Unajaribu kutuelekeza kule kwa akina CUF na Uamsho ambako kila asubuhi hushinda katika mikutano kumtukana Nyerere laanatulah. Wakimaliza hapo wanatoa idadi ya watu waliohudhuria mkutano baasi mambo safi.Mtaipataje Tanganyika bila kupinga hadharani fikra za Nyerere aliyeiuwa? Inatakiwa kwa dhati kabisa mseme wazi kuwa Nyerere alifanya makosa kuiuwa Tanganyika, hapo mtaeleweka, bila hivyo? itatumika fimbo ya Nyerere na fikra za Nyerere na nyinyi hamuwezi kuukubali ukweli kuwa alikosea. Sijui unafaham?
Leo mnatafuta pakutokea, kila ataekuja na lake mtalitafutia sababu, mara oohh Shivji hivi, mara Oooh Warioba vile, mara Oooh Kikwete vile.
Amkeni na mseme tu Nyerere alifanya makosa makubwa sana kuiuwa Tanganyika, mbona hapo mnapata kigugumizi?
Na bila kukataa fikra za Nyerere kuhusu huu Muungano mtatafuta sana scapegoat.
Sasa mnailaumu Zanzibar ndiyo inawanyima Tanganyika yenu? mimi naona Wazanzibari wanawasaidia sana kwenye hii cause yenu ya kuitafuta Tanganyika lakini nyinyi ndio msiojijuwa muanzie wapi. Upo hapo ulipo? Anzeni kwa kuzipinga fikra za Nyerere kuhusu huu muungano, hiyo ndio shortcut pekee ya kupazia malalamiko yenu. Ukipenda usipende hilo halikwepeki.
Unajaribu kutuelekeza kule kwa akina CUF na Uamsho ambako kila asubuhi hushinda katika mikutano kumtukana Nyerere laanatulah. Wakimaliza hapo wanatoa idadi ya watu waliohudhuria mkutano baasi mambo safi.
Kimachotokea Dodoma ni ushahidi, kwasababu wale wale wznz wanaopinga muungano ndio wamefyata na kwa kura ya wazi kuisaidia CCM.Akina Jusa waliosoma kwa Nyerere na wasiotaka muungano ndio wanaandika kanuni.
Ukiwauliza hasa wanataka nini huwezi kupata majibu yanayolingana, kinachowaungnisha ni matusi dhidi ya Nyerere.
Kusimama na kusema Nyerere alifanya makosa hakuleti jibu la tatizo.
Ukweli wa kwamba CCM wanaficha mkataba unaeleza vema kuliko kutukana.
Kikwete anamkono wake kwa hili tena mkubwa tu.
Ameshindwa kusimamia dhamira yake akiongozwa na njia mbili.
Warioba kasema alichosikia kwa wananchi, historia itamhukumu kwa ukweli huo
Shivji, ah kanishangaza aliposema msingi wa muungano ni kugawana madaraka.
Akala matapishi ya maandiko yake.
Tunachosema ni kuwa Tanganyika itazinduka, hapo kila mtu atabeba mtoto wake.
Ni muhimu kuieleza Tanganyika kuliko kutumia akili na nguvu kumtukana Nyerere.
Hayupo na wala hatarudi na jibu.
Kumtukana ni kuridhisha nafsi kwa uongo, ni kuficha shati halafu uliibe mwenyewe.
CUF na Uamsho wanaweza, wengine hatujafika walipo na hatupendi kuelekea huko.
Si kila njia inaenda pema, nyingine zinaelekea porini au chooni.
Umebwabwaja sana sasa jiulize aliyeelekea chooni nani? Yule mwenye nchi au asie na nchi? Zanzibar wana yao, wewe yako ipi?
Kikwete? Kikwete ndiyo aliiuwa Tanganyika? wacha ufataani wewe. Kikwete ndiye aliyewawezesha mpaka leo mnaweza hata kunyanyua midomo mkasema. Nioneshe ni wapi uliweza kuyasema haya ya muungano kabla ya Kikwete? mawe!
Eti Shivji kakushangaza kwa kusema? "msingi wa muungano ni kugawana madaraka", sasa wewe ulitaka uhodhi madaraka yote wewe? halafu iweje? uwe una colony lako linaitwa Unguja na Pemba?
Warioba kaleta maoni kwa aliyosikia kwa wananchi, hao wananchi ndio wanataka Serikali tatu, au sio? Jee, yeye kama Warioba anataka Serikali ngapi? Nyerere alitaka Serikali ngapi? Warioba leo hii yuko tayari kuziacha fikra za Nyerere? au wewe jee?
Ukipenda usipende, ukisema usiseme, unapoidai tu Tanganyika, hapo unaungana na mimi kuwa zife fikra za Nyerere.
Na mimi natamani sana iwepo Tanganyika na iwepo Zanzibar na uwe Muungano wa maridhiano na si Muungano wa madaraka upande mmoja. Leo mpaka Rais wa Zanzibar lazima akubaliwe Dodoma? sasa hapo kuna heri hapo?
Nawaunga mkono Uamsho na Cuf kama kweli walikuwa wanazididimiza fikra za Nyerere wazi wazi, matokeo? leo CUF wana ongoza na Zanzibar pia. Na wapo ndani ya utawala na si outsiders tena na watahakikisha Zanzibar inakuwa huru kiukamilifu wake, kama 80% tayari, bado mambo madogo madogo tu ya ku iron out.
Jussa kelele zake si umeona kapewa Ubunge na sasa yumo mjengoni,, Mtahaha sana,\
Kikwete kiboko, mmemeza chambo, ndoano, chubwi na mshipi wake. Anajuwa alifanyalo. Sasa mtadai nyinyi Uhuru kwa Zanzibar, bila ya wao Tanganyika mtaitowa wapi?
Nakuuliza hivi, bila kwenda kuwalamba miguu akina Jussa na Kificho, utaipata Tanganyika? calculations hazikubali. Hata useme uuvunje Muungano bila ya kumlamba miguu Jussa utauvunjaje?
Turufu sasa hivi ni Jussa. Kama ulikuwa hujui kupiga hesabu sasa utaijuwa.
Si unawaona chadema? wameliona hilo, si walisema CUF ni CCM "B" leo kiko wapi? wanawalamba miguu haohao CCM "B" wawe nao pamoja, wakitegemea kura za Zanzibar ndio zenye turufu na nani wa-kuweza kuwapatia walitakalo? ni akina Jussa tu, hakuna ujanja.
Wewe halijakuingia tu hilo akilini? labda ufanye muujiza, ambao huna.
Sio haramu. Aseme tu wazi kwamba kabadili msimamo kuliko kukataa na kuishia kuumbuliwa na wanafunzi wake.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Bibie tuliza maruhani, waungwana wakijadiliana huelezana, ndvyo adabu ya mnakasha ilivyo.Kikwete? Kikwete ndiyo aliiuwa Tanganyika?
Kikwete ndiye aliyewawezesha mpaka leo mnaweza hata kunyanyua midomo mkasema.
Nioneshe ni wapi uliweza kuyasema haya ya muungano kabla ya Kikwete? mawe!
Eti Shivji kakushangaza kwa kusema? "msingi wa muungano ni kugawana madaraka", sasa wewe ulitaka uhodhi madaraka yote wewe? halafu iweje? uwe una colony lako linaitwa Unguja na Pemba?
2.Warioba kaleta maoni kwa aliyosikia kwa wananchi, hao wananchi ndio wanataka Serikali tatu, au sio? Jee, yeye kama Warioba anataka Serikali ngapi? Nyerere alitaka Serikali ngapi? Warioba leo hii yuko tayari kuziacha fikra za Nyerere? au wewe jee?
Ukipenda usipende, ukisema usiseme, unapoidai tu Tanganyika, hapo unaungana na mimi kuwa zife fikra za Nyerere.
3. Na mimi natamani sana iwepo Tanganyika na iwepo Zanzibar na uwe Muungano wa maridhiano na si Muungano wa madaraka upande mmoja. Leo mpaka Rais wa Zanzibar lazima akubaliwe Dodoma? sasa hapo kuna heri hapo?
4.Nawaunga mkono Uamsho na Cuf kama kweli walikuwa wanazididimiza fikra za Nyerere wazi wazi, matokeo?
leo CUF wana ongoza na Zanzibar pia. Na wapo ndani ya utawala na si outsiders tena na watahakikisha Zanzibar inakuwa huru kiukamilifu wake, kama 80% tayari, bado mambo madogo madogo tu ya ku iron out.
5. Jussa kelele zake si umeona kapewa Ubunge na sasa yumo mjengoni,, Mtahaha sana,\
Kikwete kiboko, mmemeza chambo, ndoano, chubwi na mshipi wake.
Anajuwa alifanyalo. Sasa mtadai nyinyi Uhuru kwa Zanzibar, bila ya wao Tanganyika mtaitowa wapi?
6. Nakuuliza hivi, bila kwenda kuwalamba miguu akina Jussa na Kificho, utaipata Tanganyika? calculations hazikubali. Hata useme uuvunje Muungano bila ya kumlamba miguu Jussa utauvunjaje?
Turufu sasa hivi ni Jussa. Kama ulikuwa hujui kupiga hesabu sasa utaijuwa.
Si unawaona chadema? wameliona hilo, si walisema CUF ni CCM "B" leo kiko wapi? wanawalamba miguu haohao CCM "B" wawe nao pamoja, wakitegemea kura za Zanzibar ndio zenye turufu na nani wa-kuweza kuwapatia walitakalo? ni akina Jussa tu, hakuna ujanja
Unataka kutuambia kwamba njia pekee ya kuizindua Tanganyika ni kupitia CCM kusalimu amri kwa kina Jussa? Amekudanganya nani? Sio katika kipindi hiki. Safari hii, Kuzinduka kwa Tanganyika hakutatokana CCM kusalimu amri kwa kina Jussa bali CCM kusalimu amri kwa watanganyika. Mark my words.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kwanini Issa Shivji atupiwe mawe wakati anachokifanya ni sawa na wanaCCM wengine kweye bunge la katiba? Unajua ni kwanini wanataka kura ya wazi na sio kura ya siri?
Sababu ni kuwa moyoni na akilini wanajua kabisa serikali mbili ni mkenge. Lakini mdomoni na usoni wanataka kuonyesha kuwa ni waumini wa serikali mbili.
Kwa mtu anayejua serikali yetu, kwa mtu kama Shivji ni bora kusema hivyo. Naunga mkono style ya kusema kwake kwa mazingira yaliyopo. Lakini akini mwake na rohoni mwake najua kuna nini, just like ilivyo kwa wanaCCM wengine.
Bibie tuliza maruhani, waungwana wakijadiliana huelezana, ndvyo adabu ya mnakasha ilivyo.
Kufoka hakujengi hoja ni silaha dhaifu na nyepesi kwa maaluni. Hebu tuendelee kwa ustaraabu, eh binti Fox
1. Kikwete hakuiua Tanganyika, anazuia kuzinduka Tanganyika.
Rais wa serikali inayoghushi nyaraka ya mkataba inafikirisha.Ni jambo la historia.
Kwani hukumsikiaa bungeni alipokwenda kuwasuta wazee wenzake kwa vibwebwe. Ndio uungwana ule?
Kuzungumza ni haki yangu kutoka kwa mungu na katiba.
Sikuweza kuzungumza huko nyuma kwasababu wakti ulikuwa bado. Hata hivyo muungano kauongelea Jumbe, Shelukindo, Nyalali, Amina, Kisanga na Wariba kabla na baada ya tume.
2. Kama Warioba iwe anataka serikali 1, 10,100 ni yeye. Alichookifanya ni kile alichotumwa na Kikwete. Kaleta maoni ya watu, na watu wanasema muda umefika, kila mtu abebe mzigo wake.
Tutakapokubaliana kwa mambo 7 tu hewala.Kosa la Warioba ni lipi,
3. Ahsante kama unatamani Tanganyika, ndivyo wengi walivyomwambia Warioba.
Tumia nafasi yako kumweleza Kikwete kuwa wewe, kama wale wengi wanataka Tanganyika yao.
Muungano siyo madaraka ni majukumu, waambie wznz muungano hauji kwa maneno ni kuwajibika.
Habari ya kudai madaraka bila kujua gharama zake mwisho Chumbe.
Madaraka yanagharama hakuna babu au mjomba wa kulipia watu gharama.
Muda huo umekwisha. Muungano wa dunia ya leo ni uchumi , si mipasho au mbeleko.
4. CUF na Uamsho hutumia haki yao kushinda katika mikutano ya kumtukana Nyerere.
Jioni wanarudi mwakwao dhiki ikiwa pale pale.
Wakulima wanaamka na jembe bila chai na wavuvi wanategemea pepo za kusi. Nyerere kapunzika.
Kwa kutumia mikutano bila tija leo wapo wanaosema serikali 2 na wengine 3, na mkataba.
Hakuna anayejua anataka nini.
5. Kama kuna kiongozi anataka kupata legacy ya unafiki nani wa kumzuia? Historia haiandikwi inajiandika.
Kuwalamba miguu wznz sijui kama kuna ukweli. Kificho kaja Dodoma na waraka wa serikali 3, kaitwa kikaoni sasa hivi ni serikali 2.
Jusa alisema hawakubali lolote isipokuwa mkataba. Mkataba haupo katika fikra, kaamua kuandika kanuni za kuunda muungano wa Tanganyika. Ni wa Tanganyika kwasababu hiyo Tanzania wana jina.
Endapo wana karata ya mwisho basi ni vema, mwisho wa siku tutajua mwenye karata nani.
Unaposema Rais wa znz anachaguliwa Dodoma ni kweli kwasababu akiwa njiani kurejea znz anapitia hazina kuchukua cheki yake.
Sasa ulitaka achaguliwe Unguja halafu aje kuchukua cheki, nani angemjua.
Hivi hapo nani analamba mwenzake miguu?
Haya bibie wasalimie hapo Kariakoo waambie mimi bukheri nikipata wasaa nitawajulia hali.
Nijaalie.
Unajaribu kutuelekeza kule kwa akina CUF na Uamsho ambako kila asubuhi hushinda katika mikutano kumtukana Nyerere laanatulah. Wakimaliza hapo wanatoa idadi ya watu waliohudhuria mkutano baasi mambo safi.
Kimachotokea Dodoma ni ushahidi, kwasababu wale wale wznz wanaopinga muungano ndio wamefyata na kwa kura ya wazi kuisaidia CCM.Akina Jusa waliosoma kwa Nyerere na wasiotaka muungano ndio wanaandika kanuni.
Ukiwauliza hasa wanataka nini huwezi kupata majibu yanayolingana, kinachowaungnisha ni matusi dhidi ya Nyerere.
Kusimama na kusema Nyerere alifanya makosa hakuleti jibu la tatizo.
Ukweli wa kwamba CCM wanaficha mkataba unaeleza vema kuliko kutukana.
Kikwete anamkono wake kwa hili tena mkubwa tu.
Ameshindwa kusimamia dhamira yake akiongozwa na njia mbili.
Warioba kasema alichosikia kwa wananchi, historia itamhukumu kwa ukweli huo
Shivji, ah kanishangaza aliposema msingi wa muungano ni kugawana madaraka.
Akala matapishi ya maandiko yake.
Tunachosema ni kuwa Tanganyika itazinduka, hapo kila mtu atabeba mtoto wake.
Ni muhimu kuieleza Tanganyika kuliko kutumia akili na nguvu kumtukana Nyerere.
Hayupo na wala hatarudi na jibu.
Kumtukana ni kuridhisha nafsi kwa uongo, ni kuficha shati halafu uliibe mwenyewe.
CUF na Uamsho wanaweza, wengine hatujafika walipo na hatupendi kuelekea huko.
Si kila njia inaenda pema, nyingine zinaelekea porini au chooni.
........yale maswali yako kwenye thread yangu yamenipotea ndugu.
Nikushukuru kwa maoni yako, hakika kupinga bila kupigana ndio uungwana.
Nina maswali machache naomba unisaidie.
Moja ya malalamiko ya wazanzibar ni kuwa Tanganyika(usioitaka) imejificha katika koti la muungano.
Wanataka kuwepo na mpaka kati ya mambo ya muungano na yasiyo ya muungano.
Katika hali hiyo tutafanyaje? Je, tuache status quo kwa kudharau malalamiko hayo au tuyafanyie kazi?
Kama ni kuyafanyia kazi, ni kwa njia zipi labda.
Pili, kwavile znz ina dola, je hiyo inamaanisha dola ya znz ni kubwa kuliko ile ya JMT?
Tatu, kwavile znz ina fiscal autonomy na hata kufanya mambo ya kumtenga Mtanganyika kwa kutumia haki hiyo, haki ya Mtanganyika kuwa na fiscal autonomy yake ipo wapi? Je, Mtanganyika hapaswi kuamua hatima yake na kama ni ndiyo ni kwa njia na utaratibu gani.
Nne, kwavile znz ina vyombo vyake vya kiuchumi, kuna uhalali gani wa Mtanganyika kulipia gharama za sehemu yenye dola yake?
Tano, hii dola ya Tanzania ni mali ya nani? Nani mshirika wa dola hiyo
Umebwabwaja sana sasa jiulize aliyeelekea chooni nani? Yule mwenye nchi au asie na nchi? Zanzibar wana yao, wewe yako ipi?
Kikwete? Kikwete ndiyo aliiuwa Tanganyika? wacha ufataani wewe. Kikwete ndiye aliyewawezesha mpaka leo mnaweza hata kunyanyua midomo mkasema. Nioneshe ni wapi uliweza kuyasema haya ya muungano kabla ya Kikwete? mawe!
Eti Shivji kakushangaza kwa kusema? "msingi wa muungano ni kugawana madaraka", sasa wewe ulitaka uhodhi madaraka yote wewe? halafu iweje? uwe una colony lako linaitwa Unguja na Pemba?
Warioba kaleta maoni kwa aliyosikia kwa wananchi, hao wananchi ndio wanataka Serikali tatu, au sio? Jee, yeye kama Warioba anataka Serikali ngapi? Nyerere alitaka Serikali ngapi? Warioba leo hii yuko tayari kuziacha fikra za Nyerere? au wewe jee?
Ukipenda usipende, ukisema usiseme, unapoidai tu Tanganyika, hapo unaungana na mimi kuwa zife fikra za Nyerere.
Na mimi natamani sana iwepo Tanganyika na iwepo Zanzibar na uwe Muungano wa maridhiano na si Muungano wa madaraka upande mmoja. Leo mpaka Rais wa Zanzibar lazima akubaliwe Dodoma? sasa hapo kuna heri hapo?
Nawaunga mkono Uamsho na Cuf kama kweli walikuwa wanazididimiza fikra za Nyerere wazi wazi, matokeo? leo CUF wana ongoza na Zanzibar pia. Na wapo ndani ya utawala na si outsiders tena na watahakikisha Zanzibar inakuwa huru kiukamilifu wake, kama 80% tayari, bado mambo madogo madogo tu ya ku iron out.
Jussa kelele zake si umeona kapewa Ubunge na sasa yumo mjengoni,, Mtahaha sana,\
Kikwete kiboko, mmemeza chambo, ndoano, chubwi na mshipi wake. Anajuwa alifanyalo. Sasa mtadai nyinyi Uhuru kwa Zanzibar, bila ya wao Tanganyika mtaitowa wapi?
Nakuuliza hivi, bila kwenda kuwalamba miguu akina Jussa na Kificho, utaipata Tanganyika? calculations hazikubali. Hata useme uuvunje Muungano bila ya kumlamba miguu Jussa utauvunjaje?
Turufu sasa hivi ni Jussa. Kama ulikuwa hujui kupiga hesabu sasa utaijuwa.
Si unawaona chadema? wameliona hilo, si walisema CUF ni CCM "B" leo kiko wapi? wanawalamba miguu haohao CCM "B" wawe nao pamoja, wakitegemea kura za Zanzibar ndio zenye turufu na nani wa-kuweza kuwapatia walitakalo? ni akina Jussa tu, hakuna ujanja.
Wewe halijakuingia tu hilo akilini? labda ufanye muujiza, ambao huna.
........
umeeleza maoni yako vyema. Lakini kulikuwa na umuhimu gani wakutumia lugha ya namna iyo??
Tujifunze kujibu hoja kwa hoja bila maneno yenye kuudhi ama kudhalilisha.
Niuungwana tu.
Una chuki sana na Nyerere wewe ajuza.......km NA HAPA MNATAKA MTUPIA MZIGO NYERERE NDIE ALIYEFANYA HAYA MWENYEWE, BASI UTAHITAJI KUPANDA UKUTA MREFU SANA ILI UKATAE KUWA NA UHURU SI YEYE MWENYEWE KAULETA.....HII NDIO SHIDA YA UDINI WENU NA KURUKIA KILA KITU KIDINI MKIDHANI MNAPAISHA DINI.wehu wenzio walikimbilia idea ya Big Bang ili kuthibitisha dini yao inakwenda na sayansi, hadi walipoambiwa wadrop basi nortion ya CREATION.Mtaipataje Tanganyika bila kupinga hadharani fikra za Nyerere aliyeiuwa? Inatakiwa kwa dhati kabisa mseme wazi kuwa Nyerere alifanya makosa kuiuwa Tanganyika, hapo mtaeleweka, bila hivyo? itatumika fimbo ya Nyerere na fikra za Nyerere na nyinyi hamuwezi kuukubali ukweli kuwa alikosea. Sijui unafaham? Leo mnatafuta pakutokea, kila ataekuja na lake mtalitafutia sababu, mara oohh Shivji hivi, mara Oooh Warioba vile, mara Oooh Kikwete vile. Amkeni na mseme tu Nyerere alifanya makosa makubwa sana kuiuwa Tanganyika, mbona hapo mnapata kigugumizi? Na bila kukataa fikra za Nyerere kuhusu huu Muungano mtatafuta sana scapegoat. Sasa mnailaumu Zanzibar ndiyo inawanyima Tanganyika yenu? mimi naona Wazanzibari wanawasaidia sana kwenye hii cause yenu ya kuitafuta Tanganyika lakini nyinyi ndio msiojijuwa muanzie wapi. Upo hapo ulipo? Anzeni kwa kuzipinga fikra za Nyerere kuhusu huu muungano, hiyo ndio shortcut pekee ya kupazia malalamiko yenu. Ukipenda usipende hilo halikwepeki.
Una chuki sana na Nyerere wewe ajuza.......km NA HAPA MNATAKA MTUPIA MZIGO NYERERE NDIE ALIYEFANYA HAYA MWENYEWE, BASI UTAHITAJI KUPANDA UKUTA MREFU SANA ILI UKATAE KUWA NA UHURU SI YEYE MWENYEWE KAULETA.....HII NDIO SHIDA YA UDINI WENU NA KURUKIA KILA KITU KIDINI MKIDHANI MNAPAISHA DINI.wehu wenzio walikimbilia idea ya Big Bang ili kuthibitisha dini yao inakwenda na sayansi, hadi walipoambiwa wadrop basi nortion ya CREATION.