SHIVAZ Noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHIVAZ Noma

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kifulambute, Aug 18, 2011.

 1. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  nilipamisi sana pale Picnic Bar na kusafisha macho ya wadada wakazi...... Jana nikaamua nipite pite angalau nioshe macho. aisee nilishangaa napita nikakutana na kabinti kadogo kwa makadirio yangu kangekuwa form I ama II... nilipokaangalia kakanitolea macho ya mahaba eti "mambo brother karibu" aisee nilitaka kuanguka maana huwa nakaona mtaani nikiwa naenda job. Kweli Shivaz Noma usipoangalia unaweza kuta hata demu wako kule....
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  hahahahaaaaa hiyo ndo kaloleni Arusha.
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh nina wasi wasi nia yako ilikuwa sio kupita tuu ilikuwa uko kwenye mawindo wewe tumekushtukia
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wala huwa sina mambo hayo tena huenda kupata kinywaji pale Picnic nikiwa na my wife sitaki shida
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Uko picnic lakn unahangaika na mambo ya shivaz,......ni lazma ujue unapokua picnic utegemea kupata nini na unapokua shivsz unategemea nini?...unashangaa maiti makaburini
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  yale maeneo hata kupita na mtu wako wa heshima usiku ni noma
  mkuu una guts za kwenda pale na mama watoto anashuhudia biashara inayoendelea shivaz
  maana pale ni hatari kwa matukio ya moja kwa moja
   
 7. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwani mkuu wewe huwezi pita na mama toto maeneo ya Ohio?
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kaka kuwa makini wale watoto unaowaona pale wana uniform kwenye pochi na wanashirikiana polisi,
  ukiingia kichwakichwa wanakugeuza dili.
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kupita yes ila sio kwenda kukaa maeneo ya karibu na shivaz usiku
  niliwahi kwenda yale maghorofa ya jirani pale usiku mmoja
  katikati ya maongezi ikafumuka sauti ya mdada alikuwa amevamiwa na kundi la vijana kama sita na nafikiri dada alikula pesa zao akakataa kufanya mapenzi nao sasa alifumuka na sauti kubwa kuwa anabakwa na wanataka wamrudi mpaka kinyume na maumbile
  imagine uko na mama watioto then mambo kama hayo unayasikia au anatoka anaenda toilet anakutana na watu mle ndani wanamaliza haja zao hapo anajisikiaje
   
 10. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #10
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Afadhali huko maana huku Dar kila kona mijimamama tu...
   
 11. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mwanamke anayejiheshimu na anujua hayo maeneo hawezi enda pande hizo. Ama uyo wa kwako ulimtoa huko!
   
 12. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kama utaenda pale kwa jukumu la kutafuta totoz sawa lakini ni sehemu kama zilivyo sehemu nyingine tu. Mbona mnaoenda babylon hatusemi msiende na wake zenu? Kuna tofauti gani kati ya babylon na Picnic?
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu ushaenda babylon ukakuta mtu anamalizia haja zake na dem wake chooni
   
 14. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Babylon ndiyo wapi mazee?
   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Wewe ni wa arusha kweli
  Metropole kwa juu pale kuna club imeanzishwa pale na ni ya muda mrefu sana
   
 16. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hata watoto wa chekechea wanajua hiyo ni mitaa ya milupo period.
  Mbona wewe usiende matejoo au mbwa chini na mke wako?
   
 17. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sina Sime ndg yangu Matejoo naogopa kutoka sina kichwa
   
 18. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Exactly!
  Kila mtaa na pahala pana sifa zake, mfano:
  Shiverz - Milupo
  Kaloleni - wala unga
  Sanawari - wanya gofongo
  Ngaleloo - vibaka
  KJuu - wavuta kaya
  Majengo - waswahili
  Triple A - watoto
  Via Via - Ma Ras

  Unaeza ukaendelea na nadhani utakua umenisoma.
   
 19. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  acha masihara mkuu, binti wa umri wa form one au two si ndo wanaofaa hao????? biashara matangazo bwana
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu kweli wewe vitengo unavijua
   
Loading...