Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,580
- 14,360
Hiyo ni imani huwezi kuingia kichwa kichwa na ukaelewaNikome mimi na link nimekuwekea, au lugha inakupiga chenga.
Hiyo ni imani huwezi kuingia kichwa kichwa na ukaelewaNikome mimi na link nimekuwekea, au lugha inakupiga chenga.
Ile ilikuwa ni sherehe ya kafara ya kuwachukua wazazi ama watoto jambo ambalo lilifanikiwaMkuu@mshana jr! miongoni mwa mambo aliyowahi kunisimulia mjomba angu!! ambayo sitokuja yasahau ni:- siku moja wakati akiwa lindoni hapo mapangoni lindo la usiku!! alisikia mlio wa ngoma ukiambatana nyimbo ukitokea karibu na shamba(hilo shamba ni la familia fulani maarufu sana hapa kwetu Tz). Huku ile sauti ya ngoma ikikaribia maeneo ya pangoni, mara akawa ameona kikundi cha watu wakiwa uch!!, huku wamebeba mioto, na mili ya wanawake wawili, na vyungu vikubwa!! basi anasema wale watu wakaendelea kuimba!! halafu wakakoka moto na kuinjika vile vyungu viwili katika moto vilivyopata moto sana, vikaanza kuchemka!!! Mwisho wa yote wakatoa mawe katika vyungu viwili vile na kuwalisha wale wanawake wawili, ambao yeye mjomba alituambia kuwa anawafahamu wanawake hao tena walikuwa wajawazito!! waliwalisha mawe hayo huku yakiwa ni ya moto, kuwanyusa na kuwasotea sotea. Mwisho wa yote wale wanawake wakati wa kujifungua mmoja alifariki, mwengine alikufa mtoto akabaki yeye.
Je mshana jr kuna mahusiano yoyote yakulisha mawe na vifo hivyo.
Halafu mjomba tulimuuliza yeye amewezaje kuwaona wachawi alituambia kuwa amezindikwa(zindiko) je kwani dawa za waganga wa kienyeji zina nguvu kuliko za kichawi?
Hiyo ni imani huwezi kuingia kichwa kichwa na ukaelewa
Hiyo battery ilipandikizwa kichawi akiwa usingizini kwa sehemu kubwa, ilikuja kuonekana baada ya zile dawa kuisha nguvu la sivyo ingekuwa ngumu sana kutibikaMkuu mshana jr nafuatilia Uzi kwa makini sana.
Kitambo huko nyuma, enzi hizo mchezo wa netball uko juu sana, dada yng alikuwa star ktk timu yao.
Ghafla alipata maradhi ya mguu, ambao ulimuuma sana. Wazee walihangaika sana na matibabu bila mafanikio. Mara zote hospital walisema hawaoni tatizo.
Sijui ilikuwaje lakini nakumbuka alifanyiwa upasuaji wa mguu maeneo ya kifundo cha mguu, akatolewa battery la radio au tochi likiwa limejaa mafuta km ya nyama ya Ng'ombe!
Maswali:
Naomba kujua, uchawi gn au mbinu ipi ilitumiwa na wachawi kupandikiza lile battery?
Kwa nini waganga wengi walishindwa kuona lile battery?
Waliompasua mguu na kumtoa lile battery wanaweza kuwa ndio wao wao waliompandikiza?
Dada yu hao lkn mpk leo akivaa viatu, kimoja hakimtoshi kutokana na upasuaji na kutolewa battery lile!
Shukrani kwa elimu hii
Kwenye ulimwengu wa kishirikina na kichawi hakuna linaloshindikanaMaana nina jamaa yangu mambo yake yalikuwa hayaendi kabisa ikabd akachungulie upande wa pili,baada ya kufanyiwa shughuli zote alitolewa kipande cha ngozi kwenye maeneno ya kifua na kinailoni ambacho kimefungwa vizuri na waya ndani yake kukiwepo kimfupa,nywele za sehemu za siri kulingana na maelezo ya mtaalam pamoja na vile vikobe vya bahari
Kikubwa mtaalamu alimwambia walimtia nuksi tu katika mambo yake na kuififisha nyota yake..! mshana jr vinawezekana hvyo?!
mshana jr y chumvi na sio sukari???Hapana huu si uchawi bali ni kinga dhidi ya uchawi,ushirikina na wanga
....ogopa sana mtu anaepita kimya,huwezi jua kwenye akili yake amekuchukuliaje,ningekuwa wewe ningesikitika sana!Thubutu, hagusi hapo anaujuwa mziki wangu na anajuwa huo ndiyo ukweli.