Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Ila mi niliwahi kuwaambia wadogo zangu, yani siku ukiwa na boyfriend sijui akanyanyua mkono kukupiga..walai kama unampenda sanaaaa basi hakikisha sifahamu la sivyo sitojali ni baunsa kiasi gani ila nita deal na yeye sawia!!!

Somehow nakuelewa..ila ndo maisha...think positively, kila jambo lina jema lake! (ingawa ni ngumu kukubali)
Uwezi kuingilia mahusiano ya watu we inabidi uwashauri tu
 
Dada yako ana mawazo hayaaaaa au ni ww mwenyewe tu. Wpendanao wakihitilafiana…………………
ana mawazo haya haya na yeye ndo hataki hata kumsikiaa manake alikuwa haamnini ila alikuja kumkuta huyo mke mwingine ndani ndo ikawa mwanzo na mwisho
 
Moyo una siri nying sana, mapenzi kitu kingine jamani, poleni kwa mkasa uliowakuta, ila kama kweli mwanaume kafanya hayo, basi atakuwa ni mshenzi kama washenzi wengine
 
Moyo una siri nying sana, mapenzi kitu kingine jamani, poleni kwa mkasa uliowakuta, ila kama kweli mwanaume kafanya hayo, basi atakuwa ni mshenzi kama washenzi wengine
i wish nihdithie ilivyokuwa yaan nilikuwa nipo chuo kimoja na yy mimi undergraduates yy ndo akawa anasomea masters mimi nanyima elaa naambiwa tumempa shemeji yako mama alikuwa kamfanmya mtoto wake kume ni joka la mdimu
 
mapenzi ni kiza kinene sana povu lote hili utashabgaa dada yako amerudi
never on earth naongea hapa najuaa anaonaa hatutaki kumsikia hata harufu yaan dada angu kila siku alikuwa anajivuniaa jaman mwangalieni mume wangu atleast now kabailika kumbe anamuogeshaee watu wengine kangaaa kajisahau
 
Pole sana mkuu una seem kuumizwa na hili jambo sana which i can understand,lakini kumbuka huyu ni shemeji yako na hujui dadako amependa kiasi gani,kuumia ni sawa lakini usivuke mipaka, muungwana sikuzote akivuliwa nguo hasimamami wimaa,na pia mwenyezi mungu anasema unapotoa na kulia basi mkono wa kushoto usione,haina haja yakumsema mwechie mwenyezi mungu malalamiko yako yote.
 
That is you, this is me! thank you.
Kwa staili iyo hadi uyo mdogo wako utagombana nae kwa sababu inaweza isiishe wiki na wakawa na furaha kama hamna kilichotokea ishu inakuwa kwako unajikuta unamchukia ndugu yako bila sababu ya msingi huenda ye ndo anamakosa wakati mwingine
 
Kwa staili iyo hadi uyo mdogo wako utagombana nae kwa sababu inaweza isiishe wiki na wakawa na furaha kama hamna kilichotokea ishu inakuwa kwako unajikuta unamchukia ndugu yako bila sababu ya msingi huenda ye ndo anamakosa wakati mwingine


That is you, this is me!

Tufike mahali tukubali kutokukubaliana!
 
pole mkuu pole dada wa mkuu.... aisee ndiyo maana sibadili principle silei nalelewa hutaki sepa .. sijui mapenzi mapenzi my foot huna sepa ukipata njoo tutumie
😀😀😀
at the sometimes hili jambo huwa nikujitia mkenge!
 
That is you, this is me!

Tufike mahali tukubali kutokukubaliana!
Ok mkuu! Ila kila mtu anaitaji kushauriwa jambo ambalo unaliona liko sahihi huenda lisiwe sahihi kwa upande mwingine inabidi usikie na wengine wanasema nini huenda ukabadili mtazamo
 
Habari wanaJF,

Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza.

Kwako shemeji Mkurya,

Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu yupo kwa ulichomfanyia dada angu. Nataka nikupe taarifa tu kuwa alopewa kapewa na kama kikitoka kimoja huwa vinarudi zaidi ya kumi.

Baada ya kumuoaa dada angu ukakaribishwa home ukawa unalelewa zaidi ya mimi mdogo wa mtu. Familia yetu ilikutunza kama mtoto mchanga mpaka vocha ukawa unanunuliwa ila shemeji shukrani huna, ulijivika ngozi ya kondoo dada angu kakuogesha ukatakata na sasa una shine mjini umejisahau.

Wewe wa kumletea dada angu mke mwingine ndani wakati nyumba ni ya dada angu na kila kitu ni cha kwake? Yaani aiseee ulichokifanya kimeumiza saana familiaaa yetu.

Umesahau baba na mama ndo walokulipia ada yako ya masters baada ya kujifanya wewe ni mtu wa shida sana? Umesahau mama alikununuliaa kila kitu ili uonekane na wewe mwanaume wa mjini? Daah shemeji hakika umefika mjini nakuaandikia kwa kuwa najuaa ujumbe utakufikiaa.

Kupata kazi usidhani ndo umeyapatiaa maisha na kuleta jeuri. Kumbuka ulikuwa unanunuliwaa mpka boxer manake ulikuwa hujui boxer ni nini zaidi ya kuvaaa machupi mtu mzima? Majibu yako na matusi yameisikitisha familiaa na tulichoamua ni kuwa dada angu hatorudi tena kwako na sisi hatutaki kukuona tena na mwanao hutakaa umuone tena wala mkeo hutakaa umsikie tena. Jiandae kwa talaka ya kanisani.

Mwanaume gani wewe ndoa haina miaka 3 ushaingiza mke mwingine ndani? Kwanza tulikukataaa familiaa nzimaa ulivyokuja kama msukule ila dada angu na kiherehere chake akakung'ang'aniaaa na kujifanya kakupenda wewe tu.

Sasa hatma yako imefika, hatukutaki home wala hatutaki kukusikiaa from now onwards, usije niuliaa dada angu akati tupo wawili tu kama macho, ila kumbuka shida hazina mwisho kila kitu chetu twaja chukuaaa shemeji usiyejielewaaa.

From your brother inlaw,

Jerome j.k
Sasa ww maswala ya dada yako na shemeji yako yanakuhusu nn,walitongozana ulikuwepo?unatupigia kelele humu na je wakipatana waludiane ww utabak kundi gan?kumbuka hili.,watu wakiombana msamaha wakiwa wamevaa nguo ni ngumu sana kusamehana lkm watu wakiombana msamaha wakiwa uchi ni fasta kuludiana,sasa ww jifanye unaingilia maoenzi ya dasa yako uje ukione cha moto wakiludiana
 
- Pole mkuu

- Pole kwa dada yako

- kipendacho roho...ya dada yako muachie dada yako (tafuta cha kujifunza and move on with life)

- "Ee Mungu nisaidie kwenye ndoa yangu kusijekuwa na 'cha mama' na 'cha baba'" [HASHTAG]#amen[/HASHTAG]
Mpwa habari za siku nyingi sana, ndoa hizi zinachangamoto sana, ukishaanza kuweka cha kwangu, cha kwake, gari yangu, nyumba yangu, ujue tayari hapo kuna tatizo. Utatakiwa kufunga, kuomba na kutubu hilo pepo litoke, ndoa yako unapoingiza na ndugu zako ujue hapo pia kuna tatizo.

Ukisikia mke wako anakwambia, usibababishe naweza kwenda kwetu kwanza sijafukuzwa kwetu, ujue hapo napo kuna tatizo. Ndoa hizi bhana, nadhani ukiweza kui-control ndoa yako basi hata pepo utaiona.
 
mwisho wa siku utamuona dada yako kajirudisha tena kwa mkurya mwenyewe, sometimes mapenzi hayatakaji jokes
 
Back
Top Bottom