Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Nimesema hebu kamuulize bi mkubwa wako kama hajawahi kupigwa kofi na mzee wako. Hata kama hujaona akipigwa ila ujue hiyo ishawahi kutokea, ndoa si rahisi mnavyofikiria ndg na hata tungekuwa tunaweza kuoa dada zetu still tungekosana na kupigana ndani wakati mwingine.
Ukiwa mwanaume kamilifu kupigwa kofi na mkeo ni jambo la kawaida sana. Sisi wanaume tunamaudhi sana ujue. Na mwanamke kukupiga kofi si kwamba anakusudia
 
kilichokea sio mamabo yake mkuu mwanaume kucheat ni jambo la kawaida huo ndio uanaume ilaa kusahau yote na kutukana wazazi wangu hiyo ndo imeumiza saana familiaa bora angemtukana mkewe kwa sababu hayatuhusu ila katukana


Sawa i can undestand it hurts mtu akikutukania familia yako au hata angemtukana mkewe mbele yako ingekuuma vile vile
ila kumbuka kua kila mtu amelelewa na malezi yao anakotoka,na wengi waliokua na shida huinama lakini wakishapata hujifanya kama vile hawakusaidiwa na jeuri nyingi, asikuumize kichwa sana chukulia hiyo kama changamoto za maisha
achana nae na mdharau moyoni mwenyezi mungu ndio hakimu wa waja wote pumzi ndio inamfanya mtu ajione hakuna kama yeye sasa elekezeni kilio chenu kwa mwenyezi mungu,na bila kusahau hakuna dawa nzuri kama ukikaa kimnya..
 
Najua inauma lakini mtoto wa kiume kuingilia mahusiano ya dada yako namna hii uwe mwangalifu. Utajisikiaje baada ya miaka miwili kumkuta dada yako ana ujauzito wa shemeji yako huyu, wameshaongea wameyamaliza.
 
Mkuu weka akiba ya maneno. Dadako Kishaingia Kwenye Kundi La Masingle Mama, Ambao Uwezekano Wa Kupata Mume Wa Ndoto Zao Ni Mdogo Mno (0.0000001%). Mume Wa Ndoto Yake Alikuwa Huyo Shemeji Yako Ndo Maana Akamtengeneza Toka Umsukule Mpk Uhandsome Boy.
Kwakuwa Tayari Wamezaa Nakuhakikishia Watarudiana Tena Ama Kama Mke Na Mume Au Mchepuko

Dadako Atakuwa Akimuangalia Mtoto Anaona Romantic Features Za Jamaa Na Kisha Dadako Atakuwa Akipata Mzuka. Hiki Ni Chanzo Kikuu Cha Dadako Kumtafuta Tena Jamaa.
 
Duuuuu....hapa ndo pale mtu anaona bora kumfadhili mnyama kuliko mwanadamu..... anyway tunasubiri part II ya hiii movie.....
 
Baado mdogo sana,, acha kuingilia mapenzii ya dada yako,, huwez jua kwann imekuwa hivyo,,, unauhakika yeye aliko hana bwana?? Jiulize,, mwachie dada
 
Kwa kweli inauma sana bora ww dada yako kdogo amesimama na ana shughuli zake za kumuingizia kipato mie dada yang kawa kama zuzu anakaa ukwen huko amechoka mpaka basi mm nmebak namwangalia tu nmepanga cku nimwambie ukwel.
 
Wacha ujinga..Mipasho yote kisa Dada kapigwa au kaletewa mke mwengine uliongea na Dada yako kama kagoma kutoa Papuchi?
KIELE ELE cha Dada ako utakuja kupata aibu Dogo hawa mabint wana akili za kipunguani embu vuta picha..
Unadai alikuwa ana kitu
Ajui kuvaa
Hata nguo za ndani mnamnunualia..
Jiulize alichokuwa anapewa Dada mpaka Familia nzima mkatoa ofa ni nini?
 
mmmh mbona kama zimetumika fasihi humu ndani? hii story ukiisoma kibange bange huielewi huyu mtoa mada ana maana zaidi ya moja
 
Kaka wewe una matatizo kwenye kichwa chako. Yaani mtoto wa kiume unakuwa kama mdada acha hizo, unadhani maisha ya ndoa ni mepesi? kama dada yako alikuwa anamnyima unyumba utajuaje?
umekurupika nao,naomba usome ueleweee sijakurupuka dada angu ni zaidi ya chochote bro so kama nyie mpo wa mafungu ni nyie sisi kwetu tupo wawili na still bado wazazi wanatuhitaj so sio rahisi dada angu ateswe na mtu tuliomlea wenyewe alafu mseme kuwa hiyo ni ndoa hapo tunasema ni ujinga
 
Nimesema hebu kamuulize bi mkubwa wako kama hajawahi kupigwa kofi na mzee wako. Hata kama hujaona akipigwa ila ujue hiyo ishawahi kutokea, ndoa si rahisi mnavyofikiria ndg na hata tungekuwa tunaweza kuoa dada zetu still tungekosana na kupigana ndani wakati mwingine.
kupigwa kofi hayo ni mambo yao binafsi ila kukutwa na mke mwingine ndani ilhali mkeo ana mtoto wa mwaka mmoja alafu unaulizwa unaanza kutukana kwa kweli mimi binafsi siwez vumiliaa familiaa yangu itukanwe labda ukute ulilelewa na ndugu ila sio wazazi
 
Back
Top Bottom