Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,361
- 6,893
NCHI INAELEKEA KUONGOZWA KISANII SANII
😀😀😀Mheshimiwa Zuena a.k.a Shilole anatajwa kuongoza Wizara nyeti ya TAMISEMI kwa kipindi cha Miaka 5 ijayo.
Kila la heri Sishi babe
View attachment 3388803
NI kweli, na Yule batuliactressKuna kitu nilisikiaga kuhusu yeye na kiongozi wa nchi, hivi ni kweli ile?
Kama yule Kaluwa, aisee Segerea tulipata garasa aiseeMakahaba yanayojiheshimu bungeni,yatavamiwa na makahaba real kabisakabisa.
Hakuna namna,ndiko tulikofikia.Kama yule Kaluwa, aisee Segerea tulipata garasa aisee
..hata kwa mama lishe barabarani lkn si kwa shiloleDah!! Kijana wa kanisani nilichelewa kuona ushauri huu ndugu yangu.
Ungemaliza kwa kutuelekeza migahawa ya makerubi na maserafi ilipo tuwe tunaenda.
MdomoNI kweli, na Yule batuliactress
yule mjuba katemwaMwijaku apewe uwaziri wa elimu.. Hii nchi imejaa vilaza sana
ushaambiwa ccm ina makundi yote rukhsa kuomba kuchaguliwaBunge la Tanzania limeingiliwa na washenzi sasa, hawa ndiyo wanakuwa vyakula vya wabunge waathirika huko bungeni
mjuba umeambiwa ccm inapendwa na wengi na ina makundi yote ya watia nia na ni rukhsa kuomba kuchaguliwaYani siasa za nchi zikiwa za kimalaya Malaya na nchi ikigeuzwa ya Malaya lazima hayo yatokee na wapumbavu,wanaona ni sawa.
Maelezo haya yanatakiwa viambatishi vya ziada kuyaweka sawa kimantiki.Tanzania iko hapa sababu wakristo wa Tanzania wamefunikwa blanket nyeusi machoni..mtu kijana au mtu mzima umelelewa kwenye ukatoliki au ulutheri, upentecoste au usabato unatembea na akili zako kabisa kwenda kula chakula mwenye hotel shilole..?? usiposikia kengele ya tahadhari kichwani mwako jua kabisa una blanketi umefunikwa machoni kukuzuia kuona na kutafsiri kiroho usalama wako, maisha yako, imani yako, familia yako na taifa lako..! na hivyo wewe ni sehemu ya utumwa huu unaolifukarisha taifa hili.
Huyo ndio Shilole kwani!!??