Shikamoo Tanesco!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
"Wafanya biashara warudi vijijini. Wanawake saluni waingia uchangudoa".

tanesco.png
 
Na waziri anatoa rushwa ili bajeti yake ipite, looh, na baba rich-one yuko kimya kama vile hayupo kabisa.
 
Yaani ukitaja umeme nasikia hasira sana, kaofisi kangu nakaribia kukafunga jenereta nayo issue, na mfanyakazi/mlinzi lazima umlipe regardless umeme upo au hauopo, yaani hasira kila kukicha, sijui lini tutapona na adha hii!!!!!!!!!
 
Mwandishi kisha piga kikombe cha "babuu"?
Hivi wewe foxy unaishi nchi gani? Maana maneno na kauli zako ni dhihaka kubwa kwa watanzania wanaoteseka na utawala huu wa kidhalimu wa kikwete. Nashangaa wakati wote unaandika comment za kishabiki tu, bila kujali uhalisia wa mambo. Unalala na kikwete nini wewe?
 
labda ni mfanyakazi wa ikulu pande za kwao
normaly hawaelewi shida hii
wkt woote umeme c upo bwana
 
Back
Top Bottom