mckenzie
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 344
- 139
Usihukumu eti "walafi wa madaraka". Sina muda wa kutosha ila nimechambua hizo hoja unazo jitanabaisha kwazo na naona hazina mashiko. Wino mwekundu ni hoja na mwanazuoni wako na bluu ni majibu yangu. Nawahi kupalila shamba, ni msimu wa kilimo-mkulima mie so pardon my lack of details as am in a hurry.
Nanukuu,
"Juu ya hilo la Utanganyika, ningependa kuongeza maneno machache hasa kwa faida ya vijana wetu. Nimeshangaa kidogo kwamba hata mzee na mwanazuoni mwenzangu Prof. Mpangala ametumia msamiati wa Utaifa wa Tanganyika bila kudadisi kihistoria Utaifa wa Tanganyika.
Kwa muhtasari tu, kabla ya vita vya kwanza, hatukuwa na Tanganyika. Tulikuwa na German East Africa ambayo eneo lake lilijumuisha Burundi, Rwanda na eneo hilo la Tanganyika chini ya himaya ya ubeberu wa Wajerumani. Baada ya Ujerumani kushindwa katika vita, Rwanda na Burundi ziligawiwa kwa Ubelgiji na Tanganyika kwa Uingereza. Waingereza ndipo wakaunda neno hili Tanganyika na iliitwa Tanganyika Territory, yaani, bustani ya wakoloni, siyo taifa.Mababu zetu waliopigania uhuru walijikita kwenye dhana ya Utaifa wa Kiafrika, kama alivyoeleza vizuri tu Profesa Mpangala. Vyama vya wananchi, kutoka TAA (Tanganyika African Association) mpaka TANU (Tanganyika African National Union), viliweka msisitizo kwenye African, Uafrika wao. Iliwabidi kuweka neno Tanganyika kwa sababu tu ndilo lililokuwa eneo la utawala wa wakoloni.
Come on Prof. Why stating the obvious? This can be said to be the case for virtually all land masses occupied by black people that later on came to be counties or states as per the definition of the Montevideo Convention.
Tulipopata uhuru mnamo Desemba 1961, hatukuwa taifa kwa sababu mkuu wa nchi bado alikuwa Malkia. Mwezi wa Novemba 1962 ndipo tukawa Jamhuri ya Tanganyika wakati Mwalimu alipochaguliwa kuwa Rais. Na Mwalimu tangu mwanzo alisistiza kwamba sisi hatukuwa taifa bali mkusanyiko wa makabila na lilikuwa jukumu la serikali huru kujenga utaifa (nation-building).
What is the significance of this obvious historical account? Let me be patient a bit more but unti know you have just wasted my time.
Lakini Mwalimu hakupata muda wa kutosha kujenga utaifa wa Tanganyika kwa sababu mwezi Aprili 1964, yaani baada ya miezi 14 tu, tukaungana na Zanzibar kuwa Tanzania. Na kwa takriban nusu karne tumekuwa tunajenga Utaifa wa Tanzania.
Three questions "Mr. Professor" 1. "Lakini mwalimu hakupata"...so are you blaming him or complementing him? What is the unstated assumption here on which your statement is based? 2. "Muda wa Kutosha" who defines muda wa kutosha? How do you measure utaifa wa Tanganyika before you come to the conclusion that it was not built? 3. "Na kwa takriban nusu karne tumekuwa tunajenga Utaifa wa Tanzania." Again there is a seriously flawed assumption here, though implicit. Let me put it this way, since for generations as slaves African Americans built the US does that make them white and preclude them from claiming their black heritage?
Sasa hii dhana ya Utaifa wa Tanganyika, au Utanganyika, unatoka wapi? Na mantiki na historia yake ni ipi?Ningependa kujua hapa tulipo ni vijana wangapi kati yenu mlizaliwa kama Watanganyika. Nyoosheni mikono juu. Nyinyi wote mlizaliwa mkiwa Watanzania, utaifa wenu ni Utanzania; utambulisho wenu ni Utanzania; mnajitambua kama Watanzania na mnatambuliwa na wengine kama Watanzania.Ukweli ni kwamba mkingangania Utanganyika wenu, ambao wala hamjui kama mtakuwa mnavunja taifa, mtakuwa mnatumikia maslahi na matakwa ya mabeberu na wanasiasa wachache wenye uchu wa madaraka.
This regressive thinking coming from a professor of international repute is making me sick and tired. 1. What if anti-liberation struggles folks asked the same question in the 1950? Is it not a truism that all freedom fighters were born and raised under colonial yoke and consequently they had no clue of what it was to be a country free form white domination? Inashangaza.
"maslahi na matakwa ya mabeberu na wanasiasa wachache wenye uchu wa madaraka." Without any substantiation, atypical of Professors of his level of achievements, he leaves it for us to fill the gaps. Ironically, he appears to be forgetting that the draft was writen by the likes of Judge (rtd) Warioba and Prime Minister (rtd) Dr. Salim Ahmed Salim. What other position would they want to occupy given also their honorable age? Sheer falacy!
Na Utanganyika wenu hautadumu kwa sababu mtaanza kudai sasa Jamhuri ya Makonde na Jamhuri ya Sukuma! Mtakuwa vipande vipande. Hivi siyo vitisho; kuna mifano hai mbele yetu. Somalia imesambaratika, Libya pia, Sudan, Afrika ya Kati, na nchi nyingine nje ya Afrika Afghanistan, Pakistan, Syria, Iraq bila kutaja nchi za Ulaya"
Any link with the substantive part of the draft constitution? This threat is totally misplaced. Who told you factors that lead to the disintergration of those nation states have been listed in the draft for the purposose of implementing them and consequently lead to disintergration? The draft calls for three tier union structure. Hayo yote ni yako! Kaa nayo!
- Prof. Issa Shivji 2014.
Comrades, maneno haya ya mwanazuoni huyu nikama ameyasikia kutoka kwangu ama kuyasoma katika kuta zangu katika mitandao mbali mbali,. Sijilinganishi naye., hapana hata kidogo. Ila ninachosema nikwamba mtu yeyote mwenye nia njema na fikira tulivu anaweza kung'amua nia hasa ya wale wanaotupandikiza hisia za utanganyika na uzanzibari. Walafi wamadaraka!!
Nilisha sema na ninasema tena hapa Tanganyika Siijui, na wala Siihitaji.!!
Comrades ninashukuru sana.[/QUOTE]