Shibuda: CHADEMA nifukuzeni muone!

Shibuda: CHADEMA nifukuzeni muone!

source: taifa letu! pili shibuda analolote, ni mloo wa nyama, mpenda posho, anashobo kwa viongozi.
 
All is not lost,

CHADEMA wanaweza kuamua kujifunza katika hili, au kujifanya shingo ngumu na kuendeleza tamaa za viti vya bunge bila tafakari yenye kina. Tunaangalia wateule wao wa ubunge 2015, kama chama kitakuwapo ( katika hi form) 2015.

Wangetusikiliza tuliokuwa tunawaambia huyu bwana ni timebomb tangu mwanzo wala wasingekuwa na matatizo haya sasa.

comrade kiranga,

I agree with you in some extent.Tatizo sio kusikiliza ushauri tu,tatizo liko kwenye ideology and philosophical base ambayo inasababisha cross carpeting during Election,siogopi kusema.hii sio kwa CHADEMA tu ni kwa vyama vyote vya siasa tanzania.CCM walishawahi kuwa in a better position but inaonekana kumbe ni kwa sababu walikuwa chama dola

Kuna mahali nilichangia kwenye thread nzuri sana aliyoanzisha mwanakijiji Kwenye mjadala huu https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...uccess-the-triangle-of-political-victory.html

Nilichangia hivi na ukisoma utaona connection iliyopo na hili pamoja na matatizo mengi ya hali ya kisiasa tuliyo nayo.


Mwanakijiji,

Thank you for your Excellent Analysis,Respect! Let me air my views On Ideological aspect,muda ukinitosha baadaye nitatoa maoni kwenye hizo angle mbili zilizobaki.
I understand the problems you identify,Perharps lack of the triangular-Output front triggers cross carpeting and so on, and once i thought the solution you propose especially on ideological aspect will only muddy up the situation. I have always thought debates on ideology are often propagated by bored intellectuals and self interested journalists. Ultimately, politicians of whatever ideological hue respond to precepts that often do not include ideology.So possibly i was on the wrong side of reasoning.

I have always wondered if the recent crop of new age politicians have ideologies or even understand ideologies that their political parties represent or stand for with the way they are always decamping and recamping as soon as they are not nominated or should i use the word selected to run on the platforms of their respective parties. I remember in the last general elections how our so called politicians were just joining every and any party as long as they were for the Bunge,Udiwani and whatever candidate,some party seceteriats were set up in some of them's homes.

In most developed democracies and even in our earlier political history,political parties had ideological viewpoints,we all know the world view of Republicans and Democrats in the United states,The Labour and Conservative parties in the United kingdom and even of the All India Congress party and Janata (BJP) Party in India.Members of these parties believe in certain principles and this makes up their party's Mandate and Manifesto.

Right now most of our political parties have no ideologies,its anything or anyone goes.I believe the rate of decamping that went on in the last elections just goes on to show that they (the politicians and parties) have no idea of what they actually want out of serving the nation,all they want is to get into power and would use any means to get there.One would wonder why Hilary Clinton did not become a Republican considering the long and hard presidential tussle between Hillary Clinton and Obama, I am guessing this is because she believes in the Democratic ideology of peope welfare as opposed to the Free Market principles most Conservative GOP believe in.I do think out political parties need to go back to the drawing board.

Our politicians have no qualms crosscarpeting simply because their party manifestos are usually very similar. A careful look at will reveal that they are basically composed of (after weeding out the rhetorics of course) the same trash: employment, food education, etc. How they intend to carry out such programs which would formed the basis of their ideologies is lamentably lacking.

The more advanced ideologies, (left wing, right ring, conservatives, liberial, etc ) that marks out a politician and give one an idea of his orientation are clearly alien to our young democracy and needs to be developed over time by a Serious political Party.
 
Ni kwa sababu Membe ana maneno matamu kuliko matendo! Amedai pia kwamba maneno ya uwongo hata kama ni matamu sana hayawezi yakawa ya ukweli! Alisema vilevile kwamba Membe ameshindwa kutumia Jumuiya ya Kimataifa kuwashtaki kwenye Mahakama ya kimataifa ili kuwashtaki waliotuingiza kwenye mikataba mibovu!

... ukisikiliza haya ya Shibuda dhidi ya Membe basi ujue ati Chikawe hayupo mbali na venue.
Source: Kinyanganyiro cha 2015
 
Amesema pia Ukimpeleka mwanamke chongo kwa Membe kwa jinsi alivyo na maneno matamu na ya uongo atakwambia huyo mwali sio chongo! Souce: Shibuda.
hii sasa ndo last resort yaani imefunga kazi..
 
Kama kawaida yake akichangia hoja ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mbunge wa Maswa John Magale Shibuda kaedndelea kutumia nahau zake zinazoelekea kuchuja huku akivurumisha makombora ya Wazi kwa Viongozi wa CDM akidai kuwa kiongozi Giza huogopa Mwanga na kuwa hakubali kukosolewa wala kukubali mawazo ya watu na daima huanzisha kesi kuwapakazia wenzie.Ameongeza kuwa ukomavu wa Ndoa ni misukosuko na kuwa Ndoa yake na Wananchi wa Maswa inazidi kuimarika kwa sasa kwa kuwa yeye Gogo la UDI akichomwa ananukia ili kuwavutia zaidi kwa harufu yake nzuri.My take: HUU ni uchokozi na kuwayumbisha viongozi wa CDM ambao kwa sasa wanatafuta ufumbuzi wa kitendo chake cha utovu wa Nidhamu. Ni vema kauli hizi za leo zikachukuliwa kwa tahadhari huku akipuuzwa kwa jaribio hili ili kutopoteza focus ya mambo mengine ya Msingi katika Chama
Cdm wajifunze kuokoteza shibuda nimakombo ya ccm ninavyo faham chakula kichafu ukila jibu ni maumivu ya tumbo au kuhalisha Tafuteni dawa
 
... ukisikiliza haya ya Shibuda dhidi ya Membe basi ujue ati Chikawe hayupo mbali na venue. Source: Kinyanganyiro cha 2015
Haaaa haaaa! Hebu fafanua hiyo ndoa kati ya Chikawe, Shibuda na Membe! Who is who katika kinyang'anyiro cha Urais, 2015!
 
Tabia hii ya Shibuda ni purely ya mwanamke mpumbavu anayedai talaka kwa nguù toka kwa mwanaume mwenye busara.
 
Yule katibu mkuu wa bunge mstaafu aliyetoa tamko last wik ndie anae muharibia/amemshauri vibaya huyu mbunge wa maswa! Chadema wamtimue!
 
Chadema wanamuogopa Shibuda kwa kuwa wanahofia nyadhifa zao katika chama zilizokaa kikabila na kikanda. Shibuda ni zaidi yao wote kwa siasa, hawamuwezi.
Elimu yako haijakusaidia!kama bado unawaza ukabila ndani ya Cdm mpaka leo!
 
Kama hajakitaja CHADEMA kila mtu anaweza kutafsiri awezavyo! Kwa mfano naweza kutafsiri kwamba kwa kuwa CCM walipambana naye Maswa hawamwezi tena kwa kuwa anapendwa na Wana-Maswa!Unless kama uliingia kichwani kwa Shibuda huwezi kubishana na mimi!

Ndio nakuambia hujamuelewa vizuri Shibuda ww, na Shibuda ana mapenzi zaidi na CCM kuliko hata chama chake. Sasa hapo ndipo utakapo jua Shibuda mliingia choo cha kike Magwanda
 
FF you got it all wrong

I wish I was wrong, lakini have you ever given it a though kuwa Mbowe alipata Uenyekiti kwa vigezo vipi? Ikiwa juzijuzi tuliona magwanda wakisema wamewakataa watu fulani kuwapa Ubunge wa upendelo kwa ajili ya hawajakidhi vigezo, sasa Mbowe ana kigezo kipi cha kumfanya awe Mwenyekiti? zaidi ya kuwa ni Mkwewe mwenyekiti alioachia madaraka.
 
shibuda anatafuta pa kuegema hana llote huyu.....na hawezi kukwepa kama kweli chadema wakiamua kumtosa......

lakini pia hili liwe fundisho kwa chadema...waliambiwa sanajuu ya kumpokea mamluki huyu......tena nakumbuka kiranga na Rev kishoka walikuwa mstari wa mbele lakini chadema haikusikia......hata miaka mitatu haijaisha tayari jamaa anaoneakana kupwaya

Shibuda ni mtu anaejiamni na anajuwa akifanyacho na hakisii, ameonesha baada ya kukataliwa na CCM kwenye kura za maoni, kaingia kwa kinyang'anyiro cha Ubunge kwa kupitia magwanda na kashinda, hiyo inaonesha kuwa ni Shibuda binafsi anaekubalika.

Ni kweli kabisa ni mtu anaejiamini na ana muono wa hali ya juu na hatafuti shortcuts za kisiasa. Amepinga waziwazi hoja ya magwanda ya posho na aliwapinga waziwazi walipomsusia Kikwete, yeye alikwenda kwenye hafla yake usiku huo. Na magwanda hawawezi kumfanya chochote kwani wanajuwa wakimtoa (na hana kosa) ataingia chama chochote na kuwagaragaza magwanda kwenye kinyang'giro cha Ubunge kama alivyowagaragaza Magamba.

Shibuda namuamini. Mnanshangaza!
 
Shibuda hana jipya tunajua ni mamluki tu na ataondoka atake asitake.
 
Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda.
Adaiwa kukutana na madiwani,Arusha wapanga siri.

Source gazeti la taifa letu:ijumaa julai 22- julai 28
www.ippmedia.com

Hizi ni thread za kuchokonoa, wataalam wa mambo ya conflicts stirring and mgt watakuwa wameisha ona long time kuwa CCM itatumia kila mbinu ku-divert focus from their governance failure to CDM's internal fracas. CDM wanatakiwa kuwa na cool heads, wasiruhusu katika kipindi hiki ambacho wana upper hand dhidi ya CCM kuwapatia ahueni. CDM inaweza kumfukuza Shibuda bila ya kumnyang'anya kadi. Shibuda ataendelea kuwa mbunge kupitia CDM bila ya kuwa mbunge wa CDM. Yaani wamuhesabu ni CCM, kila atakachokisema wanakidharau, na akiendelea kuwashambulia bungeni huku akisaidiwa na CCM, wafanye subira. Mchakato wa kumng'oa ufanywe katika ngazi ya kata na maamuzi kuja mpaka makao makuu. Kilichopo ni kwamba CCM inamtumia Shibuda kuwavuruga CDM, na kama kamati kuu itamfukuza basi atafungua kesi, kwa kuwa mahakama ni ya CCM watatumia fursa hiyo kuivuruga CDM strategically.

Upande mwingine CCM inataka kutengeneza mazingira ya kuwatisha wana-CCM watakaotemwa 2015 kuwa kuhamia upinzani hakutasaidia at the same time kutuma ujumbe kwa vyama vya upinzani kuwa kilichoachwa na CCM hakifai. Shibuda ni kama mshumaa hajijui kuwa kuteketea kwake yeye ni kutoa mwanza kwa CCM kuona kwenye giza. Hata kama ameahidiwa kuwa atasimamishwa kulitetea jimbo akifukuzwa CDM, ila anatakiwa kujua kuwa Kampeni zina mambo mengi, na kupoteza muda kufanya kampeni si tu kutampunguzia heshima ila baada ya kufukuzwa CCM wanaweza wasimsimamishe na hata kuwa na la kuwafanya.

Ningekuwa Shibuda ningekaa kimya kwa sasa nikaendelea kuchukua posho na mshahara. Huu mchezo anaoufanya utakula kwake.
 
Wewe ajuza CDM sio CCM iliyooza,huyo mamluki hana lolote na lazima atoke haijarishi ukanda wala utape.

Leo yangapi toka aanze kuwapinga hoja za magwanda wenzake waziwazi mbona hamna mlichomfanya? mtabaki kulalama na mkifanya kwii kwa Shibuda ujue mmeumia kwani Tanzania nzima watajua kuwa magwanda hamna demokrasia. Shibuda kapingana na hoja za magwanda wenzake kwa mantiki ya demokrasia,kaeni mfikiri kwanza, kosa lake nini? msikurupuke mtaumia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom