wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,226
- 37,574
Bwashee usinichoshe, wewe dunia yako inaishia hapo tu... hata nisipowaona swali langu ni ‘kulikuwa na katazo kuwafuga’.?
Usiwe unapuliza kabla ya kula.
Kikwete huyuhuyu ulioimba kumpeleka the Hague kwamba anabana katibaFuraha yangu ni speech ya kikwete, mheshimiwa alikuwa mwanasiasa kweli anavyoongea tu inaonesha kwanini kipindi chake Tanzania tulikuwa wasimamizi wa migogoro mingi ya Africa. Amekaribishwa tu jkt wanashangilia kweli kweli, halafu anaanza na salamu ya mambohata kama umekunja sura lazima utabasamu.
Nani aliimba Mkuu? Kikwete ni humble sana nakumbuka 2010 niliwahi sikia ndugu Heche kwenye kampeni zake anasema " kikwete kama hajafunzwa na mamaye basi sisi tutamfunza "Kikwete huyuhuyu ulioimba kumpeleka the Hague kwamba anabana katiba
Katazo litoke wapi? Ushamba tu. Hao ndege wako wengi tu huko Sri lanka na India. Kwa kiingereza wanaitwa peacock.Hivi kulikuwa/kuna ‘katazo’ kuwafuga Tausi kiraia.?
Uelewi..kabisa.Maeneo yute ayo ni IkuluSio ikulu kubwa bali yenye eneo kubwa kuliko zote
Give us its benefits to the wananchi.This is a critical step for the new Tanzania we all envision. Moving to Dodoma should be by actions. The words have been spoken long enough. Hongereni wote waliofanikisha, kuanzia awamu ya kwanza mpaka awamu ya tano
Mbona unakuwa mkali sheikh? Rais tuliyenae sasa ni rais wa wanyonge kwahiyo sio vibaya kukaa na wanyonge wenzake kuleChadema kazi yenu ni kupinga tu.Umekosa vyumba huko uswahilini unakokaa.
hahahahahaaaa , . , . , . nimecheka sanaNaona msukuma mwenzangu kaanza kutoa Takrima. Ndege tausi 25 kwa kila Rais mstaafu. Naona kaona aibu maana yeye alishapeleka Tausi kwake Chato muda mrefu tu.
hahahahaaaaaChadema kazi yenu ni kupinga tu.Umekosa vyumba huko uswahilini unakokaa.
Pitia hapo ubungo kwenye flyover nadhani utacnzia vzrNimesoma ulichoandika nikasinzia.