moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,309
- 1,552
Wanajamvi, Jf ni jamii ya watu wenye tabia, mienendo na taaluma mbali mbali! Kuna mada mbali mbali zinatolewa hapa na watu tunajimwaga kuchangia. Tunawajua matajiri wa hapa Jf, nadhani tajiri wa kutupwa ni Bishanga. Mtu mwenye wake wengi ni Paw, Mwenye vimada wengi ni erickb 52, nadhani umefika wakati wa kumtambua mtu mwenye tabia na mienendo kama ya Yahaya yule anayetajwa katika wimbo wa Lady Jaydee. Mimi yahaya wangu ni Simplicity, nimefuatilia mada zake hapa, ninahakika kabisa huyu ni Yahaya
Karibuni
CC MziziMkavu, watu8, King'asti, lara 1, Wiyelele,
Karibuni
CC MziziMkavu, watu8, King'asti, lara 1, Wiyelele,
Last edited by a moderator: