Shibuda: CHADEMA nifukuzeni muone!

Nipo na wewe Mkuu 100%! Yaani asipofukuzwa atajiona wa maana sana. Huyu alishaonyesha toka mwanzo yupo the magambaz

Kila mtu yuko na uhuru wa kutoa mawazo anavyotaka, lakini uhuru una mipaka yake. Hata wanyama pori huongozwa na sheria za za maumbile (silika) vinginevyo kila kitu kingekuwa kiholea tu.

Chama maana yeke ni watu waliokubaliana kuwa na misingi na itikati zinazofanana, na wanajiweka taratibu na kanuni za kuwaongoza. Lakini mwanachama anapokiuka taratibu na sheria za chama maana yake amesaliti chama na anatakiwa atengwe au kuachishwa.

Mbaya zaidi mwanachama anapojivunia kuvuruga chama akiwa bado mwanachama ni donda ndungu. Kazi yo yote ufanyayo na hata maisha binafsi kuna mtu unatakiwa uwe na unyenyekevu na kukubaliana na yale hata usiyoyapenda, vinginevyo utakorofishana na watu po pote unapolwenda.
 
Yalimsinda CCM akadandia kwa mbele kuja Chadema, wema aliofanyiwa na kurudi bungeni leo amewageuka. Nawapongeza Chadema kutompokea Nape, mambo hawa wawili wangekuwa pamoja wangechafua sana wajihi wa Chadema
 
..Shibuda waliwahi kukunjana mashati na Kikwete wakati akiwa waziri wa mambo ya nje.

..Chadema inabidi wamuache Shibuda afanye na aseme anavyotaka na wananchi watajua pumba na mchele ni upi.
 
....Chadema inabidi wamuache Shibuda afanye na aseme anavyotaka na wananchi watajua pumba na mchele ni upi.
I agree with you, over the last few years, watu wameongea mengi kuhusu CDM. Mara Wangwe, mara ukabila, udini ... Lakini watu wanaona na wanachambua. What doesnt kill you, only serves to make you stronger.
 
Mheshimiwa John Shibuda ananikumbusha sana Chacha Wangwe, sijui kwanini?
Unamaanisha kuwa sasa CCM mnataka mumuue Shibuda kama mlivyomuua Chacha Wangwe kisha muwasingizie CDM? Mnayaweza sana,nikuulize FF safari hii mtatumia staili ile ile ya ajali au mtamteka kama babu yenu wa nchi jirani alivyomfanyia waziri wake wa mambo ya nje? Shauri yake shibuda mwenyewe.
 
Shutuma nzito sana hizo, kwani Chacha Wangwe aliuliwa?
 
Chadema Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Unazi ni sawa kuwa mchawi tena wa wazi wazi!!!!!! Mimi siwezi kusema CCM ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! CCM imefanya mengi ya maana na vile vile baadhi ya makosa hususani ya mikataba ambayo yanaigharimu nchi, hali kadhalika CDM ina mengi ambayo imeishtua CCM kutoka usingizini.
 
Kwa mfano?
 
Chadema wanamuogopa Shibuda kwa kuwa wanahofia nyadhifa zao katika chama zilizokaa kikabila na kikanda. Shibuda ni zaidi yao wote kwa siasa, hawamuwezi.
Shibuda ndani ya CDM ni kama alivyokuwa Makamba (katibu Mkuu wa CCM) kipindi kileeeee!
 
Chadema wanamuogopa Shibuda kwa kuwa wanahofia nyadhifa zao katika chama zilizokaa kikabila na kikanda. Shibuda ni zaidi yao wote kwa siasa, hawamuwezi.
umechemsha, kama ni bingwa wa siasa angekuwa staa ndani ya magamba na sio cdm
 
Kusema ukweli Chadema ilichemsha kumakaribisha huyu mtu kwenye chama...
Sahihi mkuu huyu ni kama VIRUS yaani alipotemwa tu CCM na kuingia CDM na baadae CCM kuprove CDM ni threat kwao basi wakamnunua ili avuruge chama! Na kweli ameanza kwa mbwembwe kweli!
 
Kuna gazit moja nimesoma juzi jamaa alitoa mfano jinsi mama yake alivokua akimwambia mdogo ake kuwa "NAMSHUKURU MUNGU KUNIJAALIA NIKAKUTOA TUMBONI MWANGU KWA MAANA WEWE NI SUMU UNGEBAKI NDANI YA TUMBO LANGU UNGENIUWA" kwahiyo chadema shibuda ni sumu ndani ya chama wamtoe huenda CCM ndo wanamtumia awasambaratishe
 
it is too long since we had a dialogue about comrade Shibuda,it is high time if Chadema Leaders think can get a relief after chasing out Shibuda then let them do it to close his chapter and open another.
 
Back
Top Bottom