusu siri za wagonjwa na wala sio sisi wananchi. Tatizo wanapiga tu soga makazino hawana cha maana wanachofanya na ndio maana wameachia hadi arv feki zikaingia mtaani. What a shame
 
Mie hata nikiona choo kimeandikwa "CCM" na hakuna kingine niko radhi kusepa majiani kuliko kuingia choo cha CCM.

Get your facts right.

Yeyote anayenifuatilia atajua hilo.

Tatizo mmekuja na mbio za Mwenge JF.

Hahah wewe ndio umekuja na mbio za mwenye na sisi ndio tumeanzisha JF so you cant tell me anything. Wewe ni ccm damu unajaribu kujifunika but we know you . Le mutuz angekuwa hapa angedhihirisha sema tu kaikimbia JF
 
Hiyo ni general information,na sio siri kabisa,ndio maana hata watafiti wakifika mahospitalini huwa wanaambiwa maambukizo ya ugonjwa flani ni kwa asilimia kadhaa,sasa wasiposema kwa ujumla tutajuaje pa kukazania kupiga kelele zaidi!na mwingine bila kupata taarifa kama hizi hatabadilika akijua issue sio kubwa,chezea watu wazima wewe,kuwaongoza ni kazi.Big up Mr technician na Black Bat kwa taarifa,na ni kweli sio uongo maana na mimi nilishafanya reserch ya hiyo kitu.

Asante sana kaka ..kula tano.. Hawa jamaa wanapayuka tu hapa naona wao wamekuja kubishana na hawana lolote. ama inawezekana hawajitambui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom