Shibuda: CHADEMA nifukuzeni muone!

Na baada ya muda si mrefu, magwanda wataona kuwa Safari hawafai na pia wataona kuwa Lissu hawafai, wee ngoja tu. hapo ndipo watu watajua kuwa hiki ni chama cha kifamilia kwa maslahi ya wachache wanaokubaliana na mwenendo wa familia fulani fulani tu.
 
FF you got it all wrong
 
CHADEMA hapa ilichemsha.

Na kama haikuweza kuonyesha judgement katika kum-screen huyu mercenary, essentially hii inatoa statement kwa CHADEMA kukosa judgement inayotakiwa kwa chama mbadala.

Judging from this fracas, is CHADEMA ready for prime time?
Shibuda is more concerned about his stomach and nothing else wengi waliliona tokea mwanzo but people learn from mistakes i guess this is the one for Chadema to learn.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Ndio cdm walikosea sana kumchukua huyu fisadi kwenye chama shibuda , sasa anawavuruga but naamini cdm ina watu makini na wanajua wanachokifanya, so ataumbuka na hiko fungu alilopewa na magamba aje kuivuruga cdm. hatofanikiwa.tujifunze kuwa makini na watu wanaotoka magamba kuja cdm.anyway we are learning through mistake.
 
mara nyingi nasema siri za chama wanatakiwa kuzijua watu wawili hadi waTANO ndani ya CDM,slaa,mbowe,mdee,mnyika na tundu lisu basi,waliobaki wote hawaaminiki sana..
 
Shibuda huna lolote mropokaji mkubwa! Kama cdm mlenda, wasubiri nini kuondoka? Tupishe hatukutaki, wewe ni kichefuchefu.
 
Shibuda is more concerned about his stomach and nothing else wengi waliliona tokea mwanzo but people learn from mistakes i guess this is the one for Chadema to learn.

It was a mistake they shouldn't have made in the first place. Kuna acceptable and unacceptable mistakes. Huyu walionywa sana juu yake. Ila kuona mvuke hawakutaka kuona kuwa sufuria ni la moto waka taka kuligusa wajionee wenyewe. This was simply a matter of politics 101.
 
Chadema please

neglect and isolate mr. shibuda and also leave him as an MP ... this is what he wanted..... go on with daily routines and don't make news headlines out of hon. shibuda ...... he is a disgraced politician inside chadema

that's all
 
Jamani shibuda ataondoka na chadema itabaki kuwa chadema kwani alikuja akaikuta na ataiacha tutamfukuza na watasema watachoka.
 
professor safari huwa simuamini sana sijui kwa nini...au kwa vile namuona tbc mara kwa mara???
 
CDM wamshachemsha na wanachotakwia kufanya sio kumfukuza. bali ni kuomndoa kwenye ngazi za kiuongozi na kiutendaji ndani ya chama. Abaki kuwa mwanachama wa kawaida na mbunge.

Wamuache ajifukuze mwenyewe
 
Na baada ya muda si mrefu, magwanda wataona kuwa Safari hawafai na pia wataona kuwa Lissu hawafai, wee ngoja tu. hapo ndipo watu watajua kuwa hiki ni chama cha kifamilia kwa maslahi ya wachache wanaokubaliana na mwenendo wa familia fulani fulani tu.

dhambi ya ubaguzi itakupeleka pabaya.
 
Ni ukweli unaofikiriwa na wengi kuwa chadema ilichemsha kwanza kuhusu isue ya madiwani wa Arusha, bora wangepotezea na kuganga mengine, pia suala la Shibuda Slaa hana ubavu nalo na malando anajua kumzungumziazungumzia sana Shibuda ndio mnapa kichwa na uwezo wa kumfukuza na chama kikabaki safi hamna.
Nanukuu"
Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda.
Adaiwa kukutana na madiwani,Arusha wapanga siri.

" mwisho wa kunukuu
 
Chadema wanamuogopa Shibuda kwa kuwa wanahofia nyadhifa zao katika chama zilizokaa kikabila na kikanda. Shibuda ni zaidi yao wote kwa siasa, hawamuwezi.
Wewe ajuza CDM sio CCM iliyooza,huyo mamluki hana lolote na lazima atoke haijarishi ukanda wala utape.
 
CDM wamshachemsha na wanachotakwia kufanya sio kumfukuza. bali ni kuomndoa kwenye ngazi za kiuongozi na kiutendaji ndani ya chama. Abaki kuwa mwanachama wa kawaida na mbunge. Wamuache ajifukuze mwenyewe
Shibuda hana uongozi wowote ndani ya Chadema.
 
Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda.
Adaiwa kukutana na madiwani,Arusha wapanga siri.

Source gazeti la taifa letu:ijumaa julai 22- julai 28
www.ippmedia.com

Huu ni uzushi, Shibuda hajasema hayo uliyobandika hapo. Hata hiyo source uloweka hapo haina kitu.
 
Huyu Jamaa hana influence yoyote iwe katika chama pia katika Jamii zaidi yakuropoka nakuongea pumba, apigwe chini na habari yake itakuwa imeishia hapo.
 
CHADEMA wakimfukuza SHIBUDA watakuwa wamekosea mno Mgongano wa mawazo ndiyo uhai wa chama hasa cha siasa na hizo ndiyo siasa zenyewe Hawawaoni waanzilishi wa CCJ bado wanadumu kwenye.................

Mgongano wa mawazo ni kitu kinachotakiwa katika chama ili kuendelea.

Lakini tofautisha mgongano wa mawazo, na huku kukosa nidhamu kwa wazi kunakoletea mtu kukitukana chama chake kwa lugha ya kejeli zisizo chembe ya uungwana. Gonganisha mawazo kwenye vikao vya chama, sio unaonyesha kiburi cha wazi kabisa na kukifanya chama hostage.

For all we know Shibuda anaweza kuwa anazungumza na rafiki zake wa CCM kuendeleza mkakati wa kukimaliza CHADEMA kwa migogoro, kitu ambacho tulionya tangu day one.
 
Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda.
Adaiwa kukutana na madiwani,Arusha wapanga siri.

Source gazeti la taifa letu:ijumaa julai 22- julai 28
www.ippmedia.com

Shibuda ni mwiba mchungu kwa Magwanda, na yeye ni mzoefu wa siasa za maji taka kama wafanyazo hao Magwanda. Wakimgusa tu, wamejimaliza na Magwanda chama chao tunakizika mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom