Sherehe za kupongezana CCM - Mnazi Mmoja, Dar


P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,488
Points
2,000
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,488 2,000
Kile chama kichakavu kinazidi kuangamiza kodi zetu kwa kuendeleza sherehe za kupongezana hapa Mnazi mmoja maandalizi yake yamekula zaidi ya milioni 150 mpaka 2015 tutakuwa tumeangamia
 

Attachments:

P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,488
Points
2,000
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,488 2,000
mshomali wa biashara ya meno ya tembo atakuwepo?
Komba yupo kwenye lile gari lilotokana na kodi zetu jasho linamtoka utafikiri vua
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,182
Points
1,250
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,182 1,250
Ingekuwa CDM lazima wangeponda eti hela hizo wanapata wapi??? Sasa sijui wenyewe hela hizo wanazipata wakati nchi ipo msambweni kimapato????
 
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
3,541
Points
2,000
Age
39
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
3,541 2,000
Vipi pilau itakuwepo?
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
39,393
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
39,393 2,000
Ingekuwa CDM lazima wangeponda eti hela hizo wanapata wapi??? Sasa sijui wenyewe hela hizo wanazipata wakati nchi ipo msambweni kimapato????
Hizi pesa wanapata kwenye biashara ya pembe za ndovu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
PICHA IKO UPSIDE DOWN... au CCM IMEANGUKA CHALI?
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,488
Points
2,000
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,488 2,000
Gari ya serikali kwenye mkutano wa chama
image.jpg
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,488
Points
2,000
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,488 2,000
Wamenizuia nisiingie ndani ya uwanja mpaka nivae Shati la kijani ninunue hapa nje
 
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
10,462
Points
2,000
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2008
10,462 2,000
Ma fuso yatakuwa yameenda kuwafuata mbagala gongolamboto na kwingineko ili uwanja ujae!!
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,488
Points
2,000
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,488 2,000
Ma fuso yatakuwa yameenda kuwafuata mbagala gongolamboto na kwingineko ili uwanja ujae!!
Vikundi njaa vya waimba bongo flava ndio wanaingia na minguo Yao yenye Rangi za sumu
 
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Messages
9,381
Points
0
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2007
9,381 0
Fur aha ikizidi sana, mwishowe hua kilio... Dhambi watutendeayo wa Tanzania itakua ni bakora Yao ya 2015
 
G

Greenwhich

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
1,337
Points
1,195
Age
28
G

Greenwhich

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
1,337 1,195
Na watueleze leo uraia wa yule Msomali kiongozi wao.Ni lazima tupambane na ugaidi kwa nguvu zote.
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,553
Points
2,000
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,553 2,000
Hawa jamaa wanakwenda hatua kumi nyuma na piga hatua nane mbele na kushangilia. Hawajui kuwa tayari washapoteza hatua mbili!!!
 

Forum statistics

Threads 1,296,597
Members 498,672
Posts 31,253,287
Top