Shindano: Mr. Yahaya wa jf

Shindano: Mr. Yahaya wa jf

Mie mbona najulikana naishi Kiding'a na ni mkulima wa Kabichi!
Cc: sweetlady

Inasemekana una nyumba ndogo nkoaranga ni kweli? Na pia "nimeambiwa" kuwa wakati wa.kampeni usiku wewe ni ccm mchana ni chadema na ukienda zenji we cuf. Nimeambiwa kuwa ulikutana na jaydee pale matongeee ndipo akakufahamu.na kukutungia wimbo. Shahidi Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Unajua Lucas, tupo katika stage ya kwanza ya kupendekeza majina, hata wewe ni ruksa kupendekeza kwa vigezo, lile swali lako kwa @Aspirin ni muhimu, kama hana majibu, ruksa kumwingiza kwenye list, Nitakuwa nai-update hii list kadiri mtakavyokuwa mnapendekeza

Nadhani simo kwenye list. Hakuna babu kikongwe mwenye sifa za Yahaya. Njoo shambani kwangu Mabwepande tuvune matango.
 
Last edited by a moderator:
Mi naishi Boko Basihaya jirani kabisa na Fesibuku pub. Karibu sana kaunta ya juu leo ijumaa kuanzia saa 4 asubuhi

Kwani kule tandale kwa nfuga mbwa ulihama? Na ofisi yako ya ukaguzi ipo wapi?
 
Yahaya unaishi,
Maskani yako kinondoni,
Namba ya nyumba haijulikani,
Yahaya yahaya.........
 
Babuuuuu...
Ngoja nkuulize: Mimi na mzee wa celica ( KakaKiiza ) nani Yahaya.... Cc; Paloma na Nivea

Tuanziae hapo tu,
Shikamoo babu.
KakaKiiza sio yahaya ukome kabisa mimi najua anapoishi ,mtaa,nyumba no.,mahali anapofanyia kazi. kwa upande wangu namtetea kakakiiza wangu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom