unataka ugomvi wewe
NDIO!
:hatari::hatari::shetani::shetani::bange::bange:
Ila nipe kwanza lyrics za huo wimbo ili niweze kumtambua vema yahaya!
Mchango wako Mtani, list imeongezeka, sasa wameingia Simplicity, Heaven on earth na Arushaone, kura yako muhimu
Ngoja kwanza. Umesema Paw ana wake wengi? Hebu nitajie kwanza, nna hamu ya ugomvi
Jibu swali la hapo chini asee.
Hehehehe heheheheheNgoja kwanza. Umesema Paw ana wake wengi? Hebu nitajie kwanza, nna hamu ya ugomvi
unashangaa nini wewe yahaya najua mpaka kitanda no. Sasa mtamuitaje yahaya .khaaaa!!!!!
NDIO!
:hatari::hatari::shetani::shetani::bange::bange:
Ila nipe kwanza lyrics za huo wimbo ili niweze kumtambua vema yahaya!
mi mtaani najulikana napoishi
Naomba umheshimu mke wangu. usijaribu hata kumuota Heaven on earth. Mke wangu mimi ana tabia njema ndo maana nikamuoa.
Wataje manunga embe wa jf ambao hawataki kuolewa. Mia
Chorus:
sosoliso unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani sosoliso eeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso ,Oooh sosoliso
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Chorus:
sosoliso unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani sosoliso eeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso ,Oooh sosoliso
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso
VERSE 1:
Huyu kijana mwenzetu, Kila siku tupo nae maskani
Anakula ofa za watu, Anapoishi hata hapajulikani
Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae
Anavyozuga, anavyopita
Si umdhaniae
Na hafananii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Longo longo nyingi
VERSE 2
Kwa story za vilingeni, Utafikiri kweli yeye ndio boss
Suruali zake na mashati, Anasema anafanya kazi bank
Mara anasema usalama wa Taifa, Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae
Na hafanii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Ooooh sosoliso
Mara anasema usalama wa Taifa
Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya
Uso mdhaniae
Na hafanii kabisa na fix anazo fanya
Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata
Kumbe hana helaa
Chorus:
sosoliso unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani sosoliso eeehh
Oooh Yahaya, Oooh sosoliso, Oooh sosoliso
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Chorus:
sosoliso unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani sosoliso eeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso ,Oooh sosoliso
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso
mwisho.
aione sosoliso
Yahaya wangu ni Heaven on earth. Au shurti awe mwanaume??