Sherehe za kichawi huondoka na roho ya mtu

Sherehe za kichawi huondoka na roho ya mtu

Siku ulipozimishwa halafu yule mzee akaja kukuzindua mambo yote Yalianzia hapo
Asante sana kaka ila kuna kipindi napataga tabu sana hawa usiku jamaa wanakuja speed balaa yaani wakitua nje lazima nijue na kuna muda naweza kubadirisha njia bila kujijua au kuahirisha kabisa safari ila mateso ya usiku ndio huwa makubwa sana vitu kama kwenda kuoga baharini ndio huwa sitaki kabisa na hata mzuka huwa sina kabisa
 
Tumia chumvi na ndimu kuzunguka kitanda na kwenye pembe za chumbani
 
Mshana Jr....nikuite Doctor wa mambo haya...sasa nina tatizo na bosi uchwara hapa ofisini kwangu huwezi kunisaidia mbinu yoyote nimtulize kindumba?maana akili yangu imegota kumvunja miguu kwa gari asije ofisini lkn naogopa kuuwa dini yangu hairuhusu....Nipe zile kali akija ofisini tu aone bahari....awe kipofu akirudi kwake mzima...n.k..please help!
Dunia hadaaa.mwachie Mungu tu
 
Mshana jr. mi naamini uchawi upo ila kitu kinachonisumbuaga sana akili ni je mtu anayechukuliwa msukule mfano kuna uchawi ambao sijui kama siku hizi bado upo.unamuomba maji ya kunywa mbibi kizee anakwambia pita tu uchukue hapo nyuma ya mlango ukisha ingia tu tayari hutoki tena we ndo mwisho wako.sasa swali misukule hua hawajielewi au inakuwa kuwaje wanashindwa kurudi kwao? hapa huwa nakosa jawa
 
Mshana jr. mi naamini uchawi upo ila kitu kinachonisumbuaga sana akili ni je mtu anayechukuliwa msukule mfano kuna uchawi ambao sijui kama siku hizi bado upo.unamuomba maji ya kunywa mbibi kizee anakwambia pita tu uchukue hapo nyuma ya mlango ukisha ingia tu tayari hutoki tena we ndo mwisho wako.sasa swali misukule hua hawajielewi au inakuwa kuwaje wanashindwa kurudi kwao? ha
Haya mambo hufanyika kimazingara kuyaelezea hapa ni ngumu sana sitaweza
 
Nyie wawili nawapendaga Sana, naomba Tu kila siku mrudiane jaman, inaonekana bado mnapendana Sana, uwwiiiiiiiie uchungu mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kumuwinda mchawi ili ummalize unahitaji na wewe kuwa mchawi la sivyo atakuondoa wewe kabla hujamfikia
Huo ushauri unamfaa mtu asiye na uzima wa Yesu Kristo ndani yake. Jina na damu ya Yesu Kristo ni ngome yangu tosha. Huwa nafanya hivi: Kati ya saa 7 hadi saa 8 na nusu usiku napiga maombi kwa nusu saa tu, kwa jina la Yesu napiga ngome na silaha za wachawi dhidi yangu na familia yangu. Ninakaa salama kwa njia hiyo ndugu Mshana jr!
 
BekaNurdin uko sahihi mno lakini kuna wale ambao si waamini kwahiyo wana alternative yao
 
Niulize tuu nitajitahidi kukujibu kadiri ya ufahamu wangu
faida hasa ya uchawi ni nini?maana naona karibu ya 95% ya wachawi na masikini wa kutupwa wengine hata vitanda vya kulalia hawana halafu umeonesha hapo juu utajiri wao ni vinyangara tu au wenzetu wao hawa hustle!
 
Back
Top Bottom