FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Lazima kuna mtu ulimpa akili akushikie!
Kama ulikuwepo tena nikamwambia azikomee kwa Komeo!
Lazima kuna mtu ulimpa akili akushikie!
Hapana,
Ndioo, ndioo, ndioo ni mbiu ya CCM kumchagua Ally Mwinyi.
Tunataka watu wanaoweza kuleta migongano ya mawazo kwa nidhamu, ndani ya chama. Na wenye uungwana wa angalau kutokitukana chama kilichowapa ubunge hadharani kama watu wasio fadhila.
I mean ondoa siasa, Shibuda kakosa utu wa chini kabisa, na anaendekeza ubinafsi zaidi kuliko maslahi ya chama wala wananchi.
It was a mistake they shouldn't have made in the first place. Kuna acceptable and unacceptable mistakes. Huyu walionywa sana juu yake. Ila kuona mvuke hawakutaka kuona kuwa sufuria ni la moto waka taka kuligusa wajionee wenyewe. This was simply a matter of politics 101.
sina hahika kama elimu uliyonayo (japo siijui) kama uliipata kihalali, unatarajia kuolewa lini?
Mkuu huwezi juu. Siasa za public na behind the doors ni tofauti sana. Huwezi jua huyo Shibuda ana nini kinacho mpa kiburi. Jiulize kwa nini Chadema mpaka leo hawajamfukuza.
Chadema wanamuogopa Shibuda kwa kuwa wanahofia nyadhifa zao katika chama zilizokaa kikabila na kikanda. Shibuda ni zaidi yao wote kwa siasa, hawamuwezi.
CDM, ni kikundi cha watu kipo kimaslahi zaidi wala akina dhamira ya dhati kuwakomboa Wananchi!
Kama akina Mbowe wangesikia wananchi wanasema hivyo dhidi ya Shibuda, ndipo wangepata ujasiri wa kusema wa kumfukuza Shibuda, CDM wanataka kila mbunge awe mateka wa chama, atii amri hata zile za zisizo na tija na faida kwa wapiga kura, kuna udikteta mkubwa ndani ya CDM
ID yako unaitwa Mangi wewe unadhani kina Mangi wapo chama gani!Angalao umegundua kuwa CDM ni kikundi cha watu! CCM ni kikundi KUNDI la watu lililo na dhamira ya kuiangamiza nchi iitwayo Tanzania kwa masilahi yao na matumbo yao!