Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Komba yupo kwenye lile gari lilotokana na kodi zetu jasho linamtoka utafikiri vuamshomali wa biashara ya meno ya tembo atakuwepo?
Jamani hizi picah mbona ziko juu chini au ndio zinaashiria anguko la magamba
Ingekuwa CDM lazima wangeponda eti hela hizo wanapata wapi??? Sasa sijui wenyewe hela hizo wanazipata wakati nchi ipo msambweni kimapato????
Vikundi njaa vya waimba bongo flava ndio wanaingia na minguo Yao yenye Rangi za sumuMa fuso yatakuwa yameenda kuwafuata mbagala gongolamboto na kwingineko ili uwanja ujae!!
Wamenizuia nisiingie ndani ya uwanja mpaka nivae Shati la kijani ninunue hapa nje