Sherehe za kichawi huondoka na roho ya mtu

Sherehe za kichawi huondoka na roho ya mtu

Uchawi upo tena kwa wingi ila chamsingi ni kumkili yesu kuwa ni mwokozi wa ulimwengu wote.
 
haya mambo yanapata nguvu kwa sababu watu hawajampa Yesu nafasi katika maisha yao, maana Yesu Akipewa nafasi katika maisha yetu wachawi watatafuta kazi nyingine za kufanya.
 
Inakuaje serikali haiamini uchawi lkn kwenye ofisi nyingi za serikali wafanyakazi hutumia uchawi kama kinga zao makazini,
Vilevile kwenye mahakama zetu ziko kesi nyingi sana zinazohusu uchawi lkn hazitupwi nje au hazifutwi kwa vile serikali haiamini uchawi,
Ivi uchawi ukihalalishwa hauwezi kutumika kwenye maswala ya maendeleo? Kama vile usafiri wa haraka, kuzia ajali, kuwabaini wakwepaji kodi na watoa rushwa na wapokea rushwa, kuwabaini mafisadi,?
(Kaka mshana Jr karibu)
 
Kwa watoto waki Darsalama kwao waoni maruweruwe , ila kwetu sisi watoto tulio lelewa na bibi , shamba..kwetu sisi tuki sikia haya wanayo ya andika wakina jr mshana na jichawi , tuna kumbuka kitu fulani hivi kilicho tokea , huko nyuma nandio maana , kila nikisoma huwa nina bakina jibu badala ya swali mana teyari nilikuwa nina swali na swali langu nilikuwa niki litafutia jibu .. bila yakujua ninani mwenye jibu , unapo lipata jibu ... una kumbuka swali alafu una ishia kusema tu! Ohoooo! Kumbe ndio maana 😛sikuile ilikua vile.
 
Tumia chumvi na ndimu kuzunguka kitanda na kwenye pembe za chumbani
Ndimu na chumvi unaziweka VP kitandani Mkuu!fafanua zaidi.....kuna safari yangu moja nakaribia kwenda huko naskia kuna watega mabomu balaaa....nataka chkua tahadhari+defence
 
Inakuaje serikali haiamini uchawi lkn kwenye ofisi nyingi za serikali wafanyakazi hutumia uchawi kama kinga zao makazini,
Vilevile kwenye mahakama zetu ziko kesi nyingi sana zinazohusu uchawi lkn hazitupwi nje au hazifutwi kwa vile serikali haiamini uchawi,
Ivi uchawi ukihalalishwa hauwezi kutumika kwenye maswala ya maendeleo? Kama vile usafiri wa haraka, kuzia ajali, kuwabaini wakwepaji kodi na watoa rushwa na wapokea rushwa, kuwabaini mafisadi,?
(Kaka mshana Jr karibu)
Kuna unafiki na mkanganyiko mkubwa sana kwenye hili hili la uchawi halina tofauti na lile la kusema Zanzibar si nchi bali ni sehemu ya muungano wa Jamhuri ya Tanzania (Tanganyika? )
Kama kuna watu wanaupa uhai uchawi ni viongozi serikalini tena wa kada zote...majukwaani wanaupinga kwa nguvu zote wakishuka hapo ni safari za Bagamoyo Msata Zanzibar na kwingineko kwenda kutafuta kinga na kuangaliwa mambo yao
Ishu ya uchawi haina tofauti na rushwa yametumika mamilioni ya pesa za walipa kodi kuchapa vipeperushi na stika zilizobandikwa maofisini vikielezea ubaya wa rushwa lakini haohao viongozi ndio wapigaji no moja
Hoja yangu;
Kuna uchawi wenye manufaa.. hii ni sayansi ya kizamani isiyo na ithibati, tunaweza kuunda baraza/kitengo cha kudili na hii kitu kufanya uchambuzi makini na kuangalia lipi linafaa kwa jamii na halina madhara na lipi halifai kwa matumizi ya jamii
BTW uchawi ule wa asili unapotea kwa kasi kubwa na kuibuka kitu kinachoitwa morden wizardry, hii ni colabo ya uchawi wa kale na mambo ya kishetani ambayo nayo yameshamiri sana sasa hivi duniani
Changamoto iko hapo kuutambua uchawi ni kumkubali shetani na mambo yake..tena huu uchawi wa kisasa ndio mbaya kabisa. sasa nchi yetu ni ya watu wenye dini na imani zinazomtambua Mungu mmoja, hapa ndio penye mkanganyiko mkuu
 
Ndimu na chumvi unaziweka VP kitandani Mkuu!fafanua zaidi.....kuna safari yangu moja nakaribia kwenda huko naskia kuna watega mabomu balaaa....nataka chkua tahadhari+defence
Chumvi kuzunguka kitanda vipande vya ndimu kwenye michago..uwe makini hiyo ni kama panadol tu ya kutuliza homa wakistukia hilo na kama wameamua watakujia na mziki mwingine mnene zaidi
 
Chumvi kuzunguka kitanda vipande vya ndimu kwenye michago..uwe makini hiyo ni kama panadol tu ya kutuliza homa wakistukia hilo na kama wameamua watakujia na mziki mwingine mnene zaidi
Hahahahahaha
 
Heshima kwako@mshana jr, kuna dawa moja hapa nataka unikumbushe kidogo kama utakuwa unaijua ile ya kumvuta mpenzi aliyekimbia, ambayo unatumia kitambaa cheupe cha(bafta), kinda la njiwa manga na kibatari, halafu unamchinja yule njiwa na damu yake inatumika kuandikia kwenye hicho kitambaa... karatasi yenye maelezo ya dawa hiyo kwenye hiki kitabu changu limepotea!! naomba unisaidie kaka
 
Ina tafsiri pana sana lakini kwa muktadha wangu naweza kusema ndio
Nimeuliza hivyo kwa sababu kama umestaafu hiyo kazi na ukabaki ivoivo bila ulinzi wowote na uandike habari za JF wasingekuacha hai
Ungekua nyama yao
 
Nimeuliza hivyo kwa sababu kama umestaafu hiyo kazi na ukabaki ivoivo bila ulinzi wowote na uandike habari za JF wasingekuacha hai
Ungekua nyama yao
Kwa hayo niliyofanya na huko nilikopitia hata bila wokovu hakuna mchawi yeyote angeweza kunigusa
 
Kweli YESU ni mwanaume wa wanaume.anatufunika kwa wingu la moto na jeshi la malaika wa vita tena wenye silaha kali,hata tunashindwa kuyajua hayo maana si msaada kwetu.

NINAKUSHUKURU YESU WANGU KWA NEEMA ULIO NIPA NA INAYOFANYA NIISHI KWA AMAN NA UHURU.

NAKUOMBA MUNGU UISHIE MILELE NIPE NEEMA NIENDELEE
KUKUTUMIKIA NA NIKUISHIE WW
SIKU ZOTE ZA MAISHA YANGU HAPA DUNIAN.AMINA
Amina
 
Back
Top Bottom