Atakuwa under 18 huyuMkuu nahisi wewe ni below 25, am I wrong?
Kwa taarifa yako dada ako atarudi kwa mumewe siku si nyingiaiseee ka aliyoyafanya mpaka kutukana wazazi wangu sio rahisi aiseee na dada angu haitakaa itokee tena ndo tushaamuaa nando anaanza kufuatiliaa talaka kanisani
Hongera mkuu kwa malengo yako kutimia, sasa na dhani ni mda mwafaka wa wewe kumtafutia dada ako mume mtakayempendasa hapo unawashauri nini kwana hatukumpenda katutafutiaa sababu ya kumkataa mwanaume gani hana shukrani
kilichokea sio mamabo yake mkuu mwanaume kucheat ni jambo la kawaida huo ndio uanaume ilaa kusahau yote na kutukana wazazi wangu hiyo ndo imeumiza saana familiaa bora angemtukana mkewe kwa sababu hayatuhusu ila katukanaPole sana mkuu una seem kuumizwa na hili jambo sana which i can understand,lakini kumbuka huyu ni shemeji yako na hujui dadako amependa kiasi gani,kuumia ni sawa lakini usivuke mipaka, muungwana sikuzote akivuliwa nguo hasimamami wimaa,na pia mwenyezi mungu anasema unapotoa na kulia basi mkono wa kushoto usione,haina haja yakumsema mwechie mwenyezi mungu malalamiko yako yote.
Sasa ww maswala ya dada yako na shemeji yako yanakuhusu nn,walitongozana ulikuwepo?unatupigia kelele humu na je wakipatana waludiane ww utabak kundi gan?kumbuka hili.,watu wakiombana msamaha wakiwa wamevaa nguo ni ngumu sana kusamehana lkm watu wakiombana msamaha wakiwa uchi ni fasta kuludiana,sasa ww jifanye unaingilia maoenzi ya dasa yako uje ukione cha moto wakiludiana
atapata mkuu as longer as she is beatiful na sio dependant na anajielewaa wanaum,e wapo wengi mkuu ila sio huyo wa kumtoaaa from zero to hero alafu alete ujingaHongera mkuu kwa malengo yako kutimia, sasa na dhani ni mda mwafaka wa wewe kumtafutia dada ako mume mtakayempenda
Dada yako bado ana hasira akituliza akili atafanya maamuzi ya busara na uenda akajisongesha kwa mmewe.ana mawazo haya haya na yeye ndo hataki hata kumsikiaa manake alikuwa haamnini ila alikuja kumkuta huyo mke mwingine ndani ndo ikawa mwanzo na mwisho
sio rahisi na haiwez tokea mkuu labda kama hujawahi kutukaniwa wazazimwisho wa siku utamuona dada yako kajirudisha tena kwa mkurya mwenyewe, sometimes mapenzi hayatakaji jokes
Ila mi niliwahi kuwaambia wadogo zangu, yani siku ukiwa na boyfriend sijui akanyanyua mkono kukupiga..walai kama unampenda sanaaaa basi hakikisha sifahamu la sivyo sitojali ni baunsa kiasi gani ila nita deal na yeye sawia!!!
Somehow nakuelewa..ila ndo maisha...think positively, kila jambo lina jema lake! (ingawa ni ngumu kukubali)
Inabidi wewe ndio umtafutie mume atakaependwa na familia yenu. Ukimuachia dada yako jukumu la kujitafutia mume, anaweza pata ambaye familia haitampendaatapata mkuu as longer as she is beatiful na sio dependant na anajielewaa wanaum,e wapo wengi mkuu ila sio huyo wa kumtoaaa from zero to hero alafu alete ujinga
kwa sasa ni goodbye forever hawez na haitatokea imagine mtu kisa dadaa ngu kahamishwa kikazi yy kawekewa mpaka wadada wawili wa kazi akaamua kuleta na mwanamke ndani mwingine
ha
hapana aisee kwa hili haitawezekana trust me yan mwaka mmoja kashakaa na mwanamke mwingine na ana mimba tayari while wa dada angu ana mwaka alafu bado tumsamehe?alikuja akasema hanaga wazazi alilelewaa kama mtoto dada angu hawezi tena kapata kai nzuri but hajatupunguzia kitu zaidi ni kuwa kampiga teke chura my sisy bado mzuri aiseeeee
Mumsamehe? Kwani mliolewa wote?ha
hapana aisee kwa hili haitawezekana trust me yan mwaka mmoja kashakaa na mwanamke mwingine na ana mimba tayari while wa dada angu ana mwaka alafu bado tumsamehe?alikuja akasema hanaga wazazi alilelewaa kama mtoto dada angu hawezi tena kapata kai nzuri but hajatupunguzia kitu zaidi ni kuwa kampiga teke chura my sisy bado mzuri aiseeeee
Aisee kamuulize mama yako kama hakuwahi kupigwa hata kofi na baba yako, ndoa si mchezo kijana. Si kila anayempiga mke wake kofi huwa anapanga mengine yanatokea tu ndani ya hasira. Sidhani kama una mke huenda bado unaruka na vichenchede vya mjini. Kukosana ni matokeo ya kuishi halafu kumbuka kama utajifanya kuongoza familia ya dada zako kwa remote control basi jiandaye kuwafanya wake zako.
Unaona ajabu?Ulishawahi kupigwa kofi na mkeo?
Unaona ajabu?
Shemeji Iv Vitu Ulivyo Viongea Vimenigusa sanaHabari wanaJF,
Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza.
Kwako shemeji Mkurya,
Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu yupo kwa ulichomfanyia dada angu. Nataka nikupe taarifa tu kuwa alopewa kapewa na kama kikitoka kimoja huwa vinarudi zaidi ya kumi.
Baada ya kumuoaa dada angu ukakaribishwa home ukawa unalelewa zaidi ya mimi mdogo wa mtu. Familia yetu ilikutunza kama mtoto mchanga mpaka vocha ukawa unanunuliwa ila shemeji shukrani huna, ulijivika ngozi ya kondoo dada angu kakuogesha ukatakata na sasa una shine mjini umejisahau.
Wewe wa kumletea dada angu mke mwingine ndani wakati nyumba ni ya dada angu na kila kitu ni cha kwake? Yaani aiseee ulichokifanya kimeumiza saana familiaaa yetu.
Umesahau baba na mama ndo walokulipia ada yako ya masters baada ya kujifanya wewe ni mtu wa shida sana? Umesahau mama alikununuliaa kila kitu ili uonekane na wewe mwanaume wa mjini? Daah shemeji hakika umefika mjini nakuaandikia kwa kuwa najuaa ujumbe utakufikiaa.
Kupata kazi usidhani ndo umeyapatiaa maisha na kuleta jeuri. Kumbuka ulikuwa unanunuliwaa mpka boxer manake ulikuwa hujui boxer ni nini zaidi ya kuvaaa machupi mtu mzima? Majibu yako na matusi yameisikitisha familiaa na tulichoamua ni kuwa dada angu hatorudi tena kwako na sisi hatutaki kukuona tena na mwanao hutakaa umuone tena wala mkeo hutakaa umsikie tena. Jiandae kwa talaka ya kanisani.
Mwanaume gani wewe ndoa haina miaka 3 ushaingiza mke mwingine ndani? Kwanza tulikukataaa familiaa nzimaa ulivyokuja kama msukule ila dada angu na kiherehere chake akakung'ang'aniaaa na kujifanya kakupenda wewe tu.
Sasa hatma yako imefika, hatukutaki home wala hatutaki kukusikiaa from now onwards, usije niuliaa dada angu akati tupo wawili tu kama macho, ila kumbuka shida hazina mwisho kila kitu chetu twaja chukuaaa shemeji usiyejielewaaa.
From your brother inlaw,
Jerome j.k