Tetesi: Shilole kuwa Waziri TAMISEMI 2025-2030?

Tetesi: Shilole kuwa Waziri TAMISEMI 2025-2030?

Mheshimiwa Zuena a.k.a Shilole anatajwa kuongoza Wizara nyeti ya TAMISEMI kwa kipindi cha Miaka 5 ijayo.

Kila la heri Sishi babe
View attachment 3388803
Malaya na wakaja uchi chimbo lao ni CCM sijui kama watanzania wanajua hili,sasa mabinti kama hawa wanataka kuja kuuambia nn umma wa watanzania,yaani mtu asiye na adabu na mkaa uchi ndio atakuletea maendeleo kweli.
 
Kwa hapa tulikofikia inawezekana kabisa, watu wanataka wasiosoma na vilaza wafanye nao kazi...lakini sio wasomi. Tumekabidhi nchi kwa watu wa hovyo sana yaani
 
Kwa hapa tulikofikia inawezekana kabisa, watu wanataka wasiosoma na vilaza wafanye nao kazi...lakini sio wasomi. Tumekabidhi nchi kwa watu wa hovyo sana yaani
Ndio inavyotakiwa
 
Hii ngoma viongozi wa CCM wanapiga dana dana wameona waisogeze kabisa bungeni waipige vizuri.
 
  • Shilole (Zuena Mohamed)
  • Mwijaku (Burton Mwemba)
  • Baba Levo (Clayton Chipando)
  • Dogo Janja
  • Shetta (Nurdin Bilal Ally)
  • DJ Romy Jons
  • Kobisi (Lumole Matovolwa)
  • Madevu (Stanley Msungu)
  • Steve Nyerere
 
Back
Top Bottom