Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Bamkwe unataka kuni haribia mtoto
Bamkwe mtoto sijamharibu nimemkuta tayari mkuu
Bamkwe unataka kuni haribia mtoto
Wanaingia leo wanajua hadi ku attach photo
Bamkwe mtoto sijamharibu nimemkuta tayari mkuu
Bamkwe mtoto sijamharibu nimemkuta tayari mkuu
Ayaaa! Mungi una kesi ya kujibu!!
Copy: Lily Flower!
uwiii lile sinia la jadi wanalopepeteaga wamelivunja?
marhaba bibie........ hebu sema uzito wako haraka
mke wangu haji huku kuna kazi nimempa
hi hi hi! Mtafungwa nyie mnauliza mpaka uzito.
hata huonekani...jina lako mwanzoni liliandikwa kwa chaki.
Huyu keisha haribu mtoto wangu aisee, nikimfungisha ndoa ya lazima itakuaje hapa?
heee! Baba wa katotoo huna mchezo. Mungi tayari umemtwanga BAN? Hapo watakuogopa ila mie ninajambo la kuteta na wewe kwa nia njema tukiwa wawili tu.nitagaramikia masomo ya mwanao.
doooh! Ndoa ya mkeka hahaha bonge la soo. Nasikia hizi ndoa zipo sana tanga.