pamoja kuwa wengine mnaona hii ni democrasia lakini mimi bado
naona kuna tatizo, hasa kutoka kwa huyo LEMA,
siwezi changia sana ila ili ni tatizo tena kubwa, kama hata dr wa ukweli alikuwa kimya!!!
kwanza hayo magari chakavu kwa nini watu LEMA anayatetea kwa nguvu kuna 10%
huyu ni wa kupiga chini atakitosa chama baharini tena kilindini kabisa
Nadhani hii itasaidia viongozi wa Chadema kufanya maamuzi kikatiba badala ya maoni ya mtu kama ilivyozoeleka.
Wiki iliyopita nilimshauri Dr. Slaa hapa Jamii Forums kwamba ajaribu kutumia vikao vya chama badala ya kufanya maamuzi jukwaani kama ilivyotokea Nzega majuzi. Majibu yake yalionekana kutetea maamuzi yake, lakini ukweli unabaki maamuzi yafanyike katika vikao vya chama na hivyo kama maamuzi yanafanywa kwa uadilifu wa kufuata katiba ya chama hakuna mwenye kumnyoshea kidole fulani na hakuna mwenye kuteleza ulimi kwamba fulani ndiye aliyeamua.
Haya yatokeayo ni ishara nzuri za kujielewa mapungufu na kuweza kurekebisha kasoro ambazo chama cha Chadema wanazo na wanahtaji kufanya kazi. Kujenga chama kiwe imara si kazi ya siku moja.
Wapenzi wa Chadema acheni kushabikia tu hata viongozi wanapoteleza vinginevyo hawatajisahihisha makosa.
Ukomavu ndo kuwa mwazi, kukosoa na kushauri, huko ndiko kujenga chama.
nilishasema tangau hapo awali kwamba CDM ni chama kinachowahada watanzani, wanachokiongea sicho wanachokiamin ,uthibitisho ni huu upuuzi wa kutaka kununua magari machakavu wakati huo huo wanapinga serikali kufanya hivyo hii ni aibu kwa chama kinachojiita chama makinipamoja kuwa wengine mnaona hii ni democrasia lakini mimi bado
naona kuna tatizo, hasa kutoka kwa huyo LEMA,
siwezi changia sana ila ili ni tatizo tena kubwa, kama hata dr wa ukweli alikuwa kimya!!!
kwanza hayo magari chakavu kwa nini watu LEMA anayatetea kwa nguvu kuna 10%
huyu ni wa kupiga chini atakitosa chama baharini tena kilindini kabisa
Zitto kama binadamu yoyote anaweza kuwa na matatizo yake, ila ukweli ni kwamaba mwnyekiti CDM anaipeleka CDM kaburini. Uwezo waka kama mwnyekiti wa chama kikukbwa ni wa kutia shaka mwnye CV yake atupatie ndio mtajua ninachosimami, kama si kosei ndiye mwenyekiti peke wa vyama vyenye wabunge ambae hana shahada ukimwondo mzee kwa kirarachaKwa kweli Huyu Zitto haeleweki, kila controversial ya CDM lazima ahusike. Isije ikawa amepandikizwa kuiua CDM.
Ushirika wa lema na Mbowe utakiua hiki chamaili balaa gani kati ya zito na lema,
duh mbona mapema au mkuu umechakachua hii kitu,
kuna haja ya kuwa makini na kutumia busara, kama haya yanatokea
chama kiko hatarini na hekima ya wazee inatakiwa kukinusuru chama,
na kanuni za chama zinatakiwa kufuatwa, ili zinapokosewa kuna haja ya kuongea kwa kuheshimiana
ila hii habari yako ninaifanyia uchunguzi kama ina ukweli,
CDM hampendi kusikia habari za upande mwingine kuweni wavumilivu hata kama habari husika sio nzuri upande wenuMwenzenu huwa ni mfuatiliaji sana wa vyombo vya habari.Huyu mwandishi wa mwananchi aliyeandika hii habari ni mfuasi mkubwa wa Zitto Kabwe.Ana tabia ya kushabikia migogoro pale anapoona kuna mvutano wa hoja ndani ya Chadema.Nilishangaa kuona gazeti makini kama mwananchi kuandika habari kama gazeti la uhuru,lakini nilipoona mwandishi aliyeandika hiyo habari wala sikuhangaika kuisoma na kuimalizia.Wenye kumbukumbu wakati wa kususia hotuba ya Rais bungeni watafute huyu mwandishi alikuwa anaandika vitu gani kuihusu Chadema kwenye gazeti lake.
Ushauri:Namshauri mhariri wa gazeti la mwananchi awe makini na habari za huyu mwandishi hasa zinazoihusu Chadema.Tunaliamini sana gazeti hili habari za kishabiki zitalichafua hili gazeti....
Mwenzenu huwa ni mfuatiliaji sana wa vyombo vya habari.Huyu mwandishi wa mwananchi aliyeandika hii habari ni mfuasi mkubwa wa Zitto Kabwe.Ana tabia ya kushabikia migogoro pale anapoona kuna mvutano wa hoja ndani ya Chadema.Nilishangaa kuona gazeti makini kama mwananchi kuandika habari kama gazeti la uhuru,lakini nilipoona mwandishi aliyeandika hiyo habari wala sikuhangaika kuisoma na kuimalizia.Wenye kumbukumbu wakati wa kususia hotuba ya Rais bungeni watafute huyu mwandishi alikuwa anaandika vitu gani kuihusu Chadema kwenye gazeti lake.
Ushauri:Namshauri mhariri wa gazeti la mwananchi awe makini na habari za huyu mwandishi hasa zinazoihusu Chadema.Tunaliamini sana gazeti hili habari za kishabiki zitalichafua hili gazeti....
Zitto kama binadamu yoyote anaweza kuwa na matatizo yake, ila ukweli ni kwamaba mwnyekiti CDM anaipeleka CDM kaburini. Uwezo waka kama mwnyekiti wa chama kikukbwa ni wa kutia shaka mwnye CV yake atupatie ndio mtajua ninachosimami, kama si kosei ndiye mwenyekiti peke wa vyama vyenye wabunge ambae hana shahada ukimwondo mzee kwa kiraracha
Mawazo yako ni vinyu. Tafakari tena. Ama una utindio wa Ubongo.pamoja kuwa wengine mnaona hii ni democrasia lakini mimi bado
naona kuna tatizo, hasa kutoka kwa huyo LEMA,
siwezi changia sana ila ili ni tatizo tena kubwa, kama hata dr wa ukweli alikuwa kimya!!!
kwanza hayo magari chakavu kwa nini watu LEMA anayatetea kwa nguvu kuna 10%
huyu ni wa kupiga chini atakitosa chama baharini tena kilindini kabisa
Kama umekubali kuwa Mbowe ana utawala wa kiimla hyo ni sifa amabao si njema kwa chama kinachokuwa, ni vizuri basi mkaitisha uchaguzi mapema ili kuinusuru CDM kwani uwezo wake kwa sasa huendani na majukumu ya cdm( jivueni gamba) kabla ya matatizo kuwaelemea. Inashangaza cdm mna wasomi kibao lakini hili hamlioni .Umekosea Chini ya uongozi wa Mbowe CDM imepata mafanikio ambayo kipofu pekee hataweza kuona, Sipati picha kama Zitto angekuwa mwenyekiti migogoro angekigawa chama kutokana na kukosa dhamira na mapenzi ya kweli aliyokuwa nayo awali, ingawa Mbowe anautawala wa kimla lakini napendezwa na dhamira na mapenzi yake kwa chama na hii yuko sawa kwa sasa kutokana na hali ya chama kipindi hiki ambacho maadui ni wengi tena ndani na nje ya chama
Mbona malumbano kati ya Shyrose na Makamba kwenye UVCCM yalijadiliwa? Kwani CDM yenyewe ni exceptional kiasi gani mpaka taarifa zikitolewa ziwe zinachambua vya kuwajulisha watu na vya kufanya siri?? Acha hizo banaa...!Ujumbe wako unachonganisha watu, wabunge, na wana CDM!! hoja haikukaa vizuri. Ungeishia kusema kuwa Kamati kuu imemuengua shibuda na kumuweka fulani kwa sababu fulani; badala ya kuleta malumbano ya vikaoni ambayo hayana tija na hayaendani na hitimisho la hoja yako uliyoleta. Kwa msingi huo, naiona hoja yako imekaa kimajungu majungu tu NA INALENGO LA KUBOMOA CDM!!!