Tetesi: Shilole kuwa Waziri TAMISEMI 2025-2030?

Tetesi: Shilole kuwa Waziri TAMISEMI 2025-2030?

Sasa kama tumeambiwa ccm inapendwa na makundi mengi na ndio maana waliotia nia walikuwa wengi, makundi yametajwa kama mama lishe, bodaboda, vipi makahaba, madadapoa na machangudoa nao walitia nia? Ukweli wapo jumuiya zote za vijana, wanawake, wazazi, wasomi, je nao walichukua fomu? Japo hawawakilishi shughuli zao hizo ila wapo kama wanachama wao
Hayo makundi wamo wengi walichukua form pia, lakini officially hawatambuliki, ila wapo 50% ndani ya CCM, hivyo automatically wamo wengi tu.
 
Back
Top Bottom