Mshana jr unanitishaaaaaaa ww?
mimi nafurahia na kwa kweli na enjoy na kujifunza mengi. its like a nice movie. ngoja niongeze bando nisikose uhondo
Mshana jr unanitishaaaaaaa ww?
Nimestaafu ndugu yangu Mkendo lakini wale wanaobisha kuwa hakuna uchawi mpaka povu linawatoka wakawatafute hao walimu wayasikie direct toka kwa wahanga wenyeweMkuu na yale mambo yaliyowapata Walimu kule Pwani vipi Mh,Ndalichako kawapa likizo wakapumzike kisaikolojia wakae sawa maana wanapigwa bakora usiku ,mara wanachanjwa mwili mzima ,mara wanalazwa nje ya nyumba zao ,Mwl Mkuu kakubali yeye yamemkuta mengi ikiwa ni pamoja na kuzungukwa na Nyoka wengi kulazwa nje kupigwa bakora lakini ilikuwa siri yake walimu wasije kimbia kituo cha kazi huwezi kwenda kuwasaidia maana hali ni mbaya huko.
Subir kidogo dada, anakuja kukufafanulia hapaWashirikina wa Kanisa la Kiroman (Roman Catholic Church) wanakula damu na nyama za watu kila siku. Inaitwa "eucharist".
Catholic ‘cannibalism’ – CRUX
Kaka mshana jr mie naomba uniambie kipindi flan nikiwa mdogo niliwahi kuzimishwa katika mazingira ya kutatanisha kwa muda wa masaa kama manner hivi akaja Mzee ndio akaniokoa maana nilizirai na yule Mzee aliniokoa maana ilikuwa anapita tu na yeye ni mganga kwa pale kijijini akadai ile sawa ilitoka kwake kimakosa na hakujua sasa toka hapo nimekuwa nikilala usiku akija mchawi lazima niamke na sometimes huwa mpk nawaona ila siwaoni sura vizuri ila naweza kujua kama huyu ni mwanamke au mwanaume na kipindi nikiwa mdogo walishawahi kuja wataalamu kutengeneza mazindiko ila wrote kila wakitaka kunichanja chale walichemka kwa hiyo wakawa wananiacha tu mambo kama haya yanakuwa hawa nini?View attachment 334950Kuna mfanano wa ajabu kati ya wachawi na dini ya mashetani, nao ni kutumia nyama ya binadamu na damu yake kwenye sherehe na makafara yao na sababu kubwa ni kupata ujasiri nguvu na kujiamini
Tofauti yao ni moja tu kwamba wakati ya kishetani yakifanyika live ya kiuchawi hufanywa kimazingara, kwamba mtu ataumwa ghafla ugonjwa usioeleweka kisha atakufa, kwa mashetani mtu atatekwa na kwenda kuuliwa na huku haijalishi ni nani bali ni yeyote yule atakayepatikana
Kitu kimoja kibaya sana kwenye sherehe za kichawi ni kwamba kama mko wachawi saba itabidi kwa miaka saba kila mmoja atoe nyama ya sherehe kwenye sherehe za mwaka na nyama hiyo ni ndugu yako yeyote unayempenda sana
Ukikosa kutoa nyama kwa miaka miwili mfululizo jua mwaka wa tatu wewe ndio utakuwa nyama ya sherehe , na kila mwaka unaotoa nyama unapanda daraja au cheo
Tunazo shuhuda nyingi sana humu zinahusu watu waliotolewa kafara la sherehe na ndugu zao ambao ni wachawi, hiki ni kipengele kimoja kibaya sana kinachoufanya uchawi uchukiwe na kupigwa vita kila mahali
Kuna watu wengi sana wana hamu ya kujifunza uchawi na ushirikina lakini huko hakuna mkate na siagi, huko kuna maagano na viapo ambavyo vinawatesa wengi....si wachawi wote wanafurahia kuwepo huko wengi wanatamani kutoka lakini inakuwa ngumu , wengi wameteketeza ndugu si chini ya watano kwenye makafara na sherehe za kila mwaka...damu yao inawadai hawana amani hawana furaha na ni watu wa mashaka muda wote
Je bado unatamani kuwa mchawi? Tafakari mara mbili View attachment 334953
Ulifanyiwa zindiko na ndio hilo linalokubeba mpaka leoKaka mshana jr mie naomba uniambie kipindi flan nikiwa mdogo niliwahi kuzimishwa katika mazingira ya kutatanisha kwa muda wa masaa kama manner hivi akaja Mzee ndio akaniokoa maana nilizirai na yule Mzee aliniokoa maana ilikuwa anapita tu na yeye ni mganga kwa pale kijijini akadai ile sawa ilitoka kwake kimakosa na hakujua sasa toka hapo nimekuwa nikilala usiku akija mchawi lazima niamke na sometimes huwa mpk nawaona ila siwaoni sura vizuri ila naweza kujua kama huyu ni mwanamke au mwanaume na kipindi nikiwa mdogo walishawahi kuja wataalamu kutengeneza mazindiko ila wrote kila wakitaka kunichanja chale walichemka kwa hiyo wakawa wananiacha tu mambo kama haya yanakuwa hawa nini?
Sijakuelwa hasa kwenye kusema nilifanyiwa zindiko wakati kiukweli sijawahi kufanyiwa na kwa sasa mie ni mkristo vitakinzana vipi hapo?Ulifanyiwa zindiko na ndio hilo linalokubeba mpaka leo
Sijajua imani yako ya sasa lakini kuna siku vitakinzana
Duh wewe nomaMshana Jr....nikuite Doctor wa mambo haya...sasa nina tatizo na bosi uchwara hapa ofisini kwangu huwezi kunisaidia mbinu yoyote nimtulize kindumba?maana akili yangu imegota kumvunja miguu kwa gari asije ofisini lkn naogopa kuuwa dini yangu hairuhusu....Nipe zile kali akija ofisini tu aone bahari....awe kipofu akirudi kwake mzima...n.k..please help!
Nyie wawili nawapendaga Sana, naomba Tu kila siku mrudiane jaman, inaonekana bado mnapendana Sana, uwwiiiiiiiie uchungu mimiDuu mwana nawe unayaweza hatari
ni kumroga tu hakuna namna tena ...nimechokaDuh wewe noma
Simama na Mungu wako damu yake isije ikakurudia ukimkaribisha na kumsikiliza shetaniMshana Jr....nikuite Doctor wa mambo haya...sasa nina tatizo na bosi uchwara hapa ofisini kwangu huwezi kunisaidia mbinu yoyote nimtulize kindumba?maana akili yangu imegota kumvunja miguu kwa gari asije ofisini lkn naogopa kuuwa dini yangu hairuhusu....Nipe zile kali akija ofisini tu aone bahari....awe kipofu akirudi kwake mzima...n.k..please help!