Shindano: Mr. Yahaya wa jf

Shindano: Mr. Yahaya wa jf

it smell fiishy in this fwact inawezekana namtetea bazazi hapa ,jana alisema mwanaume ni kama bahari wewe unachunga mtu asivue cocobeach wengine wanavua huko ununio

There we go.

Bazazi KakaKiiza ndo Yahaya. Confirmed.

Thread closed.
 
Last edited by a moderator:
sosoliso si unaona hata Nivea anakusema kuwa wewe ni yahaya na hujulikani unaishi wapi
Angalia Mkeo Paloma asichape mwendo utakaposhindwa kumhakikishia kuwa unapokaa ni kwako

binamu Mr Rocky.......... Nivea hajashtuliwa muda sana.......!
Ila hata kwa dawa hampati sosoliso wangu.......na hata wewe sikushauri hapo kabisa........huyu ni weka mbali na d...e!!!
 
Last edited by a moderator:

Chorus:

sosoliso unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani sosoliso eeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso ,Oooh sosoliso
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Chorus:
sosoliso unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani sosoliso eeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso ,Oooh sosoliso
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso

VERSE 1:
Huyu kijana mwenzetu, Kila siku tupo nae maskani
Anakula ofa za watu, Anapoishi hata hapajulikani
Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae
Anavyozuga, anavyopita
Si umdhaniae
Na hafananii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Longo longo nyingi

VERSE 2
Kwa story za vilingeni, Utafikiri kweli yeye ndio boss
Suruali zake na mashati, Anasema anafanya kazi bank
Mara anasema usalama wa Taifa, Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae
Na hafanii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Ooooh sosoliso

Mara anasema usalama wa Taifa
Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya
Uso mdhaniae
Na hafanii kabisa na fix anazo fanya
Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata
Kumbe hana helaa

Chorus:
sosoliso unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani sosoliso eeehh
Oooh Yahaya, Oooh sosoliso, Oooh sosoliso
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Chorus:
sosoliso unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani sosoliso eeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso ,Oooh sosoliso
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso
mwisho.
aione sosoliso


hahahahhahaaaaaaaaaaaaaa............lol Nivea nimechekaje?!?!?

asa mbona wewe unapajua kwa sosoliso?!?!?

embu mtake radhi mume wangu banaaa!
 
Last edited by a moderator:
ngoja kwanza yahaya wa jf apatikane afu ndo tuonane! ila Nivea lazima awepo!
hivi selika ushaisukuma? nataka aipande tena!

Hahah Yahaya anauza selika ananunua verosa. Nivea atakomaje?
 
Last edited by a moderator:
hahahahhahaaaaaaaaaaaaaa............lol nivea nimechekaje?!?!?

Asa mbona wewe unapajua kwa sosoliso?!?!?

Embu mtake radhi mume wangu banaaa!
mimi sipajui ia nasikia anakaa kinondoni hahaahahahahahaaha
naona wadada wote wa chitchat wamekimbia tumebaki wawili shost hujastuka tu
 
Back
Top Bottom