Shindano: Mr. Yahaya wa jf

Shindano: Mr. Yahaya wa jf

ila huo wimbo wa yahaya unaka ukweli,huku kuna jamaa yangu anaitwa yahaya yaani haeleweki kabisa ni mtu wa kuhama hama
 
Nyie wote mmekosa, mnawaacha chama, thatha, simiyu yetu mnaenda kutafuta yahaya mbali hivo?

Cc. Bethlehem, Candid Scope, Mwita Maranya
 
Bujibuji ndo Yahaya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama mi ndo judge figganigga heri upokee hii tuzo kwa mikono miwili hata kama hupendi.
btw karibu ngano
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom