Sherehe za kupongezana CCM - Mnazi Mmoja, Dar

... ccm! Hawana hata aibu! Juma hili tumeletewa taarifa ya kusikitisha ya wanafunzi wanaosomeshwa na serikali ya ccm huko Urusi wanavyopata taabu na shida za kila aina, wamefukuzwa kwenye hostel na kukosa chakula, tumeambiwa kuwa wanaangaika pamoja na barozi wetu kuombaomba misaada. JK na mawaziri wake hawana habari, wako M'mmoja wanazitafuna kodi za walala hoi. Wadau kweli hii ni haki?
 
Sasa kurusha mawe ndio kutapeleka dawa wodini au kuzomea ndio kutamponyesha kisukari babu yako?

Umewahi kusikia watuhumiwa wa wizi wa fedha zilizo nje ya nchi wakikana juu ya tuhuma hizo?,usiubadili uzito wa tukio la wananchi kutuma ujumbe kwa Serikali yake na ukafananisha na uzito wa wizi wa fedha zetu kuibiwa na wachache kwa faida ya wchache..
 
Ruzuku gani? Ruzuku ya kuongozana na gari za serikali mkutanoni? Ruzuku ya kutumia TBC bure?

Kaka yangu molemo fuatilia hakuna siku ccm wanarusha matangazo bure nenda tbc ufanye utafiti wanalipia kama watu wengine shida ni kwamba tunashindwa kuelewa kuwa ccm nndo wanadola baadhi ya wanaccm ni mawaziri ni ngumu kujitenga na chama chao kama
 
Ruzuku za CDM zinatumika kukopeshana,kumlipa Josephine kununua albamu za picha za Dr Slaa na posho za house girls wao.

Asante mingoi kwa kufafanua zaidi matumizi ya hili genge na hakika chadema tegemeeni maumivu makali 2015
 
Ruzuku gani? Ruzuku ya kuongozana na gari za serikali mkutanoni? Ruzuku ya kutumia TBC bure?

Kaka yangu molemo fuatilia hakuna siku ccm wanarusha matangazo bure nenda tbc ufanye utafiti wanalipia kama watu wengine shida ni kwamba tunashindwa kuelewa kuwa ccm nndo wanadola baadhi ya wanaccm ni mawaziri ni ngumu kujitenga na chama chao kama
 
The look of young ambitious Tanzanians who are looking for a better future in their lives in a wrong direction. They will end up being used and disposed for their lack of vision and understanding. I can bet that the owner of the Noah must be either a known criminal or has been implicated in crime.

I think the owner of that Noah is Kinana who is the ivory tusks businesman.
 
dar6.jpg
 
Mkuu Precise pangolin
wewe usiogope kuhudhuria wenzako kina Mbowe wanahudhuria sherehe za CCM bila matatizo yoyote

Chama
Gongo la mboto DSM
 
kwahiyo sherehe zote
zinapaswa kufanyika dar, je nikikwambia kuwa wanaogopa kupigwa mawe au
kuzomewa iwapo watafanyia Arusha, mbeya au mwanza nitakuwa
nimekosea...

kaka sherehe za kusheherekea miaka 35 zilifanyika wapi?
 
Back
Top Bottom