BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Ibada ya sanamu hiyo ndugu Mshana jr. Labda kwa mkristo jina anaweza kufanyia kazi ushauri wako!Haina shida kabisa
Ibada ya sanamu hiyo ndugu Mshana jr. Labda kwa mkristo jina anaweza kufanyia kazi ushauri wako!Haina shida kabisa
Sijawahi kuona faida za uchawi ni sawa tu na ilivyo kwenye madawa ya kulevya...! Hakuna faida...hupati chochote cha maana hukofaida hasa ya uchawi ni nini?maana naona karibu ya 95% ya wachawi na masikini wa kutupwa wengine hata vitanda vya kulalia hawana halafu umeonesha hapo juu utajiri wao ni vinyangara tu au wenzetu wao hawa hustle!
Nakumbuka post za mwanzoni kabisa tulilijadili sana hili ....kimsingi sio wasiovaa nguo tu bali kuna viumbe wa kila aina huko barabarani ambao kwa macho yetu haya ya kawaida tunawaona ni binadamu kumbe sio...kariakoo ni eneo mojawapo lenye haya mambo kwa wingi sana na kule ferriMkuu hivi ulishawahi kuelezea kuhusu wale wachawi wanaotembea uchi bila kuonekana yaani watu wengine tunamuona ana mavazi lakini kumbe yuko uchi.
Hawa hukombolewa kiimani tuu la sivyo atafute mrithi na kafara la kujitoa lifanyikeDaaah! Hapana aisee haya makitu mpaka mwili unasisimka, Mshana na wale wanapewa mauchawi wakiwa watoto kuna uwezekano wa kujitoa pindi mtu anapokuwa mtu mzima anajitambua.
Hao ndiyo visusio vya wachawi. Wanadakwa kilaini! Pole yao, bora wangempokea Yesu kuwa Kiongozi wa maisha yao awalinde na uonevu wa wachawi.BekaNurdin uko sahihi mno lakini kuna wale ambao si waamini kwahiyo wana alternative yao
Ahsante mkuu na ninakufuatilia kwa karibu sana.Nakumbuka post za mwanzoni kabisa tulilijadili sana hili ....kimsingi sio wasiovaa nguo tu bali kuna viumbe wa kila aina huko barabarani ambao kwa macho yetu haya ya kawaida tunawaona ni binadamu kumbe sio...kariakoo ni eneo mojawapo lenye haya mambo kwa wingi sana na kule ferri
Kumuwinda mchawi ili ummalize unahitaji na wewe kuwa mchawi la sivyo atakuondoa wewe kabla hujamfikia
Wanakufa sana lakini hufanyiana wenyewe kwa wenyewe kuna post yake hapa jamvini kuhusu hiloWachawi hawawezi kulogwa na wao wakafa ?kulogwa na binadamu hasiemchawi mfano naenda kwa mganga kumloga mchawi ili adhulike kwa kua ananifanyia ubaya
Wanakufa sana lakini hufanyiana wenyewe kwa wenyewe kuna post yake hapa jamvini kuhusu hilo
Duu mwana nawe unayaweza hatari