SHIVAZ Noma

SHIVAZ Noma

Kwani mkuu wewe huwezi pita na mama toto maeneo ya Ohio?
Mkuu, mimi niliwahi kupita na mke wangu shivaz (Dec 2009) sekeseke nililolipata sitathubutu kupia maeeneo hayo usiku nikiwa na mwana mke hasa tunae heshimiana...wale wadada wali mtukana mke wangu mbaya kabisa huku wakinadi sera zao eti k zao nzuri hazija chakachuliwa kama ya huyo nilie kuwa nae bila kujua ni mke wangu mbaya zaidi waka mgeukia wakimwambia wewe ni mshamba kazi kuchukua wateja wa wenzako ilibidi niwembogo kuokoa jahazi

Mkuu ndo hapo ninaposhangaa jamaa kusema wazi kuw aanaenda kukaa na mke wake pale picnic wakati nje kuna matusi watu wanatukanana wanafanya viroja wengine choo ndio guest house na viambaza vya baraza ni sehem za kumalizia shughuli zao sasa ukiw ana wife pale sijui unajisikiaje

Mkuu, mimi niliwahi kupita na mke wangu shivaz (Dec 2009) sekeseke nililolipata sitathubutu kupia maeeneo hayo usiku nikiwa na mwana mke hasa tunae heshimiana...wale wadada wali mtukana mke wangu mbaya kabisa huku wakinadi sera zao eti k zao nzuri hazija chakachuliwa kama ya huyo nilie kuwa nae bila kujua ni mke wangu mbaya zaidi waka mgeukia wakimwambia wewe ni mshamba kazi kuchukua wateja wa wenzako ilibidi niwembogo kuokoa jahazi

Huyu Mkuu sidhani kama alikuwa na real wife! Au kama walikutana na wife hiyo mitaa basi they were safe b/se hao wadada poa wanamfahamu maana ninavyojua kama hawamfahamu, wanajua ni mvamizi na watamletea noma mwanzo mwisho!

Ukiacha matusi, karibu wote wanakula fegi, loh

Mkuu, mimi niliwahi kupita na mke wangu shivaz (Dec 2009) sekeseke nililolipata sitathubutu kupia maeeneo hayo usiku nikiwa na mwana mke hasa tunae heshimiana...wale wadada wali mtukana mke wangu mbaya kabisa huku wakinadi sera zao eti k zao nzuri hazija chakachuliwa kama ya huyo nilie kuwa nae bila kujua ni mke wangu mbaya zaidi waka mgeukia wakimwambia wewe ni mshamba kazi kuchukua wateja wa wenzako ilibidi niwembogo kuokoa jahazi

Hapo kwenye red nina wasi wasi na wewe iweje walalame wamechukuliwa mteja wao,lazima watakuwa wanakujua vizuri bwa ha ha aaaaaa !

kama utaenda pale kwa jukumu la kutafuta totoz sawa lakini ni sehemu kama zilivyo sehemu nyingine tu. Mbona mnaoenda babylon hatusemi msiende na wake zenu? Kuna tofauti gani kati ya babylon na Picnic?

tofauti ipo kubwa bana ww ukiwa barazani mwa picnic unaona shivaz ukiwa babylon waona magari

Mkuu, mimi niliwahi kupita na mke wangu shivaz (Dec 2009) sekeseke nililolipata sitathubutu kupia maeeneo hayo usiku nikiwa na mwana mke hasa tunae heshimiana...wale wadada wali mtukana mke wangu mbaya kabisa huku wakinadi sera zao eti k zao nzuri hazija chakachuliwa kama ya huyo nilie kuwa nae bila kujua ni mke wangu mbaya zaidi waka mgeukia wakimwambia wewe ni mshamba kazi kuchukua wateja wa wenzako ilibidi niwembogo kuokoa jahazi

Mkuu kama unapita tu haina shida tatizo ukipita na kuchunguliachungulia watoto ndio wanakushoboka mbaya na usipoangalia wanakuchojoa hata nguo kabisa. sasa wewe ulipita na wife halafu unawashoboka lazima wakutoe baru

Kwani mkuu wewe huwezi pita na mama toto maeneo ya Ohio?

kwa wengine utaishia kwenye ugomvi kisa umewaangalia. binafsi nikipita na maiwaifu wangu mitaa hiyo lazima nivae koset ya shingo kwanza!

Similar Discussions

Back
Top Bottom