SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,808
Weww mbona ulivyojiita hilo.jina hatukusema kituTunaelekea wapi? Kweli ndio nchi imefikia Huku?
Uko sahihi. Tuma mwalimu wa kiswahili alihitimu chuo cha ualimu Korogwe lakini kwa sasa ni waziri wa afyaInawezekana maana hii inchi haitaki wasomi
Hata mimi nimesikiaMheshimiwa Zuena a.k.a Shilole anatajwa kuongoza Wizara nyeti ya TAMISEMI kwa kipindi cha Miaka 5 ijayo.
Kila la heri Sishi babe
View attachment 3388803
Unanipa moto sana, namie nna kiu ya kuingia bungeni
Shida yako ni nini?Tunaelekea wapi? Kweli ndio nchi imefikia Huku?
Asante studio!Mheshimiwa Zuena a.k.a Shilole anatajwa kuongoza Wizara nyeti ya TAMISEMI kwa kipindi cha Miaka 5 ijayo.
Kila la heri Sishi babe
View attachment 3388803
TakbiirMheshimiwa Zuena a.k.a Shilole anatajwa kuongoza Wizara nyeti ya TAMISEMI kwa kipindi cha Miaka 5 ijayo.
Kila la heri Sishi babe
View attachment 3388803
Badala ya kukagua gwaride ataaanza kuwaambia skari wetu haaaaaalaah!Alafu naskia Mwijaku atapewa Wizara ya Ulinzi.
Yaaani Askari wetu na Maofisa wa JWTZ wajiandae kumpigia saluti Mwijaku mzee wa Halaaaaaa
Kweli CCM wameiua Tanzania
Ukiingia unipigie nikutazame TBCUnanipa moto sana, namie nna kiu ya kuingia bungeni
Mheshimiwa Evelyn Salt swali la nyongezaUkiingia unipigie nikutazame TBC
"Ni lini serikali itafuta usajili wa Yanga?" Alisikika.Mheshimiwa Evelyn Salt swali la nyongeza