Sherehe za kupongezana CCM - Mnazi Mmoja, Dar

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,998
6,659
Kile chama kichakavu kinazidi kuangamiza kodi zetu kwa kuendeleza sherehe za kupongezana hapa Mnazi mmoja maandalizi yake yamekula zaidi ya milioni 150 mpaka 2015 tutakuwa tumeangamia
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    376.5 KB · Views: 254
Ingekuwa CDM lazima wangeponda eti hela hizo wanapata wapi??? Sasa sijui wenyewe hela hizo wanazipata wakati nchi ipo msambweni kimapato????
 
Ma fuso yatakuwa yameenda kuwafuata mbagala gongolamboto na kwingineko ili uwanja ujae!!
 
Fur aha ikizidi sana, mwishowe hua kilio... Dhambi watutendeayo wa Tanzania itakua ni bakora Yao ya 2015
 
Na watueleze leo uraia wa yule Msomali kiongozi wao.Ni lazima tupambane na ugaidi kwa nguvu zote.
 
Hawa jamaa wanakwenda hatua kumi nyuma na piga hatua nane mbele na kushangilia. Hawajui kuwa tayari washapoteza hatua mbili!!!
 
Back
Top Bottom