Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Ukiona mwanaume anampiga mwanamke ujue amekasirishwa kiasi ambacho hatamani tena kumwona huyo mwanamke. Mapenzi yanaumiza sana haswa wanaume ndio wanaoumia kupita kiasi kutokana na usaliti.

Sipendi kupiga mwanamke ila sishangai mtu akipiga mwanamke najua maumivu anayopitia na pia ndoa nyingi zinavurugwa na wanawake kuliko wanaume.

Unapooana wanaume wenye ndoa wanakesha baa wanakimbia mengi sana majumbani mwao. Halafu wanawake wanajifanya kama watakatifu sana wakati wengi ni mashetani wanaoishi duniani na kuvuruga sana wanaume
 
Hayajakukuta mzee usiseme hvyo hujui alichokifanya huyo na huenda ukikifahamu unaweza kusema kwann asingemvunja ata mkono. Hawa wanawake hawa nadhan waliooa au wanaoishi na wanawake kwa mda mrefu watakuwa wananielewa
Naelewa mkuu, lakini point yangu specific kwa case hii, dharau anazoletewa bwana uchebe hakutakiwa kufika huku kote, either ukubali kuzaraulika au ubebe vyako uondoke, umarioo sio kitu kizuri mzee.

Btw sio wanaume wote wameumbiwa kupiga wanawake no matter what.
 
Kumekucha kumekucha mi nahisi shilole ndo anakosa, sasa kama kuna mdau hapo anasema shilole huwa analipiwa tiketi ya ndege anaenda mkoani kuna mchizi. Huko huwa anamtivua tope sijui ni ukweli maana wabongo sisi da 🙌
 
Naona watu wanaamua kuonja sumu kwa kuiramba mbaka kwenye ndoa,wazee wa zamani walikuwa wanaangalia CV za familia husika na mchumba mwenyewe kabla ya kuchumbiwa.

Sasa CV yenyewe ya Shilole huko nyuma ni ya hovyo unajipa moyo atabadilika kwenye ndoa,matokeo yake ndio hayo una mnyoosha mtu aliye nyongorota kwa kumpiga mwisho wa siku unaweza kujitafutia kesi ukawapa tabu wazazi na familia yako.
 
Kuoa staa mzigo Hasa Kama huna hela



Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukiwa nazo pia ni shida .... Mwanamke au mwanaume akiwa star kumdate unajitakia matatizo tu

Mike Tyson aliwahi kumfania mkewe kiandani kwake akiwa na brad Pitt

Yaani licha ya u-star wote alionao na mipesa yote wakati huo mike anatamba dunia nzima ---lakini akawa anachapiwa na brad Pitt tena anachapiwa mpaka kwake ....
 
Hamna kitu kigumu kama kum-date mwanamke ambaye ni star ..aisee ni ngumu sana ...

Huwa wanaafunwa mnooo na masponcer so naona uchebe kashindwa kuvumilia ijapokuwa nin a declare kumpiga sio njia sahihi
Nimekuelewa mzee👊🏻👊🏻, hapa aliebugi ni bwana Uchebe, alijua itakuwa rahisi kumtuliza shishi, wakati mgahawa unaendeshwa na masponsor ule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom