Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Duh! mbona hiko kipigo Kama anaua mwizi sisi wanaume tuna kwama wapi? Unampiga mtu mzima mwenzako Kama mtoto kweli?shilole anamlisha huyu jamaa haitoshi anampigania mume wake kweli kweli asidhalilike au kuonekana Marioo mbele ya Uma pamoja na yote hayo fadhila yake Ni kipigo sijui sisi wanaume tunataka Nini?
 
Kuna makosa mengi sana tunayafanya wapenzi pale mapenzi yanapoanza,yanakuwa hot sana kiasi cha kwamba unakuta mwenzako ana mapungufu flani lakini unajipa moyo kuwa iko siku atakuja kuacha,ni wachache sana walikuja kuacha tabia zao baada ya kuoana.Ila wengi walibaki nazo na hata kuwa wabaya zaidi,ndio maana kuna usemi unasema kosea yote lakini usikosee kuoa au kuolewa,kwahiyo mtoa mada sio kama tabia ya huyo mwanaume au huyo mwanamke ilianza ghafla from no where,ukichunguza huyo mtu utakuta alikuwa na hizo tabia kabla ya hata hawajafunga ndoa,sema ndio hivyo penzi ni upofu......
 
Kuna makosa mengi sana tunayafanya wapenzi pale mapenzi yanapoanza,yanakuwa hot sana kiasi cha kwamba unakuta mwenzako ana mapungufu flani lakini unajipa moyo kuwa iko siku atakuja kuacha,ni wachahe sana walikuja kuacha tabia zao baada ya kuoana,ila wengi walibaki nazo na hata kuwa wabaya zaidi,ndio maana kuna usemi unasema kosea yote lakini usikosee kuoa au kuolewa,kwahiyo mtoa mada sio kama tabia ya huyo mwanaume alianza ghafla from no where,ukichunguza huyo mtu alikuwa na hizo tabia kabla hata hawajafunga ndoa,sema ndio hivyo penzi ni upofu......
Huyo demu pia nae tabia zake hakuziacha.
 
Hivi kwetu sisi wanaume tunapata wapi ujasiri wa kuoa mwanamke ambaye kachora tatoo kwenye kifua na maziwa! Wanawake wana namna hii hawafai kuolewa kabisa.

Tena uchebe naona kamgusa tu, kwangu angechezea vitasa zaidi muda huu angekuwa katundukiwa drip.
Unapambanaje na mtu ambaye una uhakika hawezi kukurudishia ngumi hata moja? Huo ni udhaifu mdogo wangu. Mwanamke akikuudhi mrudishe kwao akajirekebishe au mrudishe moja kwa moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom