Hizo ndizo rangi za wanasiasa-wasomi uchwara na wachumia tumbo.Gazeti la Nipashe linamnukuu Shivji akisema kuwa yeye ni muumini wa Muungano wa serikali 2; lakini hiyo quote ya 2005 anasema serikali 2 zitauuwa Muungano!
Khaa!! wewe ukisikia neno kijibwa unapata picha ya mbwa mdogo. SIYO HIVYO!! Kasome upunguze ujinga wako :rip:
Nimemsikiliza Mama Fatma Karume, kwa maoni yangu, huyu mama needs to be guided!, kuna vitu amezungumza ni urongo, mfano sababu za muungano, na ile hoja ya kabla ya Muungano ati Wanzanzibari walikuwa consulted, wakaulizwa na kukubali!, na mwandishi akaishia hapo as if huo ndio ukweli wenyewe!."...Muungano..." - Mama Fatma Karume
Nimemsikiliza Mama Fatma Karume, kwa maoni yangu, huyu mama needs to be guided!, kuna vitu amezungumza ni urongo, mfano sababu za muungano, na ile hoja ya kabla ya Muungano ati Wanzanzibari walikuwa consulted, wakaulizwa na kukubali!, na mwandishi akaishia hapo as if huo ndio ukweli wenyewe!.
Kiukweli ili mtu kuwa ni mwandishi mzuri, wewe mwandishi mwenyewe you need to be very much informed!, ili ikitokea ukadanganywa una hoji zaidi!, ningekuwa mimi huku naelewa Wanzanzibar were not consulted, Karume aliufanya siri, akampa likizo ya lazima Mwanasheria wake Mkuu wa wakati huo, Wolfgang Dourado, Mama aliposema Wanzibari walikuwa consulted, angeuliza how?!.
Nakumbuka ni Mama Karume huyu huyu andie aliyetoa siri ya Karume na wanae kuyamkimbia Mapinduzi, kwa kutoroka usiku usiku kwa mitumbwi na kuvukia Bagamoyo, kwenye kipindi kile akidai ati Karume hakuyakimbia Mapinduzi, bali alikuwa akiwawahisha wanae Amani na Ali shule walikuwa wakisoma nchini Malawi!.
She just needs to be guided mini cha kusema na mini cha kuacha!.
Pasco
Khaa!! Bora iwe hivyo kwani ni furaha kubwa kwangu :rip:Avatar yako inakuonyesha ulivyo! Sitasoma msg zako tena!
Suala sio kwanini ame change ila issue ni yeye kukana kua hajawahi pendekeza serikali 3
Nawashangaa sana ikiwa wote mmeshindwa kumuelewa Professor Shivji.
Professor Shivji ni muumini wa Serikali mbili na hata nukuu yake hiyo mliyoiweka inadhihirish hivyo. Ambacho hamtaki kukisema ni Serikali mbili zipi anazoziongelea Shivji? Hamna pahala Shivji ameongelea kuwa serikali mbili ni Serikali ya Tanzania na Zanzibar, papo?
Nilivyomuelewa Shivji anaongelea Serikali mbili zenye maridhiano, bila ya hivyo muungano upo hatarini. Sioni pahala ameongelea ziundwe serikali tatu.
Serikali mbili zenye maridhiano kwa maana Serikali ya Tanganyika na Zanzibar na maridhiano - Mkataba. Kama ilivyo kwenye maridhiano ya awali ya Nyerere na Karume. Yaleteni muone halafu mtamuelewa Shivji.
Shivji anachelea kusema tu kuwa huu muungano aliyeuharibu ni Nyerere kuiuwa Tanganyika bila uhalali wowote.
Bomu hapa nilionalo si Shivji ni Nyerere.
unamuita Nyerere bomu? dah!
kweli huna nizam
FF Prof Shivji amesema kurudi Utanganyika ni kuvunja muungano akimaanisha kuwa serikali mbili ni SMZ na JMT.Nawashangaa sana ikiwa wote mmeshindwa kumuelewa Professor Shivji.
Professor Shivji ni muumini wa Serikali mbili na hata nukuu yake hiyo mliyoiweka inadhihirish hivyo. Ambacho hamtaki kukisema ni Serikali mbili zipi anazoziongelea Shivji? Hamna pahala Shivji ameongelea kuwa serikali mbili ni Serikali ya Tanzania na Zanzibar, papo?
Nilivyomuelewa Shivji anaongelea Serikali mbili zenye maridhiano, bila ya hivyo muungano upo hatarini. Sioni pahala ameongelea ziundwe serikali tatu.
Serikali mbili zenye maridhiano kwa maana Serikali ya Tanganyika na Zanzibar na maridhiano - Mkataba. Kama ilivyo kwenye maridhiano ya awali ya Nyerere na Karume. Yaleteni muone halafu mtamuelewa Shivji.
Shivji anachelea kusema tu kuwa huu muungano aliyeuharibu ni Nyerere kuiuwa Tanganyika bila uhalali wowote.
Bomu hapa nilionalo si Shivji ni Nyerere.
FF Prof Shivji amesema kurudi Utanganyika ni kuvunja muungano akimaanisha kuwa serikali mbili ni SMZ na JMT.
Pili, Prof Shivji yupo katika video za mabaraza ya kata znz akisema, znz imeporwa madaraka yake. Katiba ya JMT haikifuata taratibu na ni haramu. Ametumia katiba hiyo harama kuhalalisha katiba ya 2010 ya znz.
Unaweza kuona jinsi SHivji anavyoyumba yumba bila sababu.
Tatu, amesemakurudi kwa TANGANYIKA kutachochea chuki dhidi ya wznz. Prof wetu ameshindwa kuona jinsi ubaguzi na chuki dhidi ya Tanganyika unavyotekelezwa na dola ya znz na wananchi wake.
Nne, Prof Shivji ametoa mifano ya muungano akificha yenye ukweli ili kuitetea znz. In general prof amepoteza ground na mwelekeo. Nina mheshimu sana, kwa hili la muungano kwangu amekuwa useless na sijui kwanini amekubali kununuliwa na kujivunjia heshima yake.

Mara ngapi tumeonyesha jinsi Tanganyika ilivyochakachuliwa?Of course Zanzibar imeporwa madaraka yake nani asiyelijuwa hilo?
Kama Serikali mbili, na huku bara imeridhia iwe ya Tanzania lakini Zanzibar ina utaifa wake na kuna maridhiano yanayokubalika pande zote ni muono wake huo, kuna mahala amesema anataka Serikali tatu?
Hilo la kupoteza ground ni nyinyi mnaosema.
Nyerere alipolazimisha Serikali zenye Muungano usiokuwepo mbona hamsemi kuwa ni yeye aliyeiuwa Tanganyika? mmesahau alivyowanyamazisha G55? mmesahau alivyomfanya Jumbe? mmesahau alivyomfanya Kassim Hanga?
Wazanzibari wamejielewa, iwe mbiili mtafata masharti yao mkitaka msitake, au mpiganie tatu mfate pia masharti yao mkitaka msitake, wao wana nchi yao inayotambulika rasmi kwenye huu "Muungano". Tatizo ni nyinyi ambao nchi yenu Nyerere aliiuwa. Kubalini tu>
Mbona mnapata kigugumizi ikija kwa muasisi wa huu Muungano feki? mnatafuta scapegoat?
FF Prof Shivji amesema kurudi Utanganyika ni kuvunja muungano akimaanisha kuwa serikali mbili ni SMZ na JMT.
Pili, Prof Shivji yupo katika video za mabaraza ya kata znz akisema, znz imeporwa madaraka yake. Katiba ya JMT haikifuata taratibu na ni haramu. Ametumia katiba hiyo harama kuhalalisha katiba ya 2010 ya znz.
Unaweza kuona jinsi SHivji anavyoyumba yumba bila sababu.
Tatu, amesemakurudi kwa TANGANYIKA kutachochea chuki dhidi ya wznz. Prof wetu ameshindwa kuona jinsi ubaguzi na chuki dhidi ya Tanganyika unavyotekelezwa na dola ya znz na wananchi wake.
Nne, Prof Shivji ametoa mifano ya muungano akificha yenye ukweli ili kuitetea znz. In general prof amepoteza ground na mwelekeo. Nina mheshimu sana, kwa hili la muungano kwangu amekuwa useless na sijui kwanini amekubali kununuliwa na kujivunjia heshima yake.
Sasa mbona hueleweki? Na hiyo serikali ya mkataba si ndio wamependekeza wapinzani (CUF) halafu maCCM hamtaki kuelewa? Hizi posho za Lumumba zimewavuruga akili!
Mara ngapi tumeonyesha jinsi Tanganyika ilivyochakachuliwa?
Tanganyika haifuati masharti ya znz. Mbona tumekubali kuwa wao ni nchi na kila kitu!
Tunataka Tanganyika halafu kuanzia hapo tuone wapi tunaweza kushirikiana, siyo kumsaidia mznz.
Wznz wapo Dodoma, akina Kificho ndio wapiga debe wa CCM, akina Jusa ndio wanaoandika kanuni.
Time will tell, Tanganyika irudi kila mtu abebe mzigo wake.