Tetesi: Shilole kuwa Waziri TAMISEMI 2025-2030?

Tetesi: Shilole kuwa Waziri TAMISEMI 2025-2030?

"Ni lini serikali itafuta usajili wa Yanga?" Alisikika.
Asante Mheshimiwa Spika. Kwa sasa typo kwenye mchakato wa kuomba Mkopo toka benki ya Dunia kujenga Makao Makuu ya Timu ya Tanga pale Jangwani
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Makahaba yanayojiheshimu bungeni,yatavamiwa na makahaba real kabisakabisa.
😹😹😹😹 Hapo chacha!!
Watakutana tit for tat wanaenda wenyewe wenye professional zao..!! 🤣
 
Tanzania iko hapa sababu wakristo wa Tanzania wamefunikwa blanket nyeusi machoni..mtu kijana au mtu mzima umelelewa kwenye ukatoliki au ulutheri, upentecoste au usabato unatembea na akili zako kabisa kwenda kula chakula mwenye hotel shilole..?? usiposikia kengele ya tahadhari kichwani mwako jua kabisa una blanketi umefunikwa machoni kukuzuia kuona na kutafsiri kiroho usalama wako, maisha yako, imani yako, familia yako na taifa lako..! na hivyo wewe ni sehemu ya utumwa huu unaolifukarisha taifa hili.
Kitendo tu cha kusema ukristo tayari wewe ni MTUMWA.
Mtanzania unakuwaje mfuata dini iliyoletwa na ukoloni?
 
1751277756886.png

Watamla nyama!!
 
Back
Top Bottom