Tetesi: Shilole kuwa Waziri TAMISEMI 2025-2030?

Tetesi: Shilole kuwa Waziri TAMISEMI 2025-2030?

Nimesha chukua Fomu ya ubunge viti maalumu, na nimeahidiwa wizara ya jamii, jinsia, wazee, na makundi maalumu.

Waziri ajae ni mie.
 
Ikiwa jokete alipewa ukuu wa wilaya na sasa mkuu wa chama kuna ajabu gani tena kwa shilole
 
Tanzania iko hapa sababu wakristo wa Tanzania wamefunikwa blanket nyeusi machoni..mtu kijana au mtu mzima umelelewa kwenye ukatoliki au ulutheri, upentecoste au usabato unatembea na akili zako kabisa kwenda kula chakula mwenye hotel shilole..?? usiposikia kengele ya tahadhari kichwani mwako jua kabisa una blanketi umefunikwa machoni kukuzuia kuona na kutafsiri kiroho usalama wako, maisha yako, imani yako, familia yako na taifa lako..! na hivyo wewe ni sehemu ya utumwa huu unaolifukarisha taifa hili.
Dah!! Kijana wa kanisani nilichelewa kuona ushauri huu ndugu yangu.

Ungemaliza kwa kutuelekeza migahawa ya makerubi na maserafi ilipo tuwe tunaenda.
 
Back
Top Bottom